Waziri Ummy Mwalimu: Maambukizi COVID-19 ya ndani kwa ndani yameanza, Watanzania wajiandae kwa maambukizi ya Jumuiya

Hawa kuna kitu wanatuficha hasa kwenye takwimu za walioambukizwa huu ugonjwa nchini. Ngoja ngoma isambae watafichua wenyewe.
Lete takwimu zako ulizonazo, usidhani kwamba ukisambaa wewe utabakia salama, hakuna alopangiwa kupata maambukizi bali yeyote yule anaweza kuambukizwa na wewe ukiwa miongoni mwao
 
707d942ba2ea64172d6020f25daf90dc

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu

WATANZANIA wametakiwa kuongeza umakina katika kujilinda na virusi vya corona (COVID-19), kwa kuwa siku chache zijazo, nchi itaingia katika hatua ya kuambukizana wenyewe kwa wenyewe. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …(endelea).
Na kwamba, katika hatua hiyo, mtua anaweza kupata maambukizi na asijue amepata kutoka wapi.

“Tumetoka kwenye maambukizi yanayoletwa kutoka nje ya nchi (imported transmission), tuko kwenye local transmission (maambukizi ya ndani).

Hivi sasa, takwimu za kesi za jana na juzi, zinaonesha tumeanza kuambukizana wenyewe kwa wenyewe, hili lazima tuweke wazi. Hakuna maambukizi ya nje,” amesema Waziri Ummy na kuongeza:

“Tumeanza kwenye ‘local transmission’ na siku chache tutaingia kwenye ‘community transmission,’ maana yake tutapata mgonjwa hatutajua ameupata wapi huo ugonjwa, ndio maana tunafanya ufuatiliaji.

“Na ndani ya siku chache tutaingia katika hatua hiyo, lazima niwaambie ukweli viongozi wa dini, nisiwafiche kwamba soon tutaingia kwenye community transmission.”

Hata hivyo, Waziri Ummy amesema Tanzania imevuka kihunzi cha Shirika la Afya la Kimataifa (WHO), cha kuwa na wagonjwa 1,000 wa COVID-19 ifikapo katikati ya mwezi Aprili mwaka huu.

“Tunamshukuru Mungu, hadi sasa anatutendea maajabu, tumevuka kihunzi WHO, walisema mwezi Aprili tutapata wagonjwa 1,000 na kati kati ya mwezi Mei tutapata wagonjwa 10,000 lakini kila mtu akichukua nafasi yake, tunaweza kuvuka hicho walichotutabiria,” amesema Waziri Ummy.
Tumshukuru Mungu tumevuka kiunzi cha WHO na wale watz mavuvuzela wanaoiombea mabaya nchi yetu! Tutavuka salama tu kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu!
 
Tumuombee na Mangula apone aludi kweny majukumu yake kama kawaida pia tuwaombee na wazee wetu wenye visukari na presha na ukimwi wa ccm Mungu awaepushe na corona.
Mmmmh...! Peleka mapovu yako huko!
 
Mungu alitupenda sana, alitupa muda na nafasi ya kujipanga dhidi ya huu ugonjwa ila ndio hivyo tena tumekuwa wabishi! Yakitokea maafa serikali ya jiwe inalo la kujibu! Mungu Ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
707d942ba2ea64172d6020f25daf90dc

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu

WATANZANIA wametakiwa kuongeza umakina katika kujilinda na virusi vya corona (COVID-19), kwa kuwa siku chache zijazo, nchi itaingia katika hatua ya kuambukizana wenyewe kwa wenyewe. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …(endelea).
Na kwamba, katika hatua hiyo, mtua anaweza kupata maambukizi na asijue amepata kutoka wapi.

“Tumetoka kwenye maambukizi yanayoletwa kutoka nje ya nchi (imported transmission), tuko kwenye local transmission (maambukizi ya ndani).

Hivi sasa, takwimu za kesi za jana na juzi, zinaonesha tumeanza kuambukizana wenyewe kwa wenyewe, hili lazima tuweke wazi. Hakuna maambukizi ya nje,” amesema Waziri Ummy na kuongeza:

“Tumeanza kwenye ‘local transmission’ na siku chache tutaingia kwenye ‘community transmission,’ maana yake tutapata mgonjwa hatutajua ameupata wapi huo ugonjwa, ndio maana tunafanya ufuatiliaji.

“Na ndani ya siku chache tutaingia katika hatua hiyo, lazima niwaambie ukweli viongozi wa dini, nisiwafiche kwamba soon tutaingia kwenye community transmission.”

Hata hivyo, Waziri Ummy amesema Tanzania imevuka kihunzi cha Shirika la Afya la Kimataifa (WHO), cha kuwa na wagonjwa 1,000 wa COVID-19 ifikapo katikati ya mwezi Aprili mwaka huu.

“Tunamshukuru Mungu, hadi sasa anatutendea maajabu, tumevuka kihunzi WHO, walisema mwezi Aprili tutapata wagonjwa 1,000 na kati kati ya mwezi Mei tutapata wagonjwa 10,000 lakini kila mtu akichukua nafasi yake, tunaweza kuvuka hicho walichotutabiria,” amesema Waziri Ummy.
Hili nao tatizo kwakwel!!
Allah tuwe pamoja nasi kwa hili! Ili tuvuke salama
 
Nikilockiwa na wewe korona nitaisikilizia nje hukooo[emoji23][emoji23]

Usiombee lockdown tutaumbuka wengi haswa wale toka ndo ule sipati picha tutakavyopika hata magodoro[emoji23]
Ahahahaah dah, umenichekesha. Ingawa ni jambo la kuchukulia umakini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namfikiria huyu myu sipati jibu, ilikuwaje akafika mwanza? Ina maana karantini ya 14 days inatamkwa tu utekelezaji hakuna, Mungu atusaidie sana
Itakuwa alitoa kiasi na kuachiwa
 
Kama serikali hamna strategy,xia watu wasitoke mkoa kwenda mkoa kwa kibalimaalumu
 
Kama ilikuwa international transmission, then local transmission, then community transmission, itakayofuata ni nini? Halafu, kama modelling imefanyika, si watoe tu prediction.

Hivi ni lazima watu waende kwenye nyumba za ibada? Sasa vile vitabu vya dini tunavyo nyumbani vya nini?
Watu wanahitaji sadaka
 
“Tunamshukuru Mungu, hadi sasa anatutendea maajabu, tumevuka kihunzi WHO, walisema mwezi Aprili tutapata wagonjwa 1,000 na kati kati ya mwezi Mei tutapata wagonjwa 10,000 lakini kila mtu akichukua nafasi yake, tunaweza kuvuka hicho walichotutabiria,” amesema Waziri Ummy.

Hakuna maajabu hapo wala miujiza ndio kwanza leo ni tarehe 9 Aprili. Tunaenda kuumia pakubwa. WHO wapo sahii.
Viongozi vilaza hawa sijuhi tumewatoa wapi..!
 
Back
Top Bottom