Waziri Selemani Jafo amsema Mkurugenzi wa SCOL Building Contractors Limited hadi akaanguka na kuzimia

Waziri Selemani Jafo amsema Mkurugenzi wa SCOL Building Contractors Limited hadi akaanguka na kuzimia

Mkurugenzi wa kampuni ya Scol Building Contractors Limited ameanguka na kuzirai mbele ya Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo baada ya kubanwa kuhusu ucheleweshaji wa ujenzi wa barabara ya Martin Luther hadi Swaswa mjini Dodoma.

JAFO+PIC.jpg
 
hamna utu kabisa inasikitisha kwakweli hata kama ndo huo uchapakazi. nimeona hii habari sehemu na kuna mtu alicomment anamfahamu huyo mkurugenzi kuwa ana kisukari.😟😟

Sifa za kijinga zinatafutwa na wanasiasa ili wapate kiki!
Kwa hiyo aliyesababisha huyo mkurugenzi kuzimia amefanya kazi yake ipasavyo?
Kama alivyosema Pasco hapo nyuma , this is bullying kwa kutumia madaraka.
 
FRANCIS DA DON,
Wacheni utani huyu bwana sidhani hata elfu tano alikuwa nayo mfukoni, kachoka mno, hizi kazi Bora tukapime matikiti tukauze barabarani Kama JPM alivyoshauri
Usimchukulie poa, huyu ni jirani yangu! Financially yuko vizuri sana!!! Mwaka 2016 alilipa fine ya 12b kama fine ya kukwepa kodi!
 
Jaffo kwani kabila gani? Maana kuna kabila Tanzania wanaweza wakakusema mpaka ukafa. Nadhani ni moja yao huyu.
 
Hilo Dundo ni Safety boot alafu ni over size,.mkululeni fasta kabla hajachanganya oil na maji.
 

Najua wengi wameiona hii clip, lakini ukatili huu haukubaliki.
Mungu anawaona.
Wale Maaskofu na Mashehe mnaoalikwa mnaombea huu ukatili?
 
Safi Sana. Walizoea kufanya kazi Kwa mazoea. Kule kuambiwa kuwa amekatwa Milioni 85/- akaanguka. Jamani Barbara ya km 1 kujengwa Kwa miaka miwili Kweli?
 
Back
Top Bottom