Bubu Ataka Kujibu,
Mkuu ama kweli JF imeharibika na pengine ndivyo tulivyo yaani JFG inawakilisha mawazo ya Wadanganyika wengi..Kuna hao kina Maxshombo yaani shombo full max nondo... wanao question hata elimu ya Mtume Muhammad kwa hoja za Tanzania wakati hapo alipo hajui Yesu alisoma hadi darasa la ngapi..wala hafahamu hata shule alosoma Yesu zaidi ya imani za kufikirika..Hawa watu wanaoamini chupa badala ya content matatizo sana - neologism..
Wakristu na Waislaam wa kweli wanamuamini Yesu sio kwa sababu ni mtoto wa Mungu au elimu yake kuwa kigezo cha kuaminiwa isipokuwa WAHI alokuja nao ndilo somo..hivi vingine vyote ni vichombezo ambavyo haviwezi kubadilisha Ukweli kuwa Yesu alikuwa na Ujumbe muhimu kwa binadamu...
Naogopa sana ikiwa Chadema watachagua viongozi wake kwa kufuata dini zao badala ya uwezo wa watu hao... Na kinachoshangaza ni kwamba sijui kila mpiga kura alitazama kwanza dini ya mgombea kabla hajamchagua Bi. Sophia Simba...
By the way, navyofahamu mimi toka zamani Bi. Sopiha Simba ni mke wa Mh. Idd Simba sijui hilo la Kitwana Kondo limetoka wapi..