T.Levodopa/Carbidopa 10mg/100mg OD 2/52
Achen kulinganisha MDs na mambo yenu hayo !!.
Jambo pekee la kujivunia ni kwamba sote tunawajibika juu ya Afya .
Alichokisema Mkuu , ni sahihi, Watanzania wengi hawana kasumba ya kwenda Hosp, na tafiti nyingi zimeonyesha Watanzania wanatabia ya kujitibia wenyewe.
Unapolazimisha Mfamasia ndio akutane na Mtanzania aliyekuja Dukan kwako akilalama maumivu ya tumbo yanayosambaa kuelekea mgongon, lkn akiinama yanapoa , Homa ,kichefu na kutapika
Unategemea Mfamasia atampa nn Sasa ??. Huko ni kukoswa akili.