Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu: Wagonjwa 37 wamethibitishwa kupona virusi vya Corona na wameruhusiwa kwenda nyumbani

Namsubiri waziri wa afya Zanzibar alhaj Hamad Rashid!
 
Wewe pia ubongo wako haufikirii hata kidogo...hujui maana ya kupata taarifa za maendeleo ya ugonjwa ?? Unataka tusiambiwe kasi ya maambukizi mpya ili iweje ? Hebu relax mzee punguza mihemko
Sent using Jamii Forums mobile app
 
This doesn't make any sense...Why..why..people are dying then inakuja hii..huu ni unyama sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo namba ni wale waliokuwa karantini STAFF WA TBC, wameachiwa jana na pia waliokuwa hostel za udsm wameachiwa, Ummy utajibu nini kwa Mungu?
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lilikuwa jambo jema angeanza kwa kutuambia kuwa hatuna maambujizi mapya, tunasubiria tu walioambukizwa kupona, na kwa wastani kila siku wanapona wagonjwa 37.

Baada ya wiki moja aitangazie Dunia, kuwa wagonjwa wote wamepona na hatuna maambukizi mapya. Tutakuwa nchi ya 3 Duniani kuwahi kupata maambukizi, na wagonjwa wote kupona, na kisha kutokuwa na maambukizi mapya.

Baada ya hapo maisha yaendelee. Ukibahatika kuendelea kuwepo, shukrani kwa Muumba wetu. Ukiondoka, ni mapenzi ya Mungu. Tunakuombea ili apate pumziko la milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…