Wanajenga hoteli ya nyota tano, fungu limeshatengwa kwahiyo wewe subiri uzinduziTunahitaji TANAPA wajenge jengo la ofisi linaloeleweka iwapo wanataka utalii endelevu kanda ya ziwa na kwa ku diversify utalii nchini.
Tunahitaji TANAPA wajenge jengo la ofisi linaloeleweka iwapo wanataka utalii endelevu kanda ya ziwa na kwa ku diversify utalii nchini.
La babaako tunakula kila siku we mbwigaunaliwa jicho mkuu!
'Mateka' wanaweza nini?hata kama watanzania ni mabwege zumbukuku , si kwa utopolo huu wanaofanyiwa
Rais gani?hivi we jamaa unaongea kutoka kinyeo chako ama?
Uchaguzi ushaisha We bado umo tu ,Rais ni JPM.
Hama km huwezi kuvumilia, najiulizaga nani aliwaonyesha Internet mapimbi km wewe?🤔
Dkt. Damas Ndumbaro ameitangaza Chato iliopo mkoa wa Geita kuwa kitovu Cha utalii kwa Kanda ya Ziwa...
Ni maagizo mkuu hakuna namnaNdiyo viongozi tulionao! Chumia tumbo kwa kulamba viatu vya bwana. Kwanini kitovu cha utalii kanda ya ziwa kisiwe Mwanza?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mawaziri wanapishana na kupigana vikumbo kwenye mitaa ya chato,huku jamaa anatafuna pop corn na coca bariiiidi anawazoom tu.
Hivi na nyie mnaamininbodi ya utalii ndio inapeleka watalii? Umeshaona wazungu wanalazimishwa kufanya kitu? Hakuna mzungu atakayeenda Chato. Mtu aache serengeti, Ngorongoro, eti aende mbali huko Chato? Majibu mtayapata baada ya muda tu. Sad jinsi pesa ya umma inavyowekezwa vibaya wakati ajira kwa vijana hakuna.Yaani huko mbele kutakuwa na mikumi, na Serengeti nyingi kila Kijiji.