PRODIGY001
Member
- Aug 12, 2012
- 81
- 177
Data za kupikwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmesikia kupitia DW kwamba Marekani wanategemea maambukizi kuisha msimu wa joto kwani katika uchunguzi wao wamegundua virusi vinaungua kutokana na miale ya jua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia itatucheka na ardhi itatuhukumu.coinidence ya ajabu sana, baada ya hotuba ya Magufuli wagonwa wameanza kupona kwa kasi na hakuna maambukizi mapya
Be curious.
Mkuu, huo ndio ukweli, ungelikuwa ni uwongo, basi wewe ungetwambia huko kwenu Nani kapoteza maisha Kwa Corona au kaambuzwa Corona, kama kwenu ni shwari! Utathubutuje kuombea wafu waongezeke, watoke wapi, na nikinanani wanaostahili kuambukizwa na kufa Kwa Corona,Ukweli ni kuwa kuna visa vipya,vifo na waliopona pia. Sema wameamua kuacha kukomunicate to the public visa vipya na vifo. Tumia akili.
Kila wakitoa takwimu za mwenendo wa ugonjwa, wametoa na takwimu za waliopona. Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Kwa mfano tu:Mwigulu nchemba aliliona hili. Watu wakambeza.
Huwezi kutoa taarifa za kuongezeka idadi ya maambukizi huku husemi idadi ya waliopona, huo ni uchawi. Kwanini uwatie watu hofu?
Tunapata taarifa zote kwa uwazi!Comrade wameanza vizuri kwa kufanya nini ambacho kilikua hakifanyiki hapo awali?
Hao wapya wameteuliwa juziHii sijaielewa vizuri
Katibu mpya
Mganga mpya
Kapima familia na ukoo wako mzimaHajasema wamepima wangapi?
Kujibusti
Yapo, mmoja na mtoto wako na mwingine mkeo.Je hakuna maambukizi mapya?
Nimesema tuwe na kiwango cha ujinga,kikizidi ni tatizo!Kwahiyo unaamini kabisa wamefukizwa hospitalini ndio maana wamepona?So juzi Rais kaongea,Jana wakafukizwa na leo wamepona na kuachiwa,akili zenu mnazijua wenyewe!Prince Charles mwenyewe kafukizwa, jiulize walimfukiza wapi.