Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

Mkuu majibu ya Glucose level si chap kwa haraka sas insulin unayo... una NS fluid ipo why usianze management chap!! Maana hyperglacemia na dehydration zinaenda sambambaa...
 
Heshima gani Wakati Kila mtu ana eneo lake...???

Kila mtu apewe heshima Kutokana na eneo alilopo na siyo kuingilia majukumu!
 
Heshima gani Wakati Kila mtu ana eneo lake...???

Kila mtu apewe heshima Kutokana na eneo alilopo na siyo kuingilia majukumu!
Umemalizaaa... Mbona huwaga hawaingilii majukumu ya Manesiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna kipindi ilianzishwa programme ya Mfamasia kuingia Operation rooms ili kumanage use ya Sedatives kama Sevoflurane na Isoflurane maana zilikuwa zinaibiwa sanaa yani Ilee vitaa achaa tuu madoctor walimind hasaaaaa.

Ndo maan doctor huwezi kukuta anangangania majukumi ya Nesi ila sasa likiia siala la DAWAA wanaumiaa rohoo sanaaaa kuona mfamasia anahusika na management ya dawaaa...
 
Mkuu majibu ya Glucose level si chap kwa haraka sas insulin unayo... una NS fluid ipo why usianze management chap!! Maana hyperglacemia na dehydration zinaenda sambambaa...
1 out of 3 fluid sawa but what about your ABC measures to ensure she protected from acute deterioration kwa sababu huna hakika kama ni DKA as yet or what.

Kwa kumalizia given the same note kitu gani kingine kingeweza sababisha sukari kupanda kwa mujibu wa Dr?
 
Kupanda kwa sukari inawezekana sababu kuu mbili..

Mwili kushindwa kuzalisha insulin au insulin reistance of which ni diabetic case..

Kindey malfunction au liver failure all possible.

Hayo yote ukipata majibu ya mkojo na physical examination with symptoms kama edema unaweza kudiagnose.
 
Kutokana na hiyo handover note hapo umefeli Dr anadhani Diarrhoea and Vommiting (D&V) ya mgonjwa msingi wake ni gastroenteritis virus, nothing major.

Lakini ukipata ugonjwa wowote kwa mtu mwenye kisukari sio mzuri iwe homa, mafua, etc; kwa sababu mwili ukiona umevamiwa tu unaachia ‘cortisol hormones’ kabla ya mgonjwa kutumia dawa kama first line of defence na hizo hormones jukumu lao ni kuupa mwili nguvu kwa kuachia glucose to fight the infection; sasa kama unakisukari halafu mwili ukaongezewa glucose ni shida nyingine sukari inapanda ghafla.

Halikadhalika D&V pia zinaweza kuwa dalili za DKA ndio maana akashauri hiyo test nayo ifanywe just in case before ruling out.

Ni hivi Dr na pharmacists wote ni clinicians but are not the same; uwezi kumpa mtu dawa kwa conditioning zingine bila ya vipimo; kwenye hiyo case study kuna baadhi ya dawa pia zina effects hizo hizo za D&V so there were a lot of things to rule out before deciding on future medication.

Mchana mwema 👋
 
Mnasagiana kunguni!

Toka tuwe wadogo tunaona Dr anakuandikia dawa unaenda kupeleka cheti kwa mfamasia anakupa dawa!

Nesi yupo wodini pamoja na Mambo mengine anachukuaga vyeti vya wagonjwa na kuchukua dawa kwa mfamasia na kuwagawia wagonjwa na wenye kudungwa sindano wanadungwa!

Sasa ww unatakaje??
 

Hata kwenye Ultra sounds hawakanyagi.

Swala la kusafisha vidonda na kutandika vitanda wanasema ume wadharau.

Maabara hawaendii

Lakini swala la dawa Sasa ndo Wanataka liwe jukumu lao wakati wahusika wenye taaluma na dawa wapo.
 
Yaah na mimi najua kila mtu ana mipaka Yake ya kufanya kazi shida leo Dr anataka akae na yeye famasi afanye majukumi ya kifamasia kisa kasoma Pharmacology.

Kuna case mgonjwa alikuwa na hyponatremia laki tayari ana edema ya kutosha na Dr akaagiza apewe 3% ila hospital hatukuwa nayo mimi nkaona niongeze Tolvaptan maana ilikuwepo famasi ila 3% hatuna na case ile mgonjwa ingefaa sana ila Dr alikuja race hukoo balaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Nkamwambia bhasi katafute wew 3% maana mimi nimekuoa alteenative ila unaona kama unajua zaidii jamaa akapoaa.

So kuna changamoto bado ya kuchukuliana poaaa ni shida kubwaaa.. Dr anadharau kuona yeye ndio kila kitu ila wapo wachache wanaojielewaaa.
 
Iko hivyoo... na ndivyo inavyo takiwa iwe.Maana kila mtu ana jukumu lake na heshima Kwa Kila mtu ichukue mkondo wake.Hakuna haja ya kuona mtu ni mkubwa zaidi ya mwingine.
 
Afya ni teamworking Dr anaweza kosea ata kwenye operation nurse tu akashtuka dokta akadharau matokeo yake akaua mtu.

Hayo mambo yapo na video zipo nyingi sana youtube za different type za medical errors.

Ndio maana nchi za wenzetu kitu cha msingi kwenye afya ni effective team working, mutual respect kwenye team za interproffesional na communication in skills. Msingi mkubwa wa medical errors ni breakdown katika hayo maeneo matatu hasa dharau kwa kada zingine.

Anyway mwisho wa siku Ummy Mwalimu hiyo wizara sio size yake ina matatizo mengi ya kitaaluma ambayo yanahitaji sorting way above her ability analazimisha tu kuwepo hapo.

👋
 
Kwenye diagnosis ya mgonjwa hizo courses ulizotaja zinamchango mdogo kabisa

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Huu mjadala ukiendelea bila kuainisha kazi za mfamasia kwenye sekta ya afya hasa hasa hospitalini ntawaona wote mnajikweza bila sababu ya msingi

Mfamasia atolee maelezo kuhusu majukumu yake hospitalini kulingana na taaluma yake alivyofundishwa chuoni

Na daktari nae aelezee majukumu yake
Kulingana na taaluma yake
 
Mimi nadhani labda "Professor" anatumia curriculum ya South Africa. Inabidi afanye mchakato wa kupitia upya mtaala wa Famasi wa Tanzania kisha ajiridhishe na hoja zake kuhusu majukumu ya Mfamasia katika Hospital setting hapa Tanzania
Professa wa mchongo huyo..apuuzwe...ndio walewale mapeofesa wa ripoti ya bonde la mto mara..kuwa mto umechafuliwa na vinyesi vya ng'ombe. absurd

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madakitali njaa wa michongo hao..wamesoma miaka mingi wakiamini wametusua maisha wakija kitaa md hailipi..wanaanza kuvamia fani za watu ili wapate japo kumudu maisha.

Tatizo kubwa ni njaa na ufinyu wa akili...na washauri wakae kutulia na waheshimu kada za wengine.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mjadala ukiendelea bila kuainisha kazi za mfamasia kwenye sekta ya afya hasa hasa hospitalini ntawaona wote mnajikweza bila sababu ya msingi

Mfamasia atolee maelezo kuhusu majukumu yake hospitalini kulingana na taaluma yake alivyofundishwa chuoni

Na daktari nae aelezee majukumu yake
Kulingana na taaluma yake
 
Kwenye diagnosis ya mgonjwa hizo courses ulizotaja zinamchango mdogo kabisa

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Huu mjadala ukiendelea bila kuainisha kazi za mfamasia kwenye sekta ya afya hasa hasa hospitalini ntawaona wote mnajikweza bila sababu ya msingi

Mfamasia atolee maelezo kuhusu majukumu yake hospitalini kulingana na taaluma yake alivyofundishwa chuoni

Na daktari nae aelezee majukumu yake
Kulingana na taaluma yake
 
Mkuu, duniani kote kuko hivyo hii haipo Tanzania pekee. Huu ni muundo wa kikazi ulivyo popote duniani.

Hili swala la daktari kusoma pharmacology hakuondoi tatizo la muingiliano wa maslahi kwa mtu huyo huyo kufanya biashara bila kuweka maslahi ya mgonjwa mbele. Daktari ni binaadam tu kama binaadam wengine.

Hiyo pharmacology unayosema anaisomea, Mfamacia anaisoma maradufu ya huyo daktari, na licha ya hapo mfamacia anaijua dawa zaidi kuliko daktari anavyoifahamu.
Unajua, dawa ni kemikali, kama kemikali zote zilivyo zina mahitaji yake maalum na mwilini zinafanya kazi kama kemikali. Kujua pharmacology hakumfanyi mtu kujua uhusiano wa kemikali hizo na viini vya biologia mwilini.

Unasema "Unajua MD kwa sehemu kubwa anaweza kufanya kazi ya Mfamacia...", kwa mtu kama wewe usiyejua pharmacia anasomea nini ni rahisi kusema hivyo, kwa maana unachoona tu wewe ni kugawa dawa. Hii siyo kazi mahsusi ya mfamacia.
Sasa nieleze, kwa nini unadhani Famacia hawezi kufanya kazi ya kutibu? Si nikiasi tu cha kuongezea ujuzi katika kutambua dalili za ugonjwa, kwani kuna nini cha ziada.

Anatomy, anajifunza, hata kama haendi kupasua cadaver. Physiology anajifunza, Biochemistry anajifunza. Asichosoma kwa undani ni hiyo Pathology.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…