Waziri Ulega apendekeza Watu binafsi kutumia barabara za Mwendokasi kwa kulipia

Nonsense! Lengo la mwendo kasi ni kupunguza chaos sasa huyu naye anashauri turning kwenye chaos,kwanini wasijenge hizo barabara kuliko kuungaunga? Badala wake na kipango ya maana wanapendekeza vitu ambavyo havina mantiki
Hakika, hapo amechemsha!
 
Hili wazo lilichelewa sana, there is no point ya kujenga miundombinu kama haitanufaisha umma wa watanzania. Basi ziko chache barabara iko under-utilized by far percentage. Why not use it hata kwa ku charge malipo kidogo ili serikali ifidie kwa muda unaopotea bure bila faida ya uwekezaji kuonekana.

Wachaji elfu 2 mpaka 5 watu watakuwa wanalipa kutumia barabara hizo.
Kipindi hiyo barabara inapokua tupu, je vituo vya mwendokasi huwa havina abiria?
Wasikwepe kutatua tatizo la msingi. Kama mwendokasi itafanya kazi yake kwa asilimia Mia, huyo mnaetaka atumie hiyo njia kwa kulipia, ataamua kulipaki gari nyumbani atumie usafiri wa mwendo kasi.

Tatizo kuu, ni huduma ya mwendokasi kutozingatia sababu za kuanzishwa kwake, kama huduma hiyo ingefanya kazi yake hakika foleni zingepungua kwa kiasi kikubwa.

kama ni njia za kulipia niwashauri wajenge barabara kufuatana na nguzo za grid ya taifa watu wenye haraka zao wawe wanalipia.
 
Kama ferry wamempa Bakharesa kiroho safi na abiria wanafurahi sasa kwa nini kila tukiwaambia mwendokasi wampe mwekezaji yoyote wa ndani wanaogopa? Badala yake kila mtu analalamika tu zaidi ya mwaka na nusu sasa kuanzia wananchi wa kawaida, viongozi mpaka kamati ya bunge. Sitaki kuamini kuwa serikalini hakuna mtu mwenye mawazo ya kuweza kuukwamua huu mradi ukafanya kazi vizuri kama mwanzoni. Nahisi kuna mtu au kikundi cha watu ambacho kinanufaika na huu mradi na hakitaki kuachia tonge kirahisi. Haiwezekani abiria wakae vituoni wakati mwingine mpaka masaa mawili halafu hakuna kiongozi yoyote wa serikali au kwenye chama tawala anayestuka.

Huu mradi kila kiongozi akiutembelea au akiuzungumzia kwenye mkutano kuanzia mawaziri mpaka mkuu wa mkoa wanato ahadi ya kumaliza tatizo lakini badala yake kila siku unazidi kudidimia na hakuna hata dalili ya kuukwamua. Viongozi wa mwisho mwisho kuutembela na kutoa ahadi walikuwa Mchengerwa na Chalamila na wao walitoa ahadi lakini mpaka leo hakuna lililobadilika. Sasa hivi abiria anaweza kukaa kituoni hata zaidi ya masaa mawili asipate gari tofauti na mwanzoni wakati mradi unaanza ambapo abiria akikaa sana ni dakika kumi tano (15). Na hali inakuwa mbaya zaidi kwa wale abiria wenye uwezo mdogo kifedha maana hawana uchaguzi mwingine na abiria wenye mahitaji maalum kama wazee, wagonjwa, watoto, n.k.

Ni kukosa tu ubunifu huko serikalini kwani kukiwa na ubunifu nina hakika asilimia zaidi ya 70% ya magari, bodaboda na bajaji yasingefika mjini. Huu mradi ukifanya kazi vizuri na mabasi yakawepo ya kawaida na "luxury" yenye AC yakiwa na bei tofauti tofauti nani atachoma hela kununua mafuta aje ana gari mjini wakati ana uhakika wa kula kiyoyozi akafika Posta au Kariakoo na kurudi nyumbani kwa uhakika.

Ni mtizamo tu.
 
Huyo ni mwendawazimu kweli kweli, hivi anajua malengo ya mwendokasi ni yapi? Kwahiyo mabasi yapambane tena na foleni? Hiyo itakuwa ni mwendokasi sasa?

