Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Changanya na zako!Una uhakika na wewe hukurukia mambo juu juu na vipimo vyako vya akili?! Kwenye eneo hili uelewa wangu naamini si haba. Acha mass judgements.
Endelea kunawa mikono vizuri.Changanya na zako!
Toa familia yako pia kama iko Dar au sehemu hatarishi!Endelea kunawa mikono vizuri.
Kama huamini wapeleke ukoo wako wakawekwe karantiniKwa zile kauli za rais kwamba wamepona zaidi ya 100 tutaamini kweli?
Hama nchi uende MarekaniWote tunajua kua taarifa si sahihi nchini kwetu
Baada ya Mheshimiwa kusema kuwa wanaopona watangazwe ili kuondoa hofu naona takwimu za wanaopona zinapaa!Kwahiyo ni 137 waliopona?
Mbuz kama nyinyi lazima muwepo tuHama nchi uende Marekani
..........πππππ . ..Pierre baada ya kutoloka Amana [emoji54]View attachment 1428978
Kwa zile kauli za rais kwamba wamepona zaidi ya 100 tutaamini kweli?
kwanini uwa hamtaki kuambiwa ukweli?..
na kwanini uwa mnapenda msikie tu HABARI MBAYA?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli alisema wamepona 100 mbona waziri kasema wamepona 37 na sio 100!! Tumuamini nani kati yao?
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hadi sasa jumla ya Wagonjwa waliopona ni 48 ambao ni kati ya Wagonjwa 108 waliothibitika kuwa na Ugonjwa huo, ila kwa sasa hawana dalili
Amesma, "Tuna vifo 10, na hivyo tukabakiwa na wagonjwa 274 na kati ya 11 tumeshawatolea taarifa kuwa wamepona. Ni kweli kama alivyosema Rais Magufuli katika watu 263 waliobaki, 108 hawana ugonjwa wowote"
Ameongeza, "Watua hao 108, hawana homa, kifua, kikohozi wala chochote, ila tuliwazuia katika vitua ili kusubiri vipimo vya mwisho na kuthibitisha kama hawana maambukizi kabla ya kuwaruhusu kwenda nyumbani."
Amesema leo wameruhusu watu 37, na kuwa vipimo vyao vimeonesha hawana maambukizi ya #COVID19. Ametoa wito kwa jamii kuwa isiwanyanyapae na kuongeza kuwa wengine 71 vipimo vyao vinasubiri siku 2-3 wataruhusiwa kurudi nyumbani
Tatizo pale Mungu anajibu kwa njia wanayoijua yeye na si walivyo tegemea hapo sasa.Mumesahau nijuzi tu tuliomba kila mutu kwa imani take mungu kadikia kilio chetu,tuzidi kumuomba mungu sana amina.