Waziri wa Afya Oman: Asilimia 18% ya wasafiri wanaotokea Tanzania wamekutwa na maambukizi ya virusi vya corona, tunafikiria kusitisha safari za ndege

Kati ya Dr Hassan Abbas na wizara ya afya tumuamini nani? Naibu waziri wa afya kasema hakuna korona tz
 
Dunia kwa sasa inatakiwa kuwa makini sana na Tanzania kuliko hata corona, hebu fikilia hao ni wasafiri waliopimwa kabla ya kuondoka vipi walioko huko vijijini
Mbona Covid 19 ipo hatarishi sehemu zote za Dunia
 
Wenzetu wamepokea chanjo , kukabiliana na gonjwa hili linalotishia uchumi na usalama wa taifa

31 Jan 2021
Muscat, Oman


Sultanate receives 100000 doses of "Oxford AstraZeneca" vaccine as a gift from the Republic of India

The Sultanate receives 100,000 doses of the "Oxford AstraZeneca" vaccine against Corona Covid 19, presented as a gift from the friendly Republic of India, and it is produced by the Indian Institute of Serology and Vaccines.

Source : Omani MoH
 
Dunia kwa sasa inatakiwa kuwa makini sana na Tanzania kuliko hata corona, hebu fikilia hao ni wasafiri waliopimwa kabla ya kuondoka vipi walioko huko vijijini
Na itakua walivyoondoka Tanzania walitoa laki mbili wakapima wakaambiwa hawana corona
 
Lini Abbas alikiri Tanzania kuna Corona?
 
Mwaka jana tulipata kutoka kwao, hapa zenji hatukuwa nao kabisa
 

12 February 2021​

Covid-19 vaccines: Tanzanian government says the country has 'controlled' the virus.​



Dr Hassan Abbas, Government Chief Spokesperson

Covid-19 vaccines: Tanzanian government says the country has 'controlled' the virus.Close

In a rare interview with the BBC, Tanzania's government spokesman Dr Hassan Abbas says the country has the Covid-19 pandemic under control and is focusing on using traditional herbal medicines.
Dr Abbas told the BBC Africa's Salim Kikeke that Tanzania could consider using internationally approved vaccines "once they have been clinically proved
Source: bbc news Africa
 
9 Feb 2021

Tanzania says it's free from COVID-19 and rejects vaccine​

Amit Thakker from the Africa Healthcare Federation discusses Tanzanian government’s insistence that the country is free from Covid-19.
 
Dunia nzima tujifunze kuishi na hivi vijimafua visivyo na madhara yoyote kwa binadamu, kuzuia watu kusafiri au lockdown haiwezi kuwa suluhisho make hivi vijimafua bado vipo vipo saaana tu!
Akiondoka mkeo au mamako au babako ndio utaelewa vijimafua vinafanyaje kazi.
 


Wanajifanya makonki hawataki chanjo 🤣🤣🤣 mara utasikia Yesu ni mwokozi wetu...mpaka imefikia waomani kutamka ukweli na ndio itatufanya tuwe na tahadhari zaidi...lakini wamatumbi wanafikiri masikhara na ndio tu wasafiri hao, je walioko dar n.k!!!!
 
Kiinglishi cha PhD Abbas bhana!
 
Ndo madhara ya kuamini katika ushirikina na imani mfu hii hapa. Wenzenu wanaamini katika process na ndyo sayansi mnataka mtu aseme twende lockdown na tuvae barakoa corona ipotee paap. Na waliokufa wafufuke. Wenzenu wanaamin katika facts na sio kumjaribu jaribu Mungu 2 na midhambi yenu afu mnataka msaidiwe. Wenzi waliweka vizuizi kwanza ili wapunguze rate ya maambukizi kutokana na muda na wanaeza sema wamefanikiwa kwa hilo kwasbabu rate imepungua badala ya kuongezeka kama walivoacha
 
Hiyo ni kweli kabisa aisee, bimkubwa kasafiri juzi kwenda huko na alipofika tu alikutwa na corona. Ajabu yeye alikua hajihisi chochote yaan anajiona yupo mzima kabisa, siku moja kabla ya safari alienda kupima baabara kuu ya taifa pale ubungo na majibu yametoka mzima hana corona.

Jiwe bado hayuko serious aisee.
 
Dunia nzima tujifunze kuishi na hivi vijimafua visivyo na madhara yoyote kwa binadamu, kuzuia watu kusafiri au lockdown haiwezi kuwa suluhisho make hivi vijimafua bado vipo vipo saaana tu!
Naona umeamua kutumia makalio badala ya akili
 
Akiondoka mkeo au mamako au babako ndio utaelewa vijimafua vinafanyaje kazi.
Mamangu katangulia tangu 2015 RIP mom, hao wengine pamoja na mie hatuna kinga ya kifo sisi ni mavumbi siku moja mavumbini tutarejea, siku yakinikuta itakuwa kwa Sababu ingine na si hivi vijimafua!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…