Waziri unayehusika na vijana, BAGAMOYO haina vijana wote mateja ingilia kati

Waziri unayehusika na vijana, BAGAMOYO haina vijana wote mateja ingilia kati

Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA

Ukweli usemwe na uwekwe wazi

Wazazi wa bagamoyo malezi yamewashinda

Bas serikali jitaidini kuingilia kati hili suala

Vijana wanatekea wote ni mateja wote walevi

Inasikitisha sana

SAYUNI BOY
Kuhusu bagamoyo ukweli unajulikana wenye mamlaka na elimu yankuwasaidia ndio wamewaumiza hao vijana huo ujinga kidogo nitumbukie kwa tamaa ya fedha za haraka nasukuru Mungu kanivusha hapo yani kuna watu wanajifanya wema kunbe wabaya marambili wanajua tatizo ljn wamekaa kimya a to z ya bagamoyo yanajulikana ola sasa nani afungue mdomo tuombe Mungu tu.
 
Binafsi mimi hapa advance nimesomea mlandizi pwani, kwa kweli vijana wa pale ni wavivu, malaya, hawataki shule wote wanataka wawe bodaboda,wanavuta bangi, walevi tena watumia vilevi vikali, vigodoro na kujifanya masela, me sikuwahi waelewa kabisa, kiufup hawana future yoyote wapo wapo tu kama majinga. kati ya mikoa ambayo itakuja kuwa na watu wazima wengi wa hovyo Tanzania huu miaka kama 15 ijayo basi wa kwanza ni pwani
Vijana wa pwani ndivyo walivyo. Wakipewa kazi wanadai advance hata mara tatu.
Sasa jichanganye uwe unatoa advance kubwa kubwa. Wakipiga hesabu ya KAZI na kiasi kilichobaki vikipishana pakubwa mzigo unaachiwa.

Huku ni dundo tu. Kila siku watoto wanachezwa sijui wanatolewa ndani, ujinga mtupu. Na akishachezwa tu anangojea bwana sasa.

Vijana kwenye ubanda....

Uvivu ndio nguzo. Shimo la kuchimba masaa mawili litachimbwa siku tatu.. sehemu kubwa mapori mapori , vijana wapo TU vijiweni.
 
Kuhusu bagamoyo ukweli unajulikana wenye mamlaka na elimu yankuwasaidia ndio wamewaumiza hao vijana huo ujinga kidogo nitumbukie kwa tamaa ya fedha za haraka nasukuru Mungu kanivusha hapo yani kuna watu wanajifanya wema kunbe wabaya marambili wanajua tatizo ljn wamekaa kimya a to z ya bagamoyo yanajulikana ola sasa nani afungue mdomo tuombe Mungu tu.
Pole sana ndugu yangu

Sasa wanafanya hivyo kwa manufaa yapi? Au ni shetani tu na mipango yake
 
Ndio maana Fr. Bayo aliamua kuanzisha VETA ya unafuu kwa hao vijana. Walioitikia wito sasa wanajitegemea kwa hiyo belimu.
 
70% ya vijana sahv tz ni legelege,wakata mauno kutwa nzima kucheza miziki ,wanabaki kusikilizia umbea udaku
Hata ikitokea tukapata ugeni wa VITA vijana hawana msaada wowoteeeeshz typ

Ova
 
Bagamoyo gani unayoizungumzia hapa?

Mapinga,Kerege,zinga au Bagamoyo mini?
 
Bagamoyo ipi ? Lete takwimu Mzee hapa sio porojo za kishamba ...
 
Binafsi mimi hapa advance nimesomea mlandizi pwani, kwa kweli vijana wa pale ni wavivu, malaya, hawataki shule wote wanataka wawe bodaboda,wanavuta bangi, walevi tena watumia vilevi vikali, vigodoro na kujifanya masela, me sikuwahi waelewa kabisa, kiufup hawana future yoyote wapo wapo tu kama majinga. kati ya mikoa ambayo itakuja kuwa na watu wazima wengi wa hovyo Tanzania huu miaka kama 15 ijayo basi wa kwanza ni pwani
Watu wa mwambaoo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilikuwa bagamoyo sehemu moja hivi inaitwa matimbwa, sunguvuni,yombo na maeneo ya jilani aiseee ni hatari na nusu kule gongo na bangi a.k.a dawa ni hatari auseee
 
Back
Top Bottom