Waziri Ndumbaro azindua Jengo la Utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato, atoa maelekezo kwa Sekta ya Utalii nchini

Wilaya ya Biharamulo bado hipo Mkoa wa Kagera - lakini mambo yanavyo elekea tusishangae siku moja tuka ambiwa B'mulo amehamishiwa kwenye Mkoa mwingine muda si mrefu kuanzia sasa.

Ndyo Biharamulo bado ipo Kagera ila naona hapo wameweka sintofahamu, ni sawa na kusema Nzega-Kahama.
 
Tafuta popote nilipowahi kumsifu huyo mzee muhuni kwenye post zangu, ukipapata nipigwe ban miezi 6.
Siwezi kukupiga ban hapa JF maana ukiwa pro JPM kama mimi, hapa JF hutakiwi ila anti JPM unaonekana mali. I wish kungekuwa na Mtanzania mahiri akaanzisha JF ambayo ni neutral ningefurahi sana
 
Ccm mmeweza kuiba kura, mnashindwa nini kufungua forum yenu msifie mpaka mkinai?
 
Ndyo Biharamulo bado ipo Kagera ila naona hapo wameweka sintofahamu, ni sawa na kusema Nzega-Kahama.

Mkuu kumbuka wanao sema hayo wamesoma Jografia na wanajua Biharamulo hipo mkoa gani - buzz word ya Chato-Biharamulo hilo linasemwa strategicaly hawasemi mambo kwa kubahatisha, kila kitu kimefanyiwa home work ya kutosha, don't you forget that.
 
Mkuu kumbuka wanao sema hayo wamesoma Jografia na wanajua Biharamulo hipo mkoa gani - buzz word ya Chato-Biharamulo hilo linasemwa strategicaly hawasemi mambo kwa kibahatisha, kila kitu kimefanyiwa home ya kutosha.

Sawa.
 
Ccm mmeweza kuiba kura, mnashindwa nini kufungua forum yenu msifie mpaka mkinai?

Sihitaji forum ya ccm, maana itakuwa ni kama hii ya uchadema. Nahitaji ambayo haiegemei upande wowote. Forum ambayo ukisifia Sawa, ukipinga sawa kuliko hii ambayo usipomsifia mpuuzi Tundu Lissu unapata Ban. Aidha ukimsifia JPM wewe ni adui
 
Anzisha ya kwako.
 
Ccm mmeweza kuiba kura, mnashindwa nini kufungua forum yenu msifie mpaka mkinai?
Polepole majuzi alisema hata Simba kushinda ni CCM imewezesha, hivyo watawafanyia mpango na Yanga washinde, kuanzisha forum yao ni kitu kidogo sana, sijui wanasubiri nini! 😀😀
 
Back
Top Bottom