Waziri Ummy Mwalimu: Maambukizi COVID-19 ya ndani kwa ndani yameanza, Watanzania wajiandae kwa maambukizi ya Jumuiya

Waziri Ummy Mwalimu: Maambukizi COVID-19 ya ndani kwa ndani yameanza, Watanzania wajiandae kwa maambukizi ya Jumuiya

Hatujachelewa Sana,kinachohitajika full lockdown hasa miji mikubwa dar,mz,Arusha,mbeya kwa mda wa siku 14,hii itazuia maambukizi mapya na wale walioambukizwa hizo siku zinatosha ugonjwa kuwa incubated na hivyo watajulukana na kuwa isolated
 
Kupambana na Corona yanatakiwa maamuzi magumu sio ngonjera kama tunazozisikia
Nchi nyingi zilikuwa zinabembeleza kwa wananchi kukaa ndani na shughuli zingine zikawa zinaendelea
Matokeo yake maelfu wakafa

Wamekuja kushtuka imesambaa sana
Wengi hawana elimu kwa magonjwa ya milipuko, wasipofikia uamuzi wa lazima wengi watakufa

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hatujachelewa Sana,kinachohitajika full lockdown hasa miji mikubwa dar,mz,Arusha,mbeya kwa mda wa siku 14,hii itazuia maambukizi mapya na wale walioambukizwa hizo siku zinatosha ugonjwa kuwa incubated na hivyo watajulukana na kuwa isolated
Msosi utawapelekea wewe si ndio? Au umekusudia kuwauwa kwa jaa ata kabla ya Corona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi tunazidisha maombi tu na hakika shetani Corona na mawakala wake watashindwa tu..
 
Back
Top Bottom