Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 Sep 20, 2023 #21 Baada ya hapo watapanga mjamaa ya kuzima intanet kwanini?
halfcastmangi JF-Expert Member Joined Apr 12, 2023 Posts 605 Reaction score 1,644 May 14, 2024 #22 Mheshimiwa Magufuli alimuona nape mapema na January kuwa ni walafi na wabinafsi. Mheshimiwa mama Samia watazame hawa watu wawili ni kansa kwako.
Mheshimiwa Magufuli alimuona nape mapema na January kuwa ni walafi na wabinafsi. Mheshimiwa mama Samia watazame hawa watu wawili ni kansa kwako.
B Burkinabe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 2,354 Reaction score 4,024 May 14, 2024 #23 halfcastmangi said: Mheshimiwa Magufuli alimuona nape mapema na January kuwa ni walafi na wabinafsi. Mheshimiwa mama Samia watazame hawa watu wawili ni kansa kwako. Click to expand... Ndege wafananao huruka pamoja Mkuu. Maana haiwezekani kila siku tunawalalamikia hao hao halafu hakuna chochote kinafanyika dhidi yao.
halfcastmangi said: Mheshimiwa Magufuli alimuona nape mapema na January kuwa ni walafi na wabinafsi. Mheshimiwa mama Samia watazame hawa watu wawili ni kansa kwako. Click to expand... Ndege wafananao huruka pamoja Mkuu. Maana haiwezekani kila siku tunawalalamikia hao hao halafu hakuna chochote kinafanyika dhidi yao.
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 May 14, 2024 #24 Mama amtafute mtu mwenye weledi na kazi ampe hiyo wizara huyu ampe japo kuwa DC kwani hapo alipo hafanani nako hata kwa 8%
Mama amtafute mtu mwenye weledi na kazi ampe hiyo wizara huyu ampe japo kuwa DC kwani hapo alipo hafanani nako hata kwa 8%
jkipaji JF-Expert Member Joined Sep 22, 2019 Posts 6,963 Reaction score 9,401 May 14, 2024 #25 pilipili kichaa said: Mama amtafute mtu mwenye weledi na kazi ampe hiyo wizara huyu ampe japo kuwa DC kwani hapo alipo hafanani nako hata kwa 8% Click to expand... Nape mtoto wa Kigogo!!
pilipili kichaa said: Mama amtafute mtu mwenye weledi na kazi ampe hiyo wizara huyu ampe japo kuwa DC kwani hapo alipo hafanani nako hata kwa 8% Click to expand... Nape mtoto wa Kigogo!!