Denis Gregory
Member
- Jan 10, 2020
- 92
- 108
Amina 🇹🇿
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahahahahaha
Amina. Mweee
Sasa unaumia kwamba takwimu si kubwa ? Kwani unateseka? Tukianza kupima chini ya muembe mitaani mtaanza kutunanga kwamba hatuna hata maabara za upimaji, hapana aisee...Hakuna wagonjwa wapya?nimemsikiliza rais wa chama cha madaktari Tanzania anasema korona sasa ipo kwenye jamii lakini upimaji unaofanyika sasa ni hospitalini tu hatupimi kwenye jamii kwa kauli hiyo inanifanya niamini takwimu zinazotolewa haziakisi(reflect)hali halisi ilivyo nchini
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu, kwahiyo ulikaa wiki 2 ndani?Hakuna chochote hpo kunawengine turikua fresh tu nimafua ya kawaida tu afu tunawekwa karantini yanii hotuba ya Jana ya mweshimiwa rais ndio imetuacha huru Leo
Naona unaumia sana, kwanini uteseke?Endeleeni kujichekelesha tu...watu wanaokufa mhhhh..very sad!