Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Hii nchi mpenda haki na msema kweli ni adui wa taifa 😁 sababu ya unafiki na kujipendekeza kwa watawala kulikokithiri!Unataka kusema angekuwa waziri asingesema anayosema? Je anayosema ni ya uongo?Uwaziri ni miwani ya mbao au ni ear-plug?
Kesha itwa na kamati za maadili kuhojiwa na kuombwa ushahidi wa anayoyasema na alipeleka ushahidi na akaachwa huru, sio mgeni kwao, wanamfahamu kwamba sio mropokaji, ana kusanya data za yote anayoyasema kisha naongea, anafahamu ccm ni nini na watafanya nini hivyo uwa anajiandaa.
Sioni kwanini mtu kuusema ukweli aonekane ni mchawi, au ndio kusema "Sisi ukweli kwetu mwiko".
Mpina ni another version ya Lissu ilioko CCM. Yeye hujenga hoja zenye ujazo dhidi ya serikali ila serikali inachemka kujibu hizo hoja na nadhani style ya kumdhibiti haitatofautina sana na ya Lissu. Lets give a hand to the time.Kinachonisikitisha ni kuwa Mpina hana maisha marefu ya kisiasa na pengine hata ya kimwili na roho........
Huu ukimya wa CCM na namna wanavyojibu tuhuma zake ni wazi kuwa Wana buy time dhidi yake..... lakini mioyoni mwao wamedhamiria ubaya..........
Sote tunawajua CCM linapokuja suala la madaraka na utawala roho zao zinakuwaje.......
Mungu aepushe mbali
Hauko mbali na ukweli........Mpina ni another version ya Lissu ilioko CCM. Yeye hujenga hoja zenye ujazo dhidi ya serikali ila serikali inachemka kujibu hizo hoja na nadhani style ya kumdhibiti haitatofautina sana na ya Lissu. Lets give a hand to the time.
Eeh anatafutiwa angle tu akijaa wanaishi nae.Hauko mbali na ukweli........
Mpina amegeuka kuwa mwiba kwenye serikali ya Samia......bahati mbaya waimba mapambio sio wazuri kwenye kujibu hoja bali kwenye kutisha na kuteka.....
Waimba mapambio hawana uwezo wa kujibu hoja zaidi ya kusifu na kuabudu........Ni a heri asingejibu! Serikali ingempuuza Mpina kuliko kutoa majibu mepesi kwa baadhi ya hoja nzito za Mpina ambazo hata wananchi wanazijua ni sahihi!
Ni nani asiyejua Ufisadi,ubadhirifu wa fedha za umma,rushwa,kutowajibika kwa watendaji,ajira,deni la Taifa,nk bado vipo katika serikali yetu?
SImba ametoa majibu mepesi!!
Kamati ya roho imeona muda hautoshi kushughulika na Mpina Kwa sasa hivyo wanamngojea kwenye kura za maoni majimboni..........Eeh anatafutiwa angle tu akijaa wanaishi nae.
Watamfyeka kwenye jimbo tu arudi kitaani😁Kamati ya roho imeona muda hautoshi kushughulika na Mpina Kwa sasa hivyo wanamngojea kwenye kura za maoni majimboni..........
Kushughulika na Mpina kwa namna yoyote sasa ni kosa kubwa kisiasa kwani kwenye uwanja wa hoja Mpina amejipanga vyema..........
Kwa lugha nyepesi Mpina amewavua nguo CCM na wao wameamua kuchutama........
Na yeye Mpina ameshalijua hilo na ndio anajitahidi kujikuza kisiasa ili kupata uungwaji mkono na wananchi kama mtaji wake kisiasa ili ikitokezea kama anavyofikiria iwe rahisi kubadili Gia angani.........Watamfyeka kwenye jimbo tu arudi kitaani😁
Hajajibu pengine anaomba muongozoHoja zipi alizojibu?
Awamu hii watatafutana tumechoka sie ndio maana kampeni nyingi mara tunachapisha fomu moja tunaomba hoja za Mpina zijibiwe msitutoe kwenye reliMimi niliona kama Simbachawene anasisitiza hoja za Mpina kwa kuzirudia kwa umakini ila baadae akajifanya kumpamba mama ili asionekane kama kamuunha mkono Mpina.
Ila kwa jicho la tatu Simbachawene kapigilia msumari hoja za mpina
Na Mkapa ulifanyika?Uchunguzi wa Ben Saanane ulifanyika?
Mkuu kwani mtu mwenye pacemaker hawezi kuuwawa?Uchunguzi wa nini mtu alikua anatumia pacemaker miaka 10!!
Anaweza lakini kuita kifo cha "utata" ndio nakataa. Bora wangesema pacemaker ilichezewa ila utata ingekua ajali, Figo kufeli na mambo tofauti na mfumo wa moyo. So hata kama aliuwawa walipitia kwenye tatizo la moyo hilo hilo.
Hakuna popote Mabeyo alisema Rais kafa kienyeji, yeye aliongelea utata kwenye uapisho wa Rais wala hakua na shida na kifo cha JPM maana mpaka anakata roho yeye alikuwepo.CDF Mabeyo kaonesha wazi kuwa kwenye vyombo vya usalama jambo la Rais kufa kienyeji halijakaa sawa!!
Maalim Seif hao ACT si walisema wemyewe alikua na Covid 19? Kama angeuwawa unadhani wasingeitumia kama mtaji wa Kisiasa huko zanzibar? Ila wao tu walikiri alikua na Covid hawakuficha kitu.Maalim Seif naye alikuwa anatumia pacemaker?
Hap wote Covid 19 mbona iko wazi, na sio hao tu hata ofisini kwetu walikufa wengi sana muda ule mpaka Mama yangu mzazi naye alizidiwa akaponea ICU so it's not like kulikua hakuna Wimbi la Covid. Hata Odinga tu alilazwa kipindi hiko hiko so hakuna utata wowote.Vipi kuhusu vifo vya ghafla vya watu wa karibu na Magufuli; Engineer Mfugale na John Kijazi!
Auwawe kivipi wakati betri inaweza pata hitilafu muda wowote? Mfano mtu hana Figo anatumia mipira tu alafu useme kauwawa? Yaani mtu yupo terminally ill miaka 20 alafu akifa useme ni hujuma? Angalia tokea kampeni alikua amechoka sana hata kuna mikoa hakufanya kampeni. He was bound to decease na ni bahati mbaya sana, ila kama ulifuatilia kampeni ungejua kabisa hana muda mrefuanaye tumia pacemaker hawezi kuuwawa?
Umbea gani ilitangazwa na Rais mwenyeweKwa umbea hamjambo
Hata mimi nimeshangaaNi wewe kweli ndugu!!??
Kwanini tusianze kuchunguza kifo cha Mkapa, ambaye ni kama alikufa ghafla?Waanze basi kufanya uchunguzi wa kifo cha mwendazake