Waziri Selemani Jafo ashauri kuanzishwa kwa wiki ya nyungu katika kupambana na Corona

Wakiwa wanaonekana wanabeza juhudi na jitihada zote za kupambana na janga hili ikiwemo wazo la Mh raisi la kujifukiza nimefika jwenye hoteli moja ambamo wamelala wabunge kadhaa wa upinzani wahudumu wanalalamika kwamba wanatuma zile burika za mahotelini kuwekea miti shamba ambapo wana we za kusababisha Maganga ya moto, huko nje wanajifanya Kubeza na kukejeli zoezi zina la kujifukiza na wengine hata kuihusisha na Imani za kishirikina haya Viongozi msitupotoshe
Lumumba bk 7 hoyeeeee
 
Bia yetu liked this. By tge way, kwani wamekatazwa kujifukiza? Kama ni kujifukiza unadhani kumeanza baada ya rais kushauri?
 
Wakiwa wanaonekana wanabeza juhudi na jitihada zote za kupambana na janga hili ikiwemo wazo la Mh raisi la kujifukiza nimefika jwenye hoteli moja ambamo wamelala wabunge kadhaa wa upinzani wahudumu wanalalamika kwamba wanatuma zile burika za mahotelini kuwekea miti shamba ambapo wana we za kusababisha Maganga ya moto, huko nje wanajifanya Kubeza na kukejeli zoezi zina la kujifukiza na wengine hata kuihusisha na Imani za kishirikina haya Viongozi msitupotoshe
umekunywa nini wewe hata kundika tu tatizo
 
mbona unaandika kama kuna kitu mithili ya kijiti umekikalia???
 
Serikali yako imeshindwa kudhibiti ugonjwa sasa mmebaki unatapatapa

Nabado utaisoma namba mwaka huu
Yaonekana unabeza ushauri wa kujikinga dhidi ya maambukizi, uaumbuka na siyo Serikali
 
Kufanya chochote faragha ni jambo jema.Usipende kila mtu akujue nje ndani.Usiri ni moja ya ishara ya "busara"
 
Wakiwa wanaonekana wanabeza juhudi na jitihada zote za kupambana na janga hili ikiwemo wazo la Mh raisi la kujifukiza nimefika jwenye hoteli moja ambamo wamelala wabunge kadhaa wa upinzani wahudumu wanalalamika kwamba wanatuma zile burika za mahotelini kuwekea miti shamba ambapo wana we za kusababisha Maganga ya moto, huko nje wanajifanya Kubeza na kukejeli zoezi zina la kujifukiza na wengine hata kuihusisha na Imani za kishirikina haya Viongozi msitupotoshe
Wewe umesema kuwa umeambiwa, je Mimi nikikuambia chochote utakiamini? Na ukiwa umetunga tu uongo Mimi nikuamini vipi?halafu kusema Yale haimaanishi kuwa wao wasijifukize wao wanapinga taifa kutumbukizwa kwenye mambo ya kienyeji! Na ukiwa unaambiwa kuwa kula hiki unasema hiki sio kitu kizuri cha kuzoea madhara yake ni haya haya, hiyo haimanishi kuwa hautakila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaonekana unabeza ushauri wa kujikinga dhidi ya maambukizi, uaumbuka na siyo Serikali
Kama serikali yako iliudharau,kwanini nisibeze mmeshindwa kudhibiti ugonjwa sasa mmeanza na propaganda uchwara za kujifukiza

Nabado utaisoma namba,wembe ni uleule.
 
Siamini hayo yameandikwa na mtu mzima! Nchi gani duniani imefanikiwa kudhibiti hili gonjwa?

Duniani wanasayansi wanahangaika kupata chanjo wewe unapiga porojo mtandaoni. Sina shaka yoyote kichwani mwako hakuko sawa.

Nakuombea, kwa moyo wa dhati, uwezeshwe kuzingatia ushauri wa wataalamu, ambao ndio njia sahihi, kwa sasa, ya kujikinga dhidi ya maambukizi. Ukiambukizwa ni uhai wako utakuwa mashakani na Serikali itakuwepo milele bila kujali inaongozwa na nani au chama gani cha siasa.
 
Wewe ulitaka niisifie serikali yako kwakipi cha maana kilichofanyika?
unafikiri na Mimi nikama Bunge au TBC
Serikali imeshindwa kuongoza nchi halafu mnataka wananchi wasifie,tusifie ujinga unaoufanya?
Unafikiri waTanzania ni wajinga?
 
Du, imekuwa hivyo!! Hakika tuna safari ndefu.
 
kwa kuwa upepo umebadiika, Serikali ifikirie ili wazo, au unasemaje; mzigo wa COVID kwa sasa sindo habari ya TOWN then tuwe wabunifu, ila nina mashaka mkulu kusema kijana wake kapona covid kuna chumv apo, alipokuwa na kirus haikutangazwa amepona ndo unatangaza, hii ni chai.
tuendelee kufata ushauri wa wataalam.
 
Attachments

  • nyungu.jpg
    nyungu.jpg
    6.3 KB · Views: 2
Back
Top Bottom