Tumetumia mbinu ya kutopima na kutangaza maana ilikuwa inaongeza taharuki kwa raia. Mitaani nasikia wagonjwa wapo, ila hii ni kwa mujibu wa radio mbao!!Hivi inawezekana ikawa tumetumia mbinu gani kulishinda hili janga hivi, Kwa mbinu yoyote tuliyotumia kwanini tusi share na ulimwengu ili kunusuru dunia na hili janga
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo nchi nyingine, tuliwaambia waseme nchi jirani, hakuna kutajana majina.Ugonjwa Umepungua Sana yaani wamebaki wagonjwa wanne tu TZ Nzima ila Mipakani huko Kila siku "MADEREVA WA NCHI NYINGINE" wanakutwa na Korona.
Kituo/Hospital gani huko Bulyanhulu iliwapima ikatoa majibu kuwa Wana Corona?Juzi na jana jamaa zangu wa karibu wawili wamefariki kwa corona na wote eneo moja la Bulyanhulu. Endeleeni kuficha sie taarifa tunazo kwa kile kinachoendelea. Kwa sasa kutoa taarifa ya kifo cha corona huko ni uhaini. Si vizuri kuweka picha zao na majina yao hapa ila mlio na ndugu Kakola Bulyanhulu ulizeni
ESOPOKwa kweli Mungu ametufanyia mambo makuu. Walioathirika na corona tupo ila tumekua wachache zaidi ya kile wengi walichotarajia. Tunamshukuru Mungu kwa kuilinda nchi yetu, na tumshukuru rais wetu John Pombe Magufuli kwa maono sahihi ya kuchukua tahadhari na kusali
Tuliokua tunabeza kumwomba Mungu tukisubiri idadi ya vifo kuongezeka tusisahau kufanya toba😁😁😁
Sisi siyo masikini, Kama mtu mmoja anaweza kutumia 8.9 billion kwa mwaka Kuna umaskini kwenye hii nchi?Halafu ni masikini kuliko almost nchi zote duniani. Na umasikini ni laana, inakuaje taifa teule linakuwa na laana ya umasikini
Mtaani kwetu kuna wagonjwa watatu. Hospitali wameandikiwa wanaumwa Severe pneumonia. Wamepewa vidonge wajitibu nymbani. Wana dalili zote za Covid 19. Nilichoshangaa ni kuwa kwa kuwa kwa sababu hakuambiwa wanaumwa nini wala hawavai barakoa hapo nyumbani wala kujitenga. Kwa vile wana nafasi ni mimi nisiye daktari niliwahauri kujitenga na wanaowahudumia kuchukua hatua. Mmoja ameanza kuwa na nafuu na familia zao hamna aliyeonesha dalili ya kuathirika hadi sasa. Ugonjwa huu upo. Tuchukue tahadhari.Watu wenye Corona hawaendi hospital maana wananyanyapaliwa. Wengi wako nyumbani wanatumia asili. Ninavyoandika hapa amezikwa shemeji huko Moshi alikufa Corona huko kanda ya ziwa. Jumatano wiki hii anazikwa mwingine huko Marangu na mwili utapelekwa na watu wa afya kutoka Arusha. Mwingine atazikwa Rombo Ijumaa hii mwili utatolewa Moshi. Je serikali inayo taarifa kamili za hali ya ugonjwa nchini? Watanzania tuchukue tahadhari Korona ipo na inaenda kasi sana. Vaa barakoa , kula virurubisho, piga nyungu, epuka mikusantiko. Cha kusikitishaha toka ile tarehe 24 May walipotangaza hali si mbaya wagonjwa wamebaki 9 basi 99% ya watanzania wameyarudia maisha ya kawaida. Life ni kama kawaida vijiweni mpaka daladala hakuna barakoa tena. Soko la Temeke Stereo nilipata hata yale mtanki ya maji ya kunawa hayana maji muda mrefu sana. Nihatari sana hii.
Huyo ni mtu mmoja, kuna mwingine?Sisi siyo masikini, Kama mtu mmoja anaweza kutumia 8.9 billion kwa mwaka Kuna umaskini kwenye hii nchi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Data za uhakika tuzipate kwa madaktari wakuu wa mahosipitali.Tuanze na Agakhan Dsm sasa hivi.Saa hii.Mbali na hapo politics hapana.Maisha ya Watanzania ni ya thamani sana.Wale wa juzi waliorudishwa na kukabidhiwa kwa mamlaka kutoka Kenya na Uganda wako wapi? Serikali hii bhana ina mambo ya ajabu sana.
Hivi inawezekana ikawa tumetumia mbinu gani kulishinda hili janga hivi, Kwa mbinu yoyote tuliyotumia kwanini tusi share na ulimwengu ili kunusuru dunia na hili janga
Sent using Jamii Forums mobile app
HAPO HAATA MIMI NASHANGAZWA,INAWEZEKANA VIFAA VYA WENZETU KENYA ,UGANDA ,BURUNDI NI VIBOVU?Ugonjwa Umepungua Sana yaani wamebaki wagonjwa wanne tu TZ Nzima ila Mipakani huko Kila siku "MADEREVA WA NCHI NYINGINE" wanakutwa na Korona.
Yaani Mkuu wangu ni hatari. Hata kuwapima was naona hawafanyi. Huyo mgonjwa wa Arusha alianza kuumwa wiki 2 zukizopita na Hospital alikuwa anaenda ila anapewa dawa tu wala hakupimwa. Alipofariki ndiyo wamepima mwili na kuthibitisha corona hivyo watumishi wa afya wanasafirisha mwili kutoka Arusha hadi Marangu. Ndugu zanguni tujilinde na kujikinga. Ukiona dalili kazana mno kula virutubisho na nyungu. Tulia nyumbani kula limao ma tangawizi kila 3 hrs au hata 2hrs na mboga na matundaMtaani kwetu kuna wagonjwa watatu. Hospitali wameandikiwa wanaumwa Severe pneumonia. Wamepewa vidonge wajitibu nymbani. Wana dalili zote za Covid 19. Nilichoshangaa ni kuwa kwa kuwa kwa sababu hakuambiwa wanaumwa nini wala hawavai barakoa hapo nyumbani wala kujitenga. Kwa vile wana nafasi ni mimi nisiye daktari niliwahauri kujitenga na wanaowahudumia kuchukua hatua. Mmoja ameanza kuwa na nafuu na familia zao hamna aliyeonesha dalili ya kuathirika hadi sasa. Ugonjwa huu upo. Tuchukue tahadhari.
Maombi mkuu,Damu ya Yesu kristo imetenda maajabu !Hivi inawezekana ikawa tumetumia mbinu gani kulishinda hili janga hivi, Kwa mbinu yoyote tuliyotumia kwanini tusi share na ulimwengu ili kunusuru dunia na hili janga
Sent using Jamii Forums mobile app