Mabasi ya mwendokasi yanaitwa mwendokasi sio sababu yanaenda speed kubwa, la hasha, bali yanaitwa hivyo sababu yanapita njia isiyo na foleni, hivyo yanafika haraka.., na lengo ni watu waache magari binafsi nyumbani yanayokaa foleni na badala yake watumie usafiri wa umma usio na foleni. Sasa ukiruhusu gari binafsi zipite kwa kulipia , mwisho wa siku mwendokasi nayo itakuwa na foleni kama barabara ya kawaida, na kuharibu malengo yote ya mradi. sasa utaahira kama huu kweli mtu anapendekeza kabisa bila aibu.., jamani, hizi taka taka za namna hii zinapataje uwaziri.., how?!!!
Mkuu hii nchi kwa kifupi ndani ya hii moaka 4 kama imekosa muelekeo. Prof asad alisema asilomia 70 ya wafanya kazi serikalini hawana weledi, simba chawene amesema asilimia 40, mimi nasema asilimia 100. Lakini yote haya no kwa sababu ya katiba mbovu. Mawaziri na sehem nyingi zinazohitaji uweledi watu wanateuliwa
 
Hili wazo lilichelewa sana, there is no point ya kujenga miundombinu kama haitanufaisha umma wa watanzania. Basi ziko chache barabara iko under-utilized by far percentage. Why not use it hata kwa ku charge malipo kidogo ili serikali ifidie kwa muda unaopotea bure bila faida ya uwekezaji kuonekana.

Wachaji elfu 2 mpaka 5 watu watakuwa wanalipa kutumia barabara hizo.
Kwani mabasi si yanauzwa au, tatizo nini sasa, si yaagizwe?
 
Tukisema no reform no election tunaamanisha viongozi wa ccm na serikali kwa ujumla wanegeuka kuwa laana kwa wananchi ! Mradi wa mwendokasi haukujengwa kwa ajiri hiyo sasa nini serikali imewaza jambo hilo kwa ajiri ya kuumiza wananchi ?

Matatizo ya nchi nikuwa na viongozi waliozoea kujinufaisha kodi za wananchi hii ni kwasababu mapato yote yanayokusanywa na fedha za misaada kutofanya kazi iliyokududia , nchi hii hatuwezi kupiga hatua bila sheria kali za kuondoa kinga kwa viongozi wanaotapanya fedha za umma.

Tumekuwa na taasisi kama Takukuru inayofanya kazi ya uchunguzi wa makosa ya ubadhilifu wa mali za umma lakini taasisi hii siyo huru hata kidogo kwasababu mkurugenzi wa taasisi hiyo abateuliwa na raisi na kila anachofanya hufanya kwa maelekezo, siyo taasisi hiyo mahakama n.k. uchunguzi unaonesha hakuna taasisi ambayo haiingiliwi na raisi inayoweza kumwajibisha yeye na watendaji wake , no reform no election ni mwarobaini wakumaliza viongozi waliozoea kujichagua na kutotimiza malengo kwa umma , katiba mpya ni sasa.👇👇👇👇

ACT Wazalendo tunapinga vikali kauli iliyotolewa jana Februari 14, 2025 na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, akipendekeza kuwekwa utaratibu wa kulipia matumizi ya barabara ya mwendokasi kwa wale wanaotaka kuepuka foleni. Kauli hii haipaswi kupuuzwa ni ushahidi mwingine wa jinsi serikali inavyokosa huruma kwa wananchi wake na kukosa uwajibikaji kwa maslahi ya wananchi.

Mradi wa mabasi ya mwendokasi jijini Dar es Salaam ulijengwa kwa fedha za walipa kodi wa Tanzania na hivyo ni haki ya kila mwananchi kuutumia bila vikwazo vya gharama. Kuweka ada kwa huduma ambayo ilikusudiwa kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri wa umma ni kinyume na malengo. Huu ni ubaguzi wa wazi ambapo sasa wananchi maskini watalazimika kubaki kwenye foleni kwa sababu hawawezi kumudu gharama mpya.

