Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

Nimekuambia wanayojifunza ni basics tu kwa ajili ya therapeutics na sito kubaini magonjwa. Kozi 99% imejikita kwenye utengenezaji na uhifadhi wa dawa. Kujipa kazi ya biashara ya dawa ni Tanzania tuu kutafuta ulaji ila kwa wenzetu haya hayapo.
Huo ni mtaala wa South Africa, fanya tafiti kuhusu mtaala wa Tanzania ndio utoe hoja yako. Naomba unitajie chuo unachofundisha huko South Africa tuone hiyo curriculum yao ya pharmacy
 
Yaani hapa ni kama ligi ya yai na kuku Nani katangulia? Nyie wafamacia mtambue kuwa daktari ana added advantage kuliko nyie! Daktari anaweza kufanya kazi zote za pharmacy ila sio vice versa! Niishie tu hapo
 
Kwa hiyo wewe hapo utampa nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unajua maana ya kusinamia matumizi sahihi ya Dawa?? Unajua wewe Dr unaweza ukamuandikia Mgonjwa dawa na mimi nikaona sio sahihi namrudisha umbadilishie dawa????
 
Kwa mtaala wa Tanzania this is not the only scope of a pharmacist fanya utafiti!
 
Medicine degree miaka 5
Pharmacy degree miaka 4
Hii ndio Tanzania..internship mwaka mmoja kwa kila mmoja so ni miaka 6 kwa 5...Sio 6 kwa 4 kama ulivyoandika wewe! Fanya utafiti
 
Kwa hiyo mnataka muwe mnakaa Kwenye Community Pharmacy[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mnataka mdispense pia baada ya Kusoma Addo.. Yani madaktari bhana mbona hamlili kusafisha vidonda...kulisha wagonjwaa kwani hayo hamyawezi???? Maana lengo la hizi kelele chanzo ni Kufungiwa Addo.. Dr HAUSIKI NA DAWA LIENII MKICHOKA MNYAMAZE.
 
Unaniuliza mimi tena[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hilo swali linawahusu Prof wa Mchongo na nduguze wengine MD.
Vilazaa hao achana naoo.. Wamesoma MD kuja kushtukaaa mfamasia anakula hela kwa cheti rohoo zinawaumaa balaa..!! Sema warudi tu shulee vijana wanguu hawjaachelewaaa..[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hii vita yote issue kubwa ni "Dawa". Dawa ndio yenye pesa. Na hapo ndio chanzo cha huu upunzani mkubwa kati ya MDs na Pharmacy.
 
Yaani hapa ni kama ligi ya yai na kuku Nani katangulia? Nyie wafamacia mtambue kuwa daktari ana added advantage kuliko nyie! Daktari anaweza kufanya kazi zote za pharmacy ila sio vice versa! Niishie tu hapo
Kazi mojawapo ya Mfamasia ni Drug design and development, au kazi ndogo tu ya Compounding

Muulize MD kama ana ABC eneo hili ili ujue kama kweli anaweza kufanya kila jukumu la mfamasia
 
@Darmian huu mchuano uendelee kwa masilahi ya nchi.
Umeongelea parkinson's nikakumbuka Kuna mathematician wa university huko UK katengeneza app ambayo inasoma mtu mwenye dalili za parkinson's kwa kusoma tembea yake.....
 
Utakuta Daktari kakutana na case ya mgonjwa anakohoa sana anakimbilia kuagiza vipimo vya X-ray, kumbe tatizo hilo(kukohoa sana) limesababishwa na matumizi ya dawa fulani kwa muda mrefu hadi ikasababisha maudhi(side effects).

Sasa Daktari kama huyu anayeshindwa kutambua maudhi ya dawa, eti analilia afanye kazi isiyo yake! majanga.
 
Kwa maelezo yako kipengele nam
Nashkuru kwa mchanganuo huu
Hii ndo maana ya usomi,umeandika bila mihemuko kama wachangiaji wengi walivyofanya
Okay kwa maelezo yako pointi namba tano ndo sehemu pekee ambayo daktari anaonekana kuingilia majukumu ya mfamasia kwenye sekta ya afya

Swali;kama jukumu hilo anaweza kufanya ADDO aliyepata mafunzo ya muda mfupi daktari atashindwa?
Ukijibu ndiyo au hapana ukiweza tolea maelezo itakuwa vyema
 
Yaani hapa ni kama ligi ya yai na kuku Nani katangulia? Nyie wafamacia mtambue kuwa daktari ana added advantage kuliko nyie! Daktari anaweza kufanya kazi zote za pharmacy ila sio vice versa! Niishie tu hapo
Huna unachojua
 
@Darmian huu mchuano uendelee kwa masilahi ya nchi.
Umeongelea parkinson's nikakumbuka Kuna mathematician wa university huko UK katengeneza app ambayo inasoma mtu mwenye dalili za parkinson's kwa kusoma tembea yake.....
Kwenye hiyo App hata walevi nao watakuwa na Parkinsonisim[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Umejenga hoja vizuri sana. Unatengeneza vipi dawa bila kujua magonjwa kwa kina? Nafikiri huu mjadala utasaidia kuweka standards na kuondoa huu mkanganyiko.
 
Yaani hapa ni kama ligi ya yai na kuku Nani katangulia? Nyie wafamacia mtambue kuwa daktari ana added advantage kuliko nyie! Daktari anaweza kufanya kazi zote za pharmacy ila sio vice versa! Niishie tu hapo
Kwanini hamtaki kwenda Mahabara???? Yani kule mambo ndo rahisii kabisaaaa... Fungua mahabara yako mtaani kutumia zile Malaria kit...kupima UTI just simple ila hamtaki kwenda mahabara[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Mnataka dawaaaa.. Kama ulidhani kuna Utajiri kwenye Udaktari ulikosea njia kijanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…