Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanaongea hati mate yanamrukarukaHaka kajamaa bhana kana maneno mengi tangu school.
Kiranja wangu wa chakula huyu
walishindaje zabuniHuyo ''aliyezimia'' na huyu mwingine alisema ni mkurugunzi mbona wanaonekana wamechoka sana halafu ni kama watu wa pombe kali? Kweli tembea uone mengi. Hawa ni wale wakandarasi wa kimagumashi.
Mnamuonea bure tu Jao, huyu mkurugenzi hata angesewa na kupigiwa makofi ilikua aaanguke tu. Kwa muonekano anaonekana kuwa hayupo vizuri kiafya.View attachment 1282499
Najua wengi wameiona hii clip, lakini ukatili huu haukubaliki.
Mungu anawaona.
Wale Maaskofu na Mashehe mnaoalikwa mnaombea huu ukatili?
Ushawahi kufanya kazi za Serekali ndugu? Tafuta ile clip mkandarasi analalamika kila akitoa hela watu wa halmashauri wanataka.Safi Sana. Walizoea kufanya kazi Kwa mazoea. Kule kuambiwa kuwa amekatwa Milioni 85/- akaanguka. Jamani Barbara ya km 1 kujengwa Kwa miaka miwili Kweli?
Nilisubiri useme ndio tuu, ili nitafute namna ya kumuwajibisha Mkurugenzi was TBC kwa kuajiri insane person katika chombo cha taifa kinacho endeshwa na kodi zetu.Hahaha HapAna Mkuu
Kanaongea hati mate yanamrukaruka
Nilisubiri useme ndio tuu, ili nitafute namna ya kumuwajibisha Mkurugenzi was TBC kwa kuajiri insane person katika chombo cha taifa kinacho endeshwa na kodi zetu.
Alichokifata kakikosa atarudi home kama lowasa mmrudishie mali zakeKwanini mmebagua sumaye?
Hii dhambi itawatafuna
Na umefuatilia ucheleshwaji wa malipo aliyolipwa na serikali?Safi Sana. Walizoea kufanya kazi Kwa mazoea. Kule kuambiwa kuwa amekatwa Milioni 85/- akaanguka. Jamani Barbara ya km 1 kujengwa Kwa miaka miwili Kweli?