Waziri Nape Nnauye aomba kura za chaguzi zipigwe Mitandaoni "Electronic Voting"

Hii itakuwa vita ya nani anaweza kufanya Data manipulation kati ya wapinzani na Tawala mwenye uwezo wa kicheza na programm vizuri ndo atashinda 🤣🤣🤣🤣
 
Wasije wakatupiga "booleans" loops kila False ni true na kila true ni true 🤣🤣🤣🤣 ukakuta kura zote ni zao
 
Wasije wakatupiga "booleans" loops kila False ni true na kila true ni true 🤣🤣🤣🤣 ukakuta kura zote ni zao
Yeah... Ukibonyeza Chadema, wao wameseti majibu yawe CCM 😂
 
Electronic voting ndio rahisi zaidi kuibiwa kura.
 
Electronic voting ndio rahisi zaidi kuibiwa kura.
Nape ndio ka-propose hivyo 😂... Mi nahisi kuwepo na vituo maalumu vya kupigia kura za karatasi, na CCTV zifungwe kwenye kila chumba
 
Electronic Voting bado sana kwa Tanzania, kwa jinsi nchi ilivyo.... sisiem wame-dominate Nchi toka uhuru, lazima watacheza na mifumo ili waendelee kubaki
Ila huezi amini kwemye hii evoting naipa sana Ushindi Vyama pinzani kuliko CCM
 
Ila huezi amini kwemye hii evoting naipa sana Ushindi Vyama pinzani kuliko CCM
Kwa nini? Wakati unafahamu fika serikali ndio italeta hao mafundi mitambo, na kila kiongozi wa juu serikalini ni CCM... We unahisi hiyo Teknolojia wataileta hili watoke madarakani
 
Tatizo votes zitakuwa rigged.
Mtandaoni kurigg ni rahisi sana bila hata kutumia vitisho.
 
ila kuna siku Mungu atawaondoa, confusion itawapata, watajiondoa wenyewe kwa wenyewe hata hawatajua wanafanya nini hadi watakapojikuta wapo ndani ya kiota.
Ndio bro, soon upinzani utachukua Madaraka, ni suala la muda na naamini Mungu ata-initiate mwenyewe.
 
Kwa nini? Wakati unafahamu fika serikali ndio italeta hao mafundi mitambo, na kila kiongozi wa juu serikalini ni CCM... We unahisi hiyo Teknolojia wataileta hili watoke madarakani
Mkuu serikali Ya CCM ina maadui wa chini chini kutoka nchi zenye high Technology na ndo maan leo hii mkimbizi wa kisiasa ukienda nchi hizo unapokelewa sana kuliko mkimbizi wa Aina nyingine so wata'manipulate data' kutoka huko huko nje labda kama iwe ni 'offline data schedule' ...
ila
wakiitundika online tu Wameumia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…