Aidha, mfano uliotolewa na Waziri Ulega kuhusu Daraja la Mwalimu Nyerere Kigamboni kama jambo la mafaniko ni dhihaka kwa wananchi. Inashangaza, licha ya malalamiko ya muda mrefu kuhusu ada kubwa za daraja hilo na serikali kutoonesha nia ya kushughulikia changamoto hiyo.

Sasa Waziri anapendekeza mfumo huo wa uonevu uendelezwe kwenye barabara za mwendokasi. Huu ni uthibitisho kwamba serikali ya CCM haina ajenda ya maendeleo yanayowalenga wananchi bali inaendeleza siasa za kutengeneza vikwazo vya kiuchumi kwa wananchi.

ACT Wazalendo tunasisitiza kwamba:
i. Barabara ya mwendokasi ni mali ya umma na haitakiwi kuwa biashara ya kuwanufaisha wachache.

ii. Waziri Ulega angejikita kuchukua hatua madhubuti za kutatua changamoto za uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi ili kuleta ufanisi na kumaliza tatizo la msongamano, uhaba wa magari na uchakavu.

iii. Serikali ina wajibu wa kuhakikisha huduma za usafiri wa umma zinabaki kuwa nafuu na kupatikana kwa wananchi wote bila ubaguzi wa kiuchumi.

iv. Kama serikali inaona kuna haja ya kuwa na barabara ya haraka ya kulipia (Express toll road) ijenge au iruhusu sekta binafsi ijenge kwa ajili hiyo badala ya kutumia miradi iliyojengwa kwa fedha za umma au mikopo itakayolipwa na fedha za umma ili kuwanufaisha watu wachache tu (vibopa).

Tunaitaka serikali kuacha mara moja mawazo haya dhalimu na badala yake kuelekeza juhudi katika kuboresha miundombinu
 
Ulega nae akili ndogo sana na ndio hawa viongozi tunawategemea kuwa washauri wa rais ,kila mtu hataki foleni na kama kulipia kila mtu anaweza aache ujinga wake
 
Sasa folen ni kubwa sana jioni, na sometimes unakuta njia ya mwendokasi haina gari so ni Bora mtu anaepita huko yes akalipia hata elf 20

Mbona ni ishu ya kawaida Sana

Au wewe tatizo lako ni mini?
 
Hazitakuwa za mwendo Kasi je wote wakiamua kuzilipa?
 
Sasa folen ni kubwa sana jioni, na sometimes unakuta njia ya mwendokasi haina gari so ni Bora mtu anaepita huko yes akalipia hata elf 20

Mbona ni ishu ya kawaida Sana

Au wewe tatizo lako ni mini?
Lengo ni barabara za mwendo Kasi, je wote wakiweza kulipia unadhani maana ya mwendo kasi itakuwepo tena
 
Sasa folen ni kubwa sana jioni, na sometimes unakuta njia ya mwendokasi haina gari so ni Bora mtu anaepita huko yes akalipia hata elf 20

Mbona ni ishu ya kawaida Sana

Au wewe tatizo lako ni mini?
Sasa hivi tu wake wenye number zisizo Anza na T huwa wanapita huko, jumlisha bodaboda ukiruhusu hii utatengeneza foreni huko na kupoteza maana kabisa. Acha ibaki Kwa dharura kama fire na ambulance.
 
Watengeneze barabara za kulipia ,walipe watu fidia watanue barabara ,wajenge subway ,wajenge .barabara za juu ,wakifanya hivyo hutosikia foleni kwenye majiji makubwa.
 
poor planning, haya ndo matatizo yake.

Wamebana barabara za kawaida iki kutengeneza mwendokasi matokeo yake congestion imekuwa ni kubwa mjini. At the sametime na hayo mabasi ya Mwendokasi yameshindwa kudeliver.

Solution ni subway, kupanga miji vizuri na kutengeneza mabarabara makubwa.
 
Sasa folen ni kubwa sana jioni, na sometimes unakuta njia ya mwendokasi haina gari so ni Bora mtu anaepita huko yes akalipia hata elf 20

Mbona ni ishu ya kawaida Sana

Au wewe tatizo lako ni mini?
Wakilipia wote je kutakuwepo maana ya barabara hizo na ukisema hivo mradi huo ulijengwa kwa lengo hilo?
 
Back
Top Bottom