Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,174
- 3,804
Mungu akiamua usife, hauto kufa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jifariji
Kwani Italy hawana Mungu mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu akiamua usife, hauto kufa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jifariji
Kwani Italy hawana Mungu mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah daah [emoji38][emoji38]Mungu akiamua usife, hauto kufa.
Poa poa mkuu.Hahah daah [emoji38][emoji38]
Aisee mambo ya dini bhana.. Ngoja ninyamaze
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana tu uliongelea hii jambo, ngoja tuone.Mziki huu sasa ni wetu
Noma sana hiyo "loko""its no longer imported cases, tumeanza local transmission"
Jamani mambo yameshaharibika.
Haaa utauwa nduguI wish ningekua karibu na Ummy ningemnasa kibao kikali sana hadi akili yake irudi sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Msosi utawapelekea wewe si ndio? Au umekusudia kuwauwa kwa jaa ata kabla ya Corona?Hatujachelewa Sana,kinachohitajika full lockdown hasa miji mikubwa dar,mz,Arusha,mbeya kwa mda wa siku 14,hii itazuia maambukizi mapya na wale walioambukizwa hizo siku zinatosha ugonjwa kuwa incubated na hivyo watajulukana na kuwa isolated
Wewe jamaa huwa nakudharau Sana hujui tuuhMziki huu sasa ni wetu
Acha uchuro bwashee!"its no longer imported cases, tumeanza local transmission"
Jamani mambo yameshaharibika.
Kweli, endelea kunawa mikono na kusali!Hali itakuwa mbaya sana lakini tukazane kufuata maelekezo ya wataalam wa afya huenda ikasaidia.
Wiki mbili?,mbona Nairobi,Kampala wameweza.mahindi Kama yapo Kaya zenye uhitaji zipeweMsosi utawapelekea wewe si ndio? Au umekusudia kuwauwa kwa jaa ata kabla ya Corona?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lockdown haikwepeki, ni suala la lini itatekelezwa tu basiMsosi utawapelekea wewe si ndio? Au umekusudia kuwauwa kwa jaa ata kabla ya Corona?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bavicha kumbe ni muoga wa kifo namna hii?"its no longer imported cases, tumeanza local transmission"
Jamani mambo yameshaharibika.