Mkuu samahani, wewe ukiamua kuchuma majani ya muarobaini hapo au alovera ukanywa hapo tayari utakuwa ni mganga!!?
Asante mkuu. Nafikiri tumedhihirisha sisi ni taifa la WAJINGA kweli kweli. Huwa najiuliza, hawa wanaopinga tiba mbadala, sayansi imeleta tiba gani? Kama hakuna tiba sahihi iweje watu wakejeli matumizi ya tiba mbadala wakati huu dunia inahaha kutafuta tiba sahihi?USA taifa kubwa mnakowasabikia, walipendekeza watu wanywe klorokwin
Tafiti gani zinasupport hiyo Tiba ya kishirikina mnayoishupalia?Mimea gani inayitumika?Au ni mkorogo?Wewe inaonekana una ufinyu wa kufikiri, hakuna Nchi inayocheka wenzie kipindi hichi cha Corona, watu wanafukuzia kwa kutumia dawa za asili na wanapona, we endelea kukalia mitandaoni ili mradi uonekane unachangia kwa vitu usivyohelewa.
Nasikitika kuona watanzania wengi wana ufinyu wa kifikra, wamekalia utandawazi wanasahau mila na desturi za kitanzania.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hawafanyi huo ujinga wenu,that's the same as suicidal act.How sure you're going to be cured from COVID-19 by steaming with unknown mixture of local herbs? Are you kidding?Siku mkiona akina Pompeo wameshuka kuja kuchukua nyungu sijui mtasemaje!?
Nyungu wakuu....wiki nzima...asubuhi mchana na jioni...tungepewa muda maalum, watakaoonekana wanazurula mida ya kupiga nyungu, wachukuliwe hatua kali...
Hapa bado jani la Bob Marley kuhalalishwa nchi nzima tupige fegi...
Everyday is Saturday.....................😎
Kwakweli hali inatisha watu tutaanza kuogopana sio anaekohoa anepiga chafya wala mzima kila mmoja ataanza kumshtukia mwenzakeAngalizo:Adui corona yupo mitaani kwetu na anauwa,na wengi wanaoishi na adui corona hawana dallli hata za mafua achiaa mbali homa kali.Jilinde,ilinde familia yako,linda wanaokuzunguka walinde na Watanzania wenzio.
Kwa pamoja tunashinda.
Ndio tupambane na adui yetu chief kwa umoja wetu,hatuna haja ya kupambana wenyewe kwa wenyewe katika hili.Kwakweli hali inatisha watu tutaanza kuogopana sio anaekohoa anepiga chafya wala mzima kila mmoja ataanza kumshtukia mwenzake
😀😆😀bangi nibangue korona niione kama malariaNawaza kujifukiza na bangi sijui kama serikali itakuwa bega kwa bega na mimi.