Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Kama kuandika kwenyewe ndo huku basi kuongea utakua unaongea kama una matatizo ya upumuaji
🤣🤣🤣🤣🤣🤣..umetisha mkuu..haa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kuandika kwenyewe ndo huku basi kuongea utakua unaongea kama una matatizo ya upumuaji
Lumumba bk 7 hoyeeeeeWakiwa wanaonekana wanabeza juhudi na jitihada zote za kupambana na janga hili ikiwemo wazo la Mh raisi la kujifukiza nimefika jwenye hoteli moja ambamo wamelala wabunge kadhaa wa upinzani wahudumu wanalalamika kwamba wanatuma zile burika za mahotelini kuwekea miti shamba ambapo wana we za kusababisha Maganga ya moto, huko nje wanajifanya Kubeza na kukejeli zoezi zina la kujifukiza na wengine hata kuihusisha na Imani za kishirikina haya Viongozi msitupotoshe
Lumumba bk 7 hoyeeeeeWakiwa wanaonekana wanabeza juhudi na jitihada zote za kupambana na janga hili ikiwemo wazo la Mh raisi la kujifukiza nimefika jwenye hoteli moja ambamo wamelala wabunge kadhaa wa upinzani wahudumu wanalalamika kwamba wanatuma zile burika za mahotelini kuwekea miti shamba ambapo wana we za kusababisha Maganga ya moto, huko nje wanajifanya Kubeza na kukejeli zoezi zina la kujifukiza na wengine hata kuihusisha na Imani za kishirikina haya Viongozi msitupotoshe
Bia yetu liked this. By tge way, kwani wamekatazwa kujifukiza? Kama ni kujifukiza unadhani kumeanza baada ya rais kushauri?Wakiwa wanaonekana wanabeza juhudi na jitihada zote za kupambana na janga hili ikiwemo wazo la Mh raisi la kujifukiza nimefika jwenye hoteli moja ambamo wamelala wabunge kadhaa wa upinzani wahudumu wanalalamika kwamba wanatuma zile burika za mahotelini kuwekea miti shamba ambapo wana we za kusababisha Maganga ya moto, huko nje wanajifanya Kubeza na kukejeli zoezi zina la kujifukiza na wengine hata kuihusisha na Imani za kishirikina haya Viongozi msitupotoshe
Ndio asili yao/yetuKwa huu mwandiko unatufanya CCM tuonekane vilaza
umekunywa nini wewe hata kundika tu tatizoWakiwa wanaonekana wanabeza juhudi na jitihada zote za kupambana na janga hili ikiwemo wazo la Mh raisi la kujifukiza nimefika jwenye hoteli moja ambamo wamelala wabunge kadhaa wa upinzani wahudumu wanalalamika kwamba wanatuma zile burika za mahotelini kuwekea miti shamba ambapo wana we za kusababisha Maganga ya moto, huko nje wanajifanya Kubeza na kukejeli zoezi zina la kujifukiza na wengine hata kuihusisha na Imani za kishirikina haya Viongozi msitupotoshe
mbona unaandika kama kuna kitu mithili ya kijiti umekikalia???Wakiwa wanaonekana wanabeza juhudi na jitihada zote za kupambana na janga hili ikiwemo wazo la Mh raisi la kujifukiza nimefika jwenye hoteli moja ambamo wamelala wabunge kadhaa wa upinzani wahudumu wanalalamika kwamba wanatuma zile burika za mahotelini kuwekea miti shamba ambapo wana we za kusababisha Maganga ya moto, huko nje wanajifanya Kubeza na kukejeli zoezi zina la kujifukiza na wengine hata kuihusisha na Imani za kishirikina haya Viongozi msitupotoshe
Yaonekana unabeza ushauri wa kujikinga dhidi ya maambukizi, uaumbuka na siyo SerikaliSerikali yako imeshindwa kudhibiti ugonjwa sasa mmebaki unatapatapa
Nabado utaisoma namba mwaka huu
Wewe umesema kuwa umeambiwa, je Mimi nikikuambia chochote utakiamini? Na ukiwa umetunga tu uongo Mimi nikuamini vipi?halafu kusema Yale haimaanishi kuwa wao wasijifukize wao wanapinga taifa kutumbukizwa kwenye mambo ya kienyeji! Na ukiwa unaambiwa kuwa kula hiki unasema hiki sio kitu kizuri cha kuzoea madhara yake ni haya haya, hiyo haimanishi kuwa hautakilaWakiwa wanaonekana wanabeza juhudi na jitihada zote za kupambana na janga hili ikiwemo wazo la Mh raisi la kujifukiza nimefika jwenye hoteli moja ambamo wamelala wabunge kadhaa wa upinzani wahudumu wanalalamika kwamba wanatuma zile burika za mahotelini kuwekea miti shamba ambapo wana we za kusababisha Maganga ya moto, huko nje wanajifanya Kubeza na kukejeli zoezi zina la kujifukiza na wengine hata kuihusisha na Imani za kishirikina haya Viongozi msitupotoshe
Kama serikali yako iliudharau,kwanini nisibeze mmeshindwa kudhibiti ugonjwa sasa mmeanza na propaganda uchwara za kujifukizaYaonekana unabeza ushauri wa kujikinga dhidi ya maambukizi, uaumbuka na siyo Serikali
Siamini hayo yameandikwa na mtu mzima! Nchi gani duniani imefanikiwa kudhibiti hili gonjwa?Kama serikali yako iliudharau,kwanini nisibeze mmeshindwa kudhibiti ugonjwa sasa mmeanza na propaganda uchwara za kujifukiza
Nabado utaisoma namba,wembe ni uleule.
Wewe ulitaka niisifie serikali yako kwakipi cha maana kilichofanyika?Siamini hayo yameandikwa na mtu mzima! Nchi gani duniani imefanikiwa kudhibiti hili gonjwa?
Duniani wanasayansi wanahangaika kupata chanjo wewe unapiga porojo mtandaoni. Sina shaka yoyote kichwani mwako hakuko sawa.
Nakuombea, kwa moyo wa dhati, uwezeshwe kuzingatia ushauri wa wataalamu, ambao ndio njia sahihi, kwa sasa, ya kujikinga dhidi ya maambukizi. Ukiambukizwa ni uhai wako utakuwa mashakani na Serikali itakuwepo milele bila kujali inaongozwa na nani au chama gani cha siasa.
Du, imekuwa hivyo!! Hakika tuna safari ndefu.Wewe ulitaka niisifie serikali yako kwakipi cha maana kilichofanyika?
unafikiri na Mimi nikama Bunge au TBC
Serikali imeshindwa kuongoza nchi halafu mnataka wananchi wasifie,tusifie ujinga unaoufanya?
Unafikiri waTanzania ni wajinga?