kichoroba89
Senior Member
- Oct 3, 2019
- 197
- 57
Wewe una akili ndogo kwa hiyo unafurahia Waziri anapotangaza maambukizi mapya,unafkiri wanaoambukizwa wanataka?Acha ujinga,ndugu wenzako tunalia wanapotangazwa wameongezeka wewe unafurahia nadhani familia yako itakapopata ndio utajua adha yake,Waziri akitangaza waliopona anawapa hata wenye maambukizi kuondoa hofu na kujipa matumaini ya kuponaHuyu waziri bhana , yaani katoka huko kuja kuongea na vyombo kuhusu waliopona tuu?? Inamaana hakuna maambukizi mapya? Kama yapo kwa nini asingetangaza pale pale au anasubiri jioni arudi tena kututangazia
Sent using Jamii Forums mobile app