Waziri Ndumbaro: Wamasai waishio Ngorongoro siyo wenyeji halisi wa Ngorongoro

Wewe ni wakutumwa tu, huna msimamo wowote, unalazimisha tu na hako kakipande oh alisema alisema, nenda gugu utafsiri na hili. umejaa dhuluma. umetumwa tunawajueni. Peleka taarifa kwa waliokutuma kuwa Tanzani sio ya mazuzuzu.
 
kwani shida ni nini?kwani wewe hukusoma historia?makabila mengi ya tanzania asili yake si tanzania.kwani wangoni asili yao ni tanzania?kipi kibaya alichosema waziri?au mnamwonea wivu sababu kawa waziri?na mama hatamwajibisha hata mkipiga kampeni humu ndani kwa kosa lipi.wamasai ni lazima watoke ngorongoro la sivyo basi na makabila mengine yaliyopo jirani na hifadhi nayo yakaishi hifadhini.
 
Wewe ni wakutumwa tu, huna msimamo wowote, unalazimisha tu na hako kakipande oh alisema alisema, nenda gugu utafsiri na hili. umejaa dhuluma. umetumwa tunawajueni. Peleka taarifa kwa waliokutuma kuwa Tanzani sio ya mazuzuzu.
Uzuri wa JF hata mazwazwa kama SYLLOGIST! wanaruhusiwa kuandika mawazo yao. Huwezi kumtnganisha Magufuli na watawala wakatili, wabinafsi na wezi
 
Uzuri wa JF hata mazwazwa kama SYLLOGIST! wanaruhusiwa kuandika mawazo yao. Huwezi kumtnganisha Magufuli na watawala wakatili, wabinafsi na wezi
Nakubaliana na wewe, siwezi kumtenganisha yeyote. Magufuli ndie aliyepata kura, wengine wanashibia kwa uongozi wake, hata hao waliokuwa madarakani sasa. Kwani hao makatili wabinafsi na wezi ni hao hao CCM Hongera kwa kuliona hilo. Tusubiri hiyo 2025. Kitaeleweka tu.
 
Dadavua zaidi hapo kwa Wachaga....ni watu wa wapi,,,???
 
Wangoni, wamasai, wachaga, waha, wahaya, wanyakyusa, wawanji, wamakonde na wamakua, wajaluo, wahangaza, na kadhalika hao ni watu wakuja Tanzania sio asili yao waangalie hata mfumo wa maisha yao
Mfumo wa maisha yao ukoje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…