Waziri Ulega akipiga mkwara na Kingereza cha ugoko

Afrika nzima jana leo kesho na kesho kutwa hamna alie kua anaongea kiingera fasaha kama Mugabe
 
Na upumbafu unao kichwani! Lugha si kipimo cha utendaji wa kazi, hizi timu za mpira unakuta wapo wachezaji wa mataifa mbali mbali hawajui kingereza kocha anatumia kingereza na wanaelewana
hakuna mahali nimesema luga ndio kipimo cha utendaji kazi wake..!! alafu mpira na uwongozi na utendaji ni vitu tofauti kabisa kufaninisha
 
Kuelewa masomo kunahitaji kuweza kusoma na kusikia, shida ya wasomi wa Tanzania sio kushindwa kuelewa kiingereza wanachosoma na kusikia ila ni shida ni kuweza kuongea vizuri kiufasaha.
 
Kingereza ni lugha kama kisambaa,kwa hiyo mtu asipozungumza kwa ufasaha siyo tatizo ni kuendelea kujifunza mpaka atakuja kuongea moja kwa moja.
 
Wachina wenyewe hawajui Kiingereza... Angeongea Kiswahili tu!
Mifumo yetu ya uchaguzi haiangalii uwezo wa akili ya mtu bali itikadi ya chama na uwezo wa kugawa rushwa!
 
Kingereza ni lugha kama kisambaa,kwa hiyo mtu asipozungumza kwa ufasaha siyo tatizo ni kuendelea kujifunza mpaka atakuja kuongea moja kwa moja.
Lakini sasa ndo utoke kapa kuanzia primary hadi chuo? Kweli? No wonders hawataki kwenda kusafiri kushiriki multilateral platforms!
Kama anajua hakimo why asiongee tu Kiswahili chake?
 
Mheshimiwa huyu angeweka juhudi kwenye kiingereza kama anavyoweka juhudi kupaka piko mvi zake, hakika aibu hii isingemkuta
 
Kuna watu ukiwaangalia tu usoni unajua nini kiko kichwani... Aliwahi kurekodiwa anaongea upuuzi, nashangaa leo ni waziri bado.
Mifugo ilimtoa jasho, huko ujenzi sijui.
 
Mi sijui tutatibu vipi hili tatizo kwa kweli. Mwanafunzi wa mwaka wa tatu chuo anashindwa kuunganisha sentensi tatu za kiingereza
 
Kiingereza siyo lugha yetu. Acha ushamba wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…