Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu: Wagonjwa 37 wamethibitishwa kupona virusi vya Corona na wameruhusiwa kwenda nyumbani

mkuu wa vitengo vyote
a.k.a jemedali
a.k.a kamanda mkuu
a.k.a zee la machalee
uyu mtu akita list ya watu wakiopona lazima itoke list yakueleweka!

kama changa la macho hivi!!! aliskika mtz mmoja alievaa barakoa yakichina
 
Hakuna wagonjwa wapya?nimemsikiliza rais wa chama cha madaktari Tanzania anasema korona sasa ipo kwenye jamii lakini upimaji unaofanyika sasa ni hospitalini tu hatupimi kwenye jamii kwa kauli hiyo inanifanya niamini takwimu zinazotolewa haziakisi(reflect)hali halisi ilivyo nchini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amina. Ila kibaya sasa, kuna watu wanaumia na kuteseka na kusononeka sana wanaposikia habari njema juu ya hilo gonjwa, wanaumia sana, tena watz wenzetu, sijui wanashida gani...
 
Sasa unaumia kwamba takwimu si kubwa ? Kwani unateseka? Tukianza kupima chini ya muembe mitaani mtaanza kutunanga kwamba hatuna hata maabara za upimaji, hapana aisee...
 
Hakuna chochote hpo kunawengine turikua fresh tu nimafua ya kawaida tu afu tunawekwa karantini yanii hotuba ya Jana ya mweshimiwa rais ndio imetuacha huru Leo
Pole mkuu, kwahiyo ulikaa wiki 2 ndani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…