mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Lete takwimu zako ulizonazo, usidhani kwamba ukisambaa wewe utabakia salama, hakuna alopangiwa kupata maambukizi bali yeyote yule anaweza kuambukizwa na wewe ukiwa miongoni mwaoHawa kuna kitu wanatuficha hasa kwenye takwimu za walioambukizwa huu ugonjwa nchini. Ngoja ngoma isambae watafichua wenyewe.
Tumshukuru Mungu tumevuka kiunzi cha WHO na wale watz mavuvuzela wanaoiombea mabaya nchi yetu! Tutavuka salama tu kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu!
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
WATANZANIA wametakiwa kuongeza umakina katika kujilinda na virusi vya corona (COVID-19), kwa kuwa siku chache zijazo, nchi itaingia katika hatua ya kuambukizana wenyewe kwa wenyewe. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …(endelea).
Na kwamba, katika hatua hiyo, mtua anaweza kupata maambukizi na asijue amepata kutoka wapi.
“Tumetoka kwenye maambukizi yanayoletwa kutoka nje ya nchi (imported transmission), tuko kwenye local transmission (maambukizi ya ndani).
Hivi sasa, takwimu za kesi za jana na juzi, zinaonesha tumeanza kuambukizana wenyewe kwa wenyewe, hili lazima tuweke wazi. Hakuna maambukizi ya nje,” amesema Waziri Ummy na kuongeza:
“Tumeanza kwenye ‘local transmission’ na siku chache tutaingia kwenye ‘community transmission,’ maana yake tutapata mgonjwa hatutajua ameupata wapi huo ugonjwa, ndio maana tunafanya ufuatiliaji.
“Na ndani ya siku chache tutaingia katika hatua hiyo, lazima niwaambie ukweli viongozi wa dini, nisiwafiche kwamba soon tutaingia kwenye community transmission.”
Hata hivyo, Waziri Ummy amesema Tanzania imevuka kihunzi cha Shirika la Afya la Kimataifa (WHO), cha kuwa na wagonjwa 1,000 wa COVID-19 ifikapo katikati ya mwezi Aprili mwaka huu.
“Tunamshukuru Mungu, hadi sasa anatutendea maajabu, tumevuka kihunzi WHO, walisema mwezi Aprili tutapata wagonjwa 1,000 na kati kati ya mwezi Mei tutapata wagonjwa 10,000 lakini kila mtu akichukua nafasi yake, tunaweza kuvuka hicho walichotutabiria,” amesema Waziri Ummy.
Nikilockiwa na wewe korona nitaisikilizia nje hukooo😂😂
Jilockdown mwenyewe ila ukitaka njoo tujilockdown na mimi for only 14 days cha moto ukione dada!! Hahaha just kidding dada! Usije ukaniletea corona virus bure!!
Mmmmh...! Peleka mapovu yako huko!Tumuombee na Mangula apone aludi kweny majukumu yake kama kawaida pia tuwaombee na wazee wetu wenye visukari na presha na ukimwi wa ccm Mungu awaepushe na corona.
Ummy amewajuaje maambukozi ya ndani kwa ndani?Wewe umewapima na nini hao wagonjwa?
Hili nao tatizo kwakwel!!
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
WATANZANIA wametakiwa kuongeza umakina katika kujilinda na virusi vya corona (COVID-19), kwa kuwa siku chache zijazo, nchi itaingia katika hatua ya kuambukizana wenyewe kwa wenyewe. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …(endelea).
Na kwamba, katika hatua hiyo, mtua anaweza kupata maambukizi na asijue amepata kutoka wapi.
“Tumetoka kwenye maambukizi yanayoletwa kutoka nje ya nchi (imported transmission), tuko kwenye local transmission (maambukizi ya ndani).
Hivi sasa, takwimu za kesi za jana na juzi, zinaonesha tumeanza kuambukizana wenyewe kwa wenyewe, hili lazima tuweke wazi. Hakuna maambukizi ya nje,” amesema Waziri Ummy na kuongeza:
“Tumeanza kwenye ‘local transmission’ na siku chache tutaingia kwenye ‘community transmission,’ maana yake tutapata mgonjwa hatutajua ameupata wapi huo ugonjwa, ndio maana tunafanya ufuatiliaji.
“Na ndani ya siku chache tutaingia katika hatua hiyo, lazima niwaambie ukweli viongozi wa dini, nisiwafiche kwamba soon tutaingia kwenye community transmission.”
Hata hivyo, Waziri Ummy amesema Tanzania imevuka kihunzi cha Shirika la Afya la Kimataifa (WHO), cha kuwa na wagonjwa 1,000 wa COVID-19 ifikapo katikati ya mwezi Aprili mwaka huu.
“Tunamshukuru Mungu, hadi sasa anatutendea maajabu, tumevuka kihunzi WHO, walisema mwezi Aprili tutapata wagonjwa 1,000 na kati kati ya mwezi Mei tutapata wagonjwa 10,000 lakini kila mtu akichukua nafasi yake, tunaweza kuvuka hicho walichotutabiria,” amesema Waziri Ummy.
Ugonjwa tumeletewa kutoka nje,
Ahahahaah dah, umenichekesha. Ingawa ni jambo la kuchukulia umakiniNikilockiwa na wewe korona nitaisikilizia nje hukooo[emoji23][emoji23]
Usiombee lockdown tutaumbuka wengi haswa wale toka ndo ule sipati picha tutakavyopika hata magodoro[emoji23]
Ametumia mlango wa sita wa fahamu
Why😀I wish ningekua karibu na Ummy ningemnasa kibao kikali sana hadi akili yake irudi sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa alitoa kiasi na kuachiwaNamfikiria huyu myu sipati jibu, ilikuwaje akafika mwanza? Ina maana karantini ya 14 days inatamkwa tu utekelezaji hakuna, Mungu atusaidie sana
Watu wanahitaji sadakaKama ilikuwa international transmission, then local transmission, then community transmission, itakayofuata ni nini? Halafu, kama modelling imefanyika, si watoe tu prediction.
Hivi ni lazima watu waende kwenye nyumba za ibada? Sasa vile vitabu vya dini tunavyo nyumbani vya nini?
Natamani tu huu ndio uwe ukweliHamna lolote ugonjwa una zaidi ya miezi 3.hakuna jipya.wanata kutengeneza mazingira ya kuja kupiga pesa za wahisani tu kwa nchi zilizoathirika na corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko kwanguHivi Kabudi yupo wapi?