Waziri Sophia Simba - Mwenyekiti Mpya UW-CCM (Taifa)

Waziri Sophia Simba - Mwenyekiti Mpya UW-CCM (Taifa)

Bubu Ataka Kujibu,
Mkuu ama kweli JF imeharibika na pengine ndivyo tulivyo yaani JFG inawakilisha mawazo ya Wadanganyika wengi..Kuna hao kina Maxshombo yaani shombo full max nondo... wanao question hata elimu ya Mtume Muhammad kwa hoja za Tanzania wakati hapo alipo hajui Yesu alisoma hadi darasa la ngapi..wala hafahamu hata shule alosoma Yesu zaidi ya imani za kufikirika..Hawa watu wanaoamini chupa badala ya content matatizo sana - neologism..
Wakristu na Waislaam wa kweli wanamuamini Yesu sio kwa sababu ni mtoto wa Mungu au elimu yake kuwa kigezo cha kuaminiwa isipokuwa WAHI alokuja nao ndilo somo..hivi vingine vyote ni vichombezo ambavyo haviwezi kubadilisha Ukweli kuwa Yesu alikuwa na Ujumbe muhimu kwa binadamu...

Naogopa sana ikiwa Chadema watachagua viongozi wake kwa kufuata dini zao badala ya uwezo wa watu hao... Na kinachoshangaza ni kwamba sijui kila mpiga kura alitazama kwanza dini ya mgombea kabla hajamchagua Bi. Sophia Simba...
By the way, navyofahamu mimi toka zamani Bi. Sopiha Simba ni mke wa Mh. Idd Simba sijui hilo la Kitwana Kondo limetoka wapi..
 
"By the way, navyofahamu mimi toka zamani Bi. Sopiha Simba ni mke wa Mh. Idd Simba sijui hilo la Kitwana Kondo limetoka wapi.. "

Mkuu
Point of information: Bi Sophia Simba hajawahi kuwa mke wa Iddi Simba... Na Sophia Simba SIO Muislam!...sema ni mtu wa kujichanganya sana na "waswahili"(kama wanavyoitwa).

JF (Jukwaa la SIASA)inasikitisha sana sikuhizi kwa kuanalyse kila issue katika context ya udini!... kuna politics za kutosha tu kwenye hizi chaguzi za jumuiya za CCM, lakini watu wameng'ang'ana na la dini tu... Pathetic!
 
Nani kasema Sophia Simba alikuwa mke wa Iddi Simba?Imeelezwa kuwa aliwahi kuolewa na Kitwana Kondo...nadhani huko ndio kujichanganya,when Iddi Simba becomes KK!

Hivi mnataka tukae kimya kama kuna element ndani ya CCM zinapigia debe udini au ukabila?Kwanini JF "ipoteze" mwelekeo pale tu inapowashukia WADINI lakini ionekane iko sahihi inapowakalia kooni MAFISADI?Wadini na mafisadi wote ni hatari kwa ustawi wa taifa,na lazima tuwabane,hata kama kwa kufanya hivyo baadhi ya wenzetu wata-conclude kuwa sisi ni wadini.Let it be that way,kuitwa "wadini" kupinga udini.
 
Nani anabisha JK and waislamu wenzake si wabaguzi wa kidini kupindukia?Nani.....anabishaaaaaaa?

Nchi hii si ya waislamu pekee au wakristo,lakini move anayoitumia JK ktk ku-apoint wasaidizi wake na watendaji wengine imejaa misingi ya kidini au u-mtandao.

Nauliza,hoja ya mama kahama,JK juu ya rushwa ya mama simba aliishughulkia vp?ok,alisema itachnugzwa,yes,lini?na nani?na kama ikigundulika she is corrupt,atamfanya nini?kwanini uchaguzi usingelisitishwa hadi uchunguzi wa hoja ya kahama zidi ya sophia ukamilike?

So,wachache hasa sisi wenye siasa kali, tunathamini na tunajali umuhimu wa haki zamsingi za wakristo ktk jamii hii.Hivyo basi tuna wajibu wa kuhakikisha yote yanafanikiwa.

Pia kuna tetesi,JK anasubilia uchaguzi wa 2010 upite then apitishe OIC kwa ubabe,why?hiyo ni sawa?

