Waziri Ulega akipiga mkwara na Kingereza cha ugoko

Waziri Ulega akipiga mkwara na Kingereza cha ugoko

Afrika nzima jana leo kesho na kesho kutwa hamna alie kua anaongea kiingera fasaha kama Mugabe
02a9c1dea82cfec44680e3b2c30da5e9.jpg
 
Na upumbafu unao kichwani! Lugha si kipimo cha utendaji wa kazi, hizi timu za mpira unakuta wapo wachezaji wa mataifa mbali mbali hawajui kingereza kocha anatumia kingereza na wanaelewana
hakuna mahali nimesema luga ndio kipimo cha utendaji kazi wake..!! alafu mpira na uwongozi na utendaji ni vitu tofauti kabisa kufaninisha
 
Kwa mtu aliyesoma Tanzania na hawezi kuwasiliana vizuri kwa kiingereza maana yake hata masomo ya kuanzia sekondari hakuyaelewa vizuri, kwa hiyo hayupo intelligent. Hao wajapani elimu yao hawakusoma masomo kwa kiingereza, ila kiingereza kinaweza kuwa ni somo moja tu, tofauti na Tanzania
Kuelewa masomo kunahitaji kuweza kusoma na kusikia, shida ya wasomi wa Tanzania sio kushindwa kuelewa kiingereza wanachosoma na kusikia ila ni shida ni kuweza kuongea vizuri kiufasaha.
 
Kingereza ni lugha kama kisambaa,kwa hiyo mtu asipozungumza kwa ufasaha siyo tatizo ni kuendelea kujifunza mpaka atakuja kuongea moja kwa moja.
 
Mwisho jamani nafasi za Uwaziri ni kubwa sana. Hawa ni watu wanao negotiate deals kwa faida ya nchi. Wanaosimama kwenye international platforms kuwakilisha nchi. Jamaniii tuteue watu wenye uwezo hata wa kuzungumza hizi lugha kubwa za kigeni kama kiingereza kwa ufasaha.

Poleni Tanzania. Ni aibu
Wachina wenyewe hawajui Kiingereza... Angeongea Kiswahili tu!
Mifumo yetu ya uchaguzi haiangalii uwezo wa akili ya mtu bali itikadi ya chama na uwezo wa kugawa rushwa!
 
Kingereza ni lugha kama kisambaa,kwa hiyo mtu asipozungumza kwa ufasaha siyo tatizo ni kuendelea kujifunza mpaka atakuja kuongea moja kwa moja.
Lakini sasa ndo utoke kapa kuanzia primary hadi chuo? Kweli? No wonders hawataki kwenda kusafiri kushiriki multilateral platforms!
Kama anajua hakimo why asiongee tu Kiswahili chake?
 
Kwa aibu niliyojiskia leo baada ya kusikiza Kiingereza cha Waziri Ulega akizungumza na Wakandarasi Wachina wanaojenga barabara ya mwendokasi huko Mwenge leo nakuomba tu Msemaji wa Serikali zungumza na Waandishi wa habari na waombe tu wasirushe zilr clips za Waziri wetu akizungumza kiingereza.

Kwa kifupi tu Waziri wetu kaharibu mbaya. Ile clip ikienda viral ni aibu sana 😅. Kile kiingereza kitatuaibisha sana kama Taifa. Ni broken isiyovumilika.

Mwisho jamani nafasi za Uwaziri ni kubwa sana. Hawa ni watu wanao negotiate deals kwa faida ya nchi. Wanaosimama kwenye international platforms kuwakilisha nchi. Jamaniii tuteue watu wenye uwezo hata wa kuzungumza hizi lugha kubwa za kigeni kama kiingereza kwa ufasaha.

Poleni Tanzania. Ni aibu
Mheshimiwa huyu angeweka juhudi kwenye kiingereza kama anavyoweka juhudi kupaka piko mvi zake, hakika aibu hii isingemkuta
 
Kuna watu ukiwaangalia tu usoni unajua nini kiko kichwani... Aliwahi kurekodiwa anaongea upuuzi, nashangaa leo ni waziri bado.
Mifugo ilimtoa jasho, huko ujenzi sijui.
 
Wala hilo sio jambo la kucheka. Kuna wakati huwa najiuliza, hivi wale watoto ambao huwa wanaongea kiingereza kizuri wakiwa shuleni huwa wanaishia wapi? Manake hata huku vyuo vikuu, unakuta mtu hawezi kupresent kwa saa moja akiongea kiingereza safi. Na mtu huyo huyo ukifuatilia records zake, ni moja ya wale waliokua cream of the nation enzi hizo. Ni kiingereza huwa kina vapor au ni nini?
Mi sijui tutatibu vipi hili tatizo kwa kweli. Mwanafunzi wa mwaka wa tatu chuo anashindwa kuunganisha sentensi tatu za kiingereza
 
Kwa aibu niliyojiskia leo baada ya kusikiza Kiingereza cha Waziri Ulega akizungumza na Wakandarasi Wachina wanaojenga barabara ya mwendokasi huko Mwenge leo nakuomba tu Msemaji wa Serikali zungumza na Waandishi wa habari na waombe tu wasirushe zilr clips za Waziri wetu akizungumza kiingereza.

Kwa kifupi tu Waziri wetu kaharibu mbaya. Ile clip ikienda viral ni aibu sana 😅. Kile kiingereza kitatuaibisha sana kama Taifa. Ni broken isiyovumilika.

Mwisho jamani nafasi za Uwaziri ni kubwa sana. Hawa ni watu wanao negotiate deals kwa faida ya nchi. Wanaosimama kwenye international platforms kuwakilisha nchi. Jamaniii tuteue watu wenye uwezo hata wa kuzungumza hizi lugha kubwa za kigeni kama kiingereza kwa ufasaha.

Poleni Tanzania. Ni aibu
Kiingereza siyo lugha yetu. Acha ushamba wako
 
Back
Top Bottom