Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Wazee wa matukio!!yaani miaka yote hiyo hilo ndio wanaliona leo yaani serikali za kiafrika bwana!!nakwambia hakuna kitakachofanyika, yaani badala ya kuzungumzia kuweka vituo vya kuchukulia maji(water hydrants) karibia maeneo yote ya mji, unazungumzia visima kwenye masoko/stendi? Kesho ikiungua hospital tunachimba tena kisima hapo hospital?!!ee bwana akili zetu waafrika tunazijua wenyewe.POTELEA PWETEE MUNGU NDIO ANATULINDALeo ndo wamekumbuka au?
Waziri wa Tamisemi mh Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza.
Chanzo: Radio One
Kwamba moto unazimwa na maji haya ya dawasco??? Kwamba nabi ya fire extinguisher kuna maji?Waziri wa Tamisemi mh Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza.
Chanzo: Radio One
Mwendo wa kuogelea Kama chura[emoji2]
🤣🤣🤣🤣 Ndo maana ya mawazo huru aseeSasa kama moto ukianzia huko kisimani itakuaje
Very sure...Magari ya washawasha hapa Tanzania hayajawahi kukosa maji ila magari ya zimamoto hayana maji.Mtu mweusi ni Kima aliechangamka🐒🐒🐒
Nchi ya kihuni hii[emoji3525]Magari ya washawasha hapa Tanzania hayajawahi kukosa maji ila magari ya zimamoto hayana maji.Mtu mweusi ni Kima aliechangamka[emoji205][emoji205][emoji205]
Tanzania ni kisiwa cha amani bwana Mungu anatupenda, tuzidi kumwomba tu atatusaidia😆😆Wazee wa matukio!!yaani miaka yote hiyo hilo ndio wanaliona leo yaani serikali za kiafrika bwana!!nakwambia hakuna kitakachofanyika, yaani badala ya kuzungumzia kuweka vituo vya kuchukulia maji(water hydrants) karibia maeneo yote ya mji, unazungumzia visima kwenye masoko/stendi? Kesho ikiungua hospital tunachimba tena kisima hapo hospital?!!ee bwana akili zetu waafrika tunazijua wenyewe.POTELEA PWETEE MUNGU NDIO ANATULINDA
Inshu sio visima kuchimbwa wapi, sasa wakivichimba kwwnye vituo vya zima mto mfano pale fire, moto unatokea mbagala hicho kisima kitakuwa na msaada gani?!!unaposema sio kila moto unazimwa na maji, ni kweli lakini vyovyote vile lazima maji yahitajike tu ktk uchanganyaji wa hizo chemikali, kutegemea na kundi la moto husika, ndio maana hakuna gari la zima moto lenye kutumia mchanga ktk kuzima moto,.cha msingi ni kujenga water hydrants kila sehemu za mji na ziwe na maji muda wote hii nayo ni changamoto nyingine!! ili moto kila sehemu unapotokea upatikanaji wa maji unakuwa karibu hapo!!Bora hivyo visima vichimbwe kwenye vituo vya zima moto ili upatikanaji wa maji kwa magari yao uwe rahisi, na si kila moto unataka uzimwe na maji.
Ulitaka wamiliki nini bwashee?Kwanini tamisemi wamiliki ma ma soko??
Hii nchi bwana usije shangaa kusikia hata pale BOT, hakuna vifaa vya kutambua viashiria vya moto!!!Tanzania ni kisiwa cha amani bwana Mungu anatupenda, tuzidi kumwomba tu atatusaidia😆😆
Kwa mfano moto umeanza alafu kisima kimekausha maji wewe wa stendi utafanyaje?