Au aongeze mke na familia yake kwenye new casesChukua namba ndogo mkuu ufurahishe nafsi maana hupendi habari nzuri za taifa hili.
Vipi kuna mtu kafa corona ktk familia yako?Kumfurahisha meko
tarifa ya idadi ya watu wanaopimwa kwa siku mmepewa??Tunapata taarifa zote kwa uwazi!
Vipi ktk familia yako kuna watu ni waathirika serikali imeficha?Halafu eti unaomba usamehewe madeni wakati unaficha takwimu!Hao jamaa sio wajinga!
Unatamani iwe hivyo?Mficha maradhi kifo humuumbua!Vipi ktk familia yako kuna watu ni waathirika serikali imeficha?
Senti bai yuzingi tecno T301
Wewe nawe bure kabisa. Unaamini propaganda za Uganda za kila siku madereva wa Tanzania wana corona?Hii CORONA mtu anapiga gia Dar to Uganda, corona kweli hii?Au kuna corona mbili?Ila kwanini hao watu wanaleta masihara ya siasa kwenye suala hatari hili la ugonjwa, ukweli nikwamba watanzania wame athirika wengi tu leo tu wa Tanzania sita 6 ma dereva wa ma lori wamepimwa na kukutwa wameathirika na covid 19 pale mpakani wa Uganda na Tz Mtukula, je wangapi wameathirika huko dar es salam, jambo la kufanya kwa sasa nikijua rate ya mambukizi katika nchi na my chuki hatua mpya za kudhibiti mambukizi, badaye ndotuangarie na kujua rate ya uponaji hili tumalize huo ugonjwa once and for all, haitatusaidia kwa sasa kujua waliopona....
Wewe ndio unatamani.Unatamani iwe hivyo?Mficha maradhi kifo humuumbua!
Hiki kipengele cha wagonjwa wapya ni bora alivyokiacha kukisema, maana kitaongeza taharuki. Tambua kuwa hali ni teteJe hakuna maambukizi mapya?
Wanaopoana wanapewa dawa gani??Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hadi sasa jumla ya Wagonjwa waliopona ni 48 ambao ni kati ya Wagonjwa 108 waliothibitika kuwa na Ugonjwa huo, ila kwa sasa hawana dalili
Amesma, "Tuna vifo 10, na hivyo tukabakiwa na wagonjwa 274 na kati ya 11 tumeshawatolea taarifa kuwa wamepona. Ni kweli kama alivyosema Rais Magufuli katika watu 263 waliobaki, 108 hawana ugonjwa wowote"
Ameongeza, "Watua hao 108, hawana homa, kifua, kikohozi wala chochote, ila tuliwazuia katika vitua ili kusubiri vipimo vya mwisho na kuthibitisha kama hawana maambukizi kabla ya kuwaruhusu kwenda nyumbani."
Amesema leo wameruhusu watu 37, na kuwa vipimo vyao vimeonesha hawana maambukizi ya #COVID19. Ametoa wito kwa jamii kuwa isiwanyanyapae na kuongeza kuwa wengine 71 vipimo vyao vinasubiri siku 2-3 wataruhusiwa kurudi nyumbani
Hapana ww ndo ulitamani. Sisi tunataka nyeupe iitwe nyeupe sio maagizo ya rais hata kwenye takwimu.......
Ameongea yale mwajiri wake anayotaka kuyasikia, regardless if its true or not.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona povu linakumwagika namna hii?. Wewe huna ndugu wenye kuweza kufa kwa corona?.MATAGA hawana akili, hadi mama zao wafe kwa korona ndio akili zitawakaa sawa.