Waziri Ndaki : Wizara imeridhia wafugaji wote nchini kuongezewa muda wa Usajili na Utambuzi wa Mifugo kielectronic Mpaka desemba 31

Waziri Ndaki : Wizara imeridhia wafugaji wote nchini kuongezewa muda wa Usajili na Utambuzi wa Mifugo kielectronic Mpaka desemba 31

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
5,621
Reaction score
5,029
fBNQ0JJPV94Y04K4R0b8VYYT.jpg
aQBXJVY2AJRddPAFV5P1AMWJ.jpg
BR90EA6b74T060X85drEe1PV.jpg

 
Hakika serikali ya CCM ni serikali inayowajali watu wake mno,

Pamoja na uharaka na umuhimu wa zoezi hili bado Rais Kaona ipo haja ya wafugaji kuongezewa muda zaidi
Wafugaji sasa tumieni hii fursa msajili Mifugo yenu yote
 
Tatizo letu wapongo tunapenda deadlines tu bora wasingeoza tu
 
Napenda staili ya Uongozi ya Huyu Waziri, Hapendi majigambo anapenda kazi tu
Acha uchawa wewe. Waziri ameshindwa kuruhusu mikopo ya mradi wa ufugaji samaki kwa vizimba hadi leo hii, anapaswa kupigwa kalamu haraka sana
 
waachane na hilo zoezi kwa sasa, ni kuwaongezea stress wafugaji wanaopoteza ng'ombe kwa sasa kutokana na mifugo kukosa maji na malisho ya kutosha. Kule kenya ng'ombe mil. 2.5 tayari wamekufa kwa njaa......unamwekea heleni ng'ombe ambaye kabaki mbavu tupu?
 
Back
Top Bottom