Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu: Wagonjwa 37 wamethibitishwa kupona virusi vya Corona na wameruhusiwa kwenda nyumbani

Be curious.
Ukweli ni kuwa kuna visa vipya,vifo na waliopona pia. Sema wameamua kuacha kukomunicate to the public visa vipya na vifo. Tumia akili.
Mkuu, huo ndio ukweli, ungelikuwa ni uwongo, basi wewe ungetwambia huko kwenu Nani kapoteza maisha Kwa Corona au kaambuzwa Corona, kama kwenu ni shwari! Utathubutuje kuombea wafu waongezeke, watoke wapi, na nikinanani wanaostahili kuambukizwa na kufa Kwa Corona,

Acha basi hizo mkuu, mbona unataka kutulazimisha tukuone hamnazo???
 
Niwapongeze tu viongozi hawa wawili walioteuliwa juzi yaani Katibu mkuu wizara ya afya na mganga mkuu wa serikali kwa kuripoti ofisini na kuanza kazi.

Ni matarajio yetu kuwa mtatuongoza vema katika mapambano ya janga la corona na mtakuwa mnatupa taarifa za kutuelimisha mara kwa mara kama wafanyavyo wenzetu kule duniani.

Maendeleo hayana vyama!
 
Bado nasimama na rais wetu, data zetu zina uwalakini.
 
Mwigulu nchemba aliliona hili. Watu wakambeza.
Huwezi kutoa taarifa za kuongezeka idadi ya maambukizi huku husemi idadi ya waliopona, huo ni uchawi. Kwanini uwatie watu hofu?
Kila wakitoa takwimu za mwenendo wa ugonjwa, wametoa na takwimu za waliopona. Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Kwa mfano tu:



 
Wahudumu Wa Afya Wanataarifa Kamili Tuishie Kuwauliza Hao Watatusaidia Sana Kuliko Wanasiasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…