Wilaya ya Biharamulo bado hipo Mkoa wa Kagera - lakini mambo yanavyo elekea tusishangae siku moja tuka ambiwa B'mulo amehamishiwa kwenye Mkoa mwingine muda si mrefu kuanzia sasa.
Siwezi kukupiga ban hapa JF maana ukiwa pro JPM kama mimi, hapa JF hutakiwi ila anti JPM unaonekana mali. I wish kungekuwa na Mtanzania mahiri akaanzisha JF ambayo ni neutral ningefurahi sanaTafuta popote nilipowahi kumsifu huyo mzee muhuni kwenye post zangu, ukipapata nipigwe ban miezi 6.
Siwezi kukupiga ban hapa JF maana ukiwa pro JPM kama mimi, hapa JF hutakiwi ila anti JPM unaonekana mali. I wish kungekuwa na Mtanzania mahiri akaanzisha JF ambayo ni neutral ningefurahi sana
Ndyo Biharamulo bado ipo Kagera ila naona hapo wameweka sintofahamu, ni sawa na kusema Nzega-Kahama.
Mkuu kumbuka wanao sema hayo wamesoma Jografia na wanajua Biharamulo hipo mkoa gani - buzz word ya Chato-Biharamulo hilo linasemwa strategicaly hawasemi mambo kwa kibahatisha, kila kitu kimefanyiwa home ya kutosha.
Ccm mmeweza kuiba kura, mnashindwa nini kufungua forum yenu msifie mpaka mkinai?
Anzisha ya kwako.Sihitaji forum ya ccm, maana itakuwa ni kama hii ya uchadema. Nahitaji ambayo haiegemei upande wowote. Forum ambayo ukisifia Sawa, ukipinga sawa kuliko hii ambayo usipomsifia mpuuzi Tundu Lissu unapata Ban. Aidha ukimsifia JPM wewe ni adui
Polepole majuzi alisema hata Simba kushinda ni CCM imewezesha, hivyo watawafanyia mpango na Yanga washinde, kuanzisha forum yao ni kitu kidogo sana, sijui wanasubiri nini! 😀😀Ccm mmeweza kuiba kura, mnashindwa nini kufungua forum yenu msifie mpaka mkinai?
Nini wewee mkaldayo acha porojo jamvini na ujikite kwenye mada iliyopo mezaniWewe umebadili id tena unaanza tena kejeli ,hapo kijijini Copenhagen sio mbali utafikiwa fala wewe