Waziri Ulega akipiga mkwara na Kingereza cha ugoko

aibu nimeona mimi
halafu humu kumejaa wenzake wanamtetea...
 
Kwani kiingereza ni intelligence ya mtu au ni lugha tu kama kiswahili, mbona wa Japan wengi hawajui kiingereza..........hizo ndo comment za watanzania walio shindwa kumudu lugha ya kiinaereza.
Shida kuforce. Angetumia mkalimani kama Wachina wanavyofanya wakiwa kwao angepungukiwa nini?
 
Asimamishwe na kufutwa kazi tu, haya ndiyo madhara ya uchawi kazini......mtu hajuwi akifanyacho lakini anapewa kazi na kupoteza muda.
 
Aliyemteua hajui kitu chochote, hivyo akisikia hiki kiingereza cha ugoko cha Ulega anasikia kama ni cha Bill Clinton . Huyu mama ni laana kwa taifa.
 
I see.

It's obvious that his English is not fluent as its not his first language.

However, Mr Ulega should have called his victims for a meeting behind the scene instead of deciding to create a circus somewhere in Dar-es-Salaam.

One problem to note though, finger pointing, shouting and showing aggressive behaviour towards people regardless of their positions in the societal culture are typical aspects of lacking leaderships skills.
 
Kaeleweka kwako. Kwa mchina kaonekana kama Comedian ndo mana mchina wawatu alianza kucheka.
Tatizo una mentality ya kimaskini ndio maana unatukuza lugha za wengine.

Huyo mchina nina uhakika angeongea kingereza kingekuwa kibovu kuliko cha ulega.
 
Akimaliza hapo anapewa posho yake, Wachina wanatucheka Sana. Hapo kuna jamaa anaitwa Mr Wei Ndio business manager Ndio anayefanya Mambo.

Hao mainjinia ni wala rushwa Tu. Namuona Injinia Nanihii Hapo, aulizwe kuhusu zege ubora wake, anyway wacha niiishie hapa
 
Kwani lazima singer kiingereza?
 
Kuna watu ukiwaangalia tu usoni unajua nini kiko kichwani... Aliwahi kurekodiwa anaongea upuuzi, nashangaa leo ni waziri bado.
Achana naKingereza ,huyu .aliingizwa na Magufuli baada ya kutetea ule uharinifu alikuwa anafanya Magunkwenye ule mfuko wa korosho! Enzi zileee!
 
 
Nimesikiliza Hadi dk ya 3 mbona poa tu! Mlishawahi sikiliza English ya JPm nyie?!πŸ₯΄
 
Shamba la bibi = grandma's farm
πŸ˜‚πŸ˜‚
We umeona wapi mtu amekasirika eti alafu anasema we are not aaa aaaaaaa



Alafu anauliza shamba la bibi mnasemaje kwa kiingereza?🀣🀣

Hii nchi ina comedy sana. Ndo mana hatupati maendeleo tunayostahili!
 
Kwani kiingereza ni intelligence ya mtu au ni lugha tu kama kiswahili, mbona wa Japan wengi hawajui kiingereza..........hizo ndo comment za watanzania walio shindwa kumudu lugha ya kiinaereza.
Hapa siyo Japan, mfano wa kipuuzi sana huo. Tukubali tu kuwa jamaa kapuyanga frankly speaking yaani karibu ajambe.
 
Achana na Kingereza ,huyu .aliingizwa na Magufuli baada ya kutetea ule uharinifu alikuwa anafanya Magunkwenye ule mfuko wa korosho! Enzi zileee!
Sasa nimeelewa, nilikuwa nawaza ilikuwaje.
 
Hapa hatuzungumzii utajiri, topic iliyopo kwenye huu uzi ni Kiingereza. Tusiende nje ya mada, it doesn't take a neuroscientist to know that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…