Waziri Ndumbaro azindua Jengo la Utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato, atoa maelekezo kwa Sekta ya Utalii nchini

Kwani chato mbona kuna ziwa na dhahabu na pamba, we unaona hivyo ni vidogo?
Wananchi wa kusini wakiangalia kinachoendelea chato huku zao lao la korosho likiwa limehujumiwa, na 200b za mfuko wa korosho zikiwa zimeporwa kwenda kununulia ndege, kwa vyovyote watataka rais safari hii atoke kusini ili akapendelee kwao.
 

Chato tena
 
kujionea maajabu ya msitu mnene wa Biharamulo-Chato hivyo kuongeza mapato ya serikali

Mimi sijaelewa hii habari ya Utalii wa Shamba la Miti Biharamulo - Chato.

..............................................................................

Habari ya hapa chini ya mwaka 2019 kuhusu kijiji cha Butengo Chato mkoani Geita :

9 Oct 2019

TFS YATOA AJIRA KWA VIJANA

Wakazi wa kijiji cha Butengo wanaofanya kazi kwenye shamba la miti la Biharamulo TFS lililopo wilayani Chato mkoani Geita wamesema kuanzishwa kwa shamba hilo kumesaidia kubadilisha maisha yao ikiwa ni pamoja na kupeleka watoto shule.
 
Mkurugenzi Wakala wa Huduma za Misitu / Miti Tanzania TFS , aelezea faida za mashamba / hifadhi za miti
  • Mbao
  • Nguzo
  • Kivuli
  • Nishati
  • Marekebisho ya tabia nchi
  • Kupendezesha mazingira
  • Miti ni mali , miti ni uhai
  • Misitu ni mali , misitu ni uhai
 
Kilimo cha miti Nyanda za Juu Kusini nchini Tanzania


Utajiri wa misitu / miti huanzia ekari ...

Source : SUA Sokoine University of Agriculture
 
Mufindi kuna mashamba ya misitu SAO-HILL, wanyalukolo walizubaa sana na ulanzi. Hawana jengo la utalii wa misitu!

Ila kuna watu kweli uso wa mbuzi! Kauzu kuliko dagaa.

Everyday is Saturday...😎
 
Niliwahi kusema humu kwamba yuko waziri wa mawaziri , ndio anayetoa mwongozo wa cha kufanya , hawa mawaziri wengine wote akiwemo Waziri Mkuu kazi yao ni kujibu maswali bungeni tu...
Eti utalii wa misitu! Waziri ameiagiza bodi ya utalili ipeleke watalili wengi wakajionee misitu minene iliyoko Chato! Misitu minene Chato my foot!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…