On OIC hapatalika mkuu hapa tz.
 
On OIC hapatakalika mkuu hapa tz.
 
Natizama Leadership nzima ya CCM, wote umri wao ni zaidi ya miaka 50! na hakuna succession plan yeyote! kwa trend hii CCM haiwezi dumu miaka 15 mbeleni. New blood kama Nape na Amina wote tunajua yaliyowafika.

Ukitizama timu ya CHADEMA ukiondoa Dr.Slaa waliobaki wako chini ya miaka 45 hivyo wanaweza kuikimbiza CCM miaka 20 ijayo.

Kwa Mtizamo wangu CCM sio sustainable party.
 
Obama angezaliwa Afrika ata uwenyekiti wa shina asingepata.

Wakinamama wenyewe wametulia. Wanaume hapa mnashikana mashati. Basi jiungeni na UWT, mumpigie mnayemtaka?
 
"Nauliza,hoja ya mama kahama,JK juu ya rushwa ya mama simba aliishughulkia vp?ok,alisema itachnugzwa,yes,lini?na nani?na kama ikigundulika she is corrupt,atamfanya nini?kwanini uchaguzi usingelisitishwa hadi uchunguzi wa hoja ya kahama zidi ya sophia ukamilike?"

Sasa hii ndio naiita hoja kwenye mijadala ya kisiasa... bahati mbaya baadhi yetu tunakimbilia kutoa majibu mepesi based only on jina la mtu linasound vipi, badala ya kutazama other possible explanations..... Tukate ishu wakuu... Majibu mepesi hayatamsaidia yeyote kwenye maendeleo ya taifa...Hayana tija!

Hayo mengine naamini yana jukwaa lake mahsusi hapa JF...la kutoleana jazba na frustrations zetu.
 
Mpaka sasa miaka takribani 50 tangu tupate uhuru ni wazi kuwa tumeshindwa kujitambulisha kisiasa kwa sera za utaifa tu, kila mara lazima tuingize udini kwenye siasa zetu. Mimi nashauri tuunde kitu kama "Affirmative Action" inayosimamia balance ya dini katika madaraka ya kuendesha nchi. Kwa mfano, kama rais ni Mwislamu basi Makamu lazima awe Mkiristo, na muundo wa namna hiyo. Itasaidia sana kuondoa hizi kero za udini zinazosumbua vichwa vyetu kila kukicha. Ni kujidanganya sana kundelea kuamini mahubiri ya Nyerere kwa kile alichotaka kuwa serikali yetu haina dini, wakati udini unaonekana kutawala mawazo ya raia na viongozi wetu wengi.

Heri Mimi sijasema
 
Okoa waislamu,okoa..Jakaya kikwete na Mwinyi okoa maisha waislamu na wapalestine
Unadhani sehemu ya maneno haya yalio tamkwa na waislamu watz ktk maandamano yao yalimaanisha nini?

Ok,waweza sema ni maraisi wastaafu,....okkkkkk.....hakuna mwingine ajulikanaye kama rais mstaafu,au kwasababu i wa imani hiyo? hapo?
 
"Ni kujidanganya sana kundelea kuamini mahubiri ya Nyerere kwa kile alichotaka kuwa serikali yetu haina dini, wakati udini unaonekana kutawala mawazo ya raia na viongozi wetu wengi."

Mkuu Kichuguu, post imeenda sana shule. Inanikumbusha famous quote ya mmoja wa members wetu hapa, nadhani ni FMES kuwa "VIONGOZI WETU NI REFLECTION YA SISI WENYEWE"
 
As of this moment................................

zionism
Junior Member
Join Date: 3rd January 2009
Posts: 5
Rep Power: 0
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Credits: 467
------------------------
Referrals: 0
Current Activity: Viewing Thread Waziri Sophia Simba - Mwenyekiti Mpya UW-CCM (Taifa)
-------------------------------

POST 1
Yes,Gaidi JK umeongea clear na tumekusikia.
Jambo moja napenda ulifahamu ni kuwa ugaidi wako una kikomo.
Muda ukiwadia tutajitoa muhanga ikibidi kwa faida ya Taifa letu.
tumechoshwa na visa vyako.

Pole mama Kahama,ni pigo kwetu sote wakristo,tunaahidi kuwa pamoja nawe hasa ktk kipindi hiki kigumu kwako na kwetu sote.
Mshukuru angali huu hai na nguvu alizokujalia.Amina.

Ndg.Mtikila,kuwa ngangari,na hiyo kesi inayokukabili,si yako pekee,ni yetu sote wakristo.Wakijifanya wanajua zaidi zidi yako na yetu,hapata kalika hapo Tz.

POST 2
Nani anabisha JK and waislamu wenzake si wabaguzi wa kidini kupindukia?Nani.....anabishaaaaaaa?

Nchi hii si ya waislamu pekee au wakristo,lakini move anayoitumia JK ktk ku-apoint wasaidizi wake na watendaji wengine imejaa misingi ya kidini au u-mtandao.

Nauliza,hoja ya mama kahama,JK juu ya rushwa ya mama simba aliishughulkia vp?ok,alisema itachnugzwa,yes,lini?na nani?na kama ikigundulika she is corrupt,atamfanya nini?kwanini uchaguzi usingelisitishwa hadi uchunguzi wa hoja ya kahama zidi ya sophia ukamilike?

So,wachache hasa sisi wenye siasa kali, tunathamini na tunajali umuhimu wa haki zamsingi za wakristo ktk jamii hii.Hivyo basi tuna wajibu wa kuhakikisha yote yanafanikiwa.

Pia kuna tetesi,JK anasubilia uchaguzi wa 2010 upite then apitishe OIC kwa ubabe,why?hiyo ni sawa?

On OIC hapatalika mkuu hapa tz.

POST 3

POST 4
Na mbado utaikimbia tz kabisa ikiwa nawe ni mmoja wao.

POST 5
Unadhani sehemu ya maneno haya yalio tamkwa na waislamu watz ktk maandamano yao yalimaanisha nini?

Ok,waweza sema ni maraisi wastaafu,....okkkkkk.....hakuna mwingine ajulikanaye kama rais mstaafu,au kwasababu i wa imani hiyo? hapo?

.....................................Post zote hizo ziko kwenye thread moja!!!!!
 
Someone Please Call 911...

Isije kuwa kuna viruses wamekua posted kuja kuidiscredit JF kwa distortions za kila aina...ili eventually Forum ipoteze mwelekeo kabisaa, maana nowadays mh!.... JF kuna mambo.
 
- Lets cut the chase hapa, Sophia hajawahi kuwa mke wa Idd Simba, never! na wala sio Mu-Islam, Sophia ni Mkatoliki na amekua girlfriend wa Kitwana Kondo kwa muda mrefu sana lakini sio mkewe wa ndoa, na amefikia hata kuzaa naye watoto, mmoja wao yupo jela kwa muda mrefu sana kule Carlifornia. Sophia amesoma sheria Mlimani wakati mmoja na muungwana, na Lowassa.

- Connection yake kwenye power na hasa na muungwana, inakuja through Kitwana Kondo former meya wa Dar na mbunge wa zamani Kigamboni, a very influencial man toka hata wakati wa Mwalimu kutokana na his knowhow na ishus za Waisilamu, hasa jijini Dar. Yeye ndiye the go to guy kwa marais wote since Mwalimu, kwenye kuzima na kuziwahi ishus tata za Wa-Isilamu mjini Dar, hasa kwenye kuzima maandamano na utata wa never ending kwenye Bakwata.

- Kwenye huu uchaguzi kumetokea ishus nyingi sana ambazo zinatatanisha sana, kwa mfano in public Muungwana hakuwa mkweli na exactly nani aliyemtaka hapa kushinda, lakini kumbe it was very clear in private aliyemtaka ni Sophia, Mafisadi fearing the public blacklash kama ya uchaguzi wa Uv-CCM na wao pia wamecheza un-ugly game ya kutoa signal kwa wahusika wengi wa uchaguzi kuwa wanam-support Mama Janet, huku wakimpa Sophia kitita cha hela zisizo na mfano kwa siri ili kushinda. At one point during uchaguzi jana, hela zilikuwa zinagawiwa openly huku maa-agent wa idara wakiwazuia watoa hela wa Mama Janet na kuruhusu wa Sophia tu kutoa mapesa hayo ya rushwa, sasa the small picture hapa ni kwamba kwenye vita vya ufisadi, tumepiga hatua mbili nyuma.

- Lakini the big picture ni je Muungwana ameamua kurudi tena kwa marafiki zake, yaani mafisadi? Na je aliwahi kuachana nao for real? I mean sio siri kua hapa wote wamemsaidia mgombea mmoja, sasa was it co-ordinated au ilikuwa kila mmoja ki-vyake? Huu uchaguzi ni kama zile chaguzi mbili za huko nyuma kuelekea kwenye uchaguzi wa mwisho wa rais, yaani Nchimbi na UV-CCM na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, ambapo ndipo hasa mafisadi walipoanza kuonyesha makucha yao rasmi kama vile huu uchaguzi wa jana uwt. Huu uchaguzi sasa sio siri tena kuwa ulikuwa ni agenda ya urais 2010 na pia 2015 na the number one looser jana alikuwa ni Membe, namba mbili ni lile kundi la wapiganaji kina Mwakyembe na the likes, namba tatu mpiganaji Mengi, nne ni sisi wananchi ambao tumekuwa mstari wa mbele sana baada ya kutiwa nguvu na uchaguzi wa UV-CCM, ingawa kwa wanaomjua vizuri Muungwana wanasema this is him kumridhisha kila mtu na kuendeleza popularity yake, maana nasikia aliposema tu anataka mgombea msomi meaning Sophia, basi uchaguzi ukaisha pale pale na infact ilikuwa ni marudio ya maneno ya Mkapa kwenye uchaguzi wa rais uliopita, tuchague rais kijana.

- Walioshinda jana tena big time ni Lowassa, Mkapa, Makamba, Nchimbi, na hasa Masha, maana sasa the hope is back tena na urais. Uchaguzi huu wa UWT unaweka pabaya sana ile operation Kisutu I mean itaenda vipi forward wakati waziri wa utawala bora yaani TAKUKURU na Usalama, anapohusika kwenye this very ugly rushwa na the very abuse of power?

- I mean talking about abuse of power ya kina Mramba na yona mbona wanakuwa cha mtoto kulinganisha na what waziri wetu did here, tena akiwa na support ya rais na hizi instituion mbili muhimu za dola tunazoziaminia kwenye vita ya kusafisha mafisadi? Unajua nitawashangaa sana wanaopelekwa Kisutu, kama hawata cite ishus kama hizi za abuse of power kwenye huu uchaguzi katika kujitetea kwao against serikali, kwa sababu serikali inapata wapi hapa moral na legal authority kuwa-prosecute on abuse of power wakati na wao wanafanya hayo hayo na hasa kwenye huu uchaguzi? Sisemi kwamba sasa kina Mramba wawe off the hook, no way hao bado tunakomaa nao tu mpaka kieleweke lakini hapa serikali imetuchanganya kama haikujichanganya yenyewe.

- Again, kama demokrasia inavyotaka tunamtakia heri Auntie Sophia na ushindi wake, lakini hivi ni kweli the end in this uchaguzi unaweza uka-justify the means? Na ni under nani's expense? Wote wawili Auntie Sophia na Mama Janet, hawakufaa kuruhusiwa kugombea huu uchaguzi, kwa sababu wametumia rushwa kubwa sana tena isiyo mfano kwa nafasi ndogo sana ya uwt, sasa urais ujao itakuwaje?

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Mkuu FMES

Asante sana kwa data zako na uchambuzi wako. Nadhani tutafute namna nyingine ya kutibu gonjwa kubwa hili linaloikabili nchi yetu kwa sababu hii political prescription tuliyofundishwa na waliotutangulia haionyeshi kuwa itafanya kazi dhidi ya hili kansa lililotukumba.

Kwa nchi za wenzetu mtu ajulikanaye kutokuwa na maadili (ikiwa ni pamoja na kuzaa na mtu asiyekuwa mme au mke wake) hapewi madaraka ya nchi hata siku moja labda afiche sana. Clinton alikuwa almanusra sana pamoja na kuwa wamarekani wanajua kuwa alikuwa kiongozi mzuri na mwenye akili sana. Inakuwaje sisi tunawapa madaraka watu wa wasiokuwa na maadili hivi waziwazi?? Hawa ni watu waliozowea kusema neno moja hadharani na kutenda kinyume chake wakiwa ufichoni
 
Back
Top Bottom