Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu: Wagonjwa 37 wamethibitishwa kupona virusi vya Corona na wameruhusiwa kwenda nyumbani

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu: Wagonjwa 37 wamethibitishwa kupona virusi vya Corona na wameruhusiwa kwenda nyumbani

Huyu waziri bhana , yaani katoka huko kuja kuongea na vyombo kuhusu waliopona tuu?? Inamaana hakuna maambukizi mapya? Kama yapo kwa nini asingetangaza pale pale au anasubiri jioni arudi tena kututangazia

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una akili ndogo kwa hiyo unafurahia Waziri anapotangaza maambukizi mapya,unafkiri wanaoambukizwa wanataka?Acha ujinga,ndugu wenzako tunalia wanapotangazwa wameongezeka wewe unafurahia nadhani familia yako itakapopata ndio utajua adha yake,Waziri akitangaza waliopona anawapa hata wenye maambukizi kuondoa hofu na kujipa matumaini ya kupona
 
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema wagonjwa 37 wa corona wamepona na kuruhusiwa na sasa waliopona wamefikia 48, wagonjwa hao ni kati ya 108 waliothibitika kuwa na corona ila kwa sasa hawana dalili, wengine 71 wanasubiri vipimo vya mwisho na wataruhusiwa.
Tunaziba viraka mlimotoboka jana, sentenso zitakaa vizuri sasa.
 
Jamani Rais alisema walishapona zaidi ya Miamoja ndio maana akaomba watangazwe wanaopona kuanzia sasa, Aliomba watangazwe hao waliopita ndio basi haiwezekani kuwachanganya,nyie ndio walewale mtakaoanza kuuliza maswali yakijinga kuwa hao watu wameponaje kwa muda mfupi 137?na ndio maana hawajachanganywa kuondoa hayo maswali
Na wewe usichanganye watu, huo ni mtazamo wako. Mbona covid -19 case idadi inajumuisha wote halafu ndio wanabreak down the number? Hata waliopona wangejumlishwa hao zaidi ya 100 na hawa wa leo 37. Na tujue covid -19 case kama namba ni ileile ya last report,vifo n.k
 
NASENA HATA WANAOPONA MWATAJE WATU WAPATE MATUMAINI. 37 RISE ABRUPTLY!
Ila kwanini hao watu wanaleta masihara ya siasa kwenye suala hatari hili la ugonjwa, ukweli nikwamba watanzania wame athirika wengi tu leo tu wa Tanzania sita 6 ma dereva wa ma lori wamepimwa na kukutwa wameathirika na covid 19 pale mpakani wa Uganda na Tz Mtukula, je wangapi wameathirika huko dar es salam, jambo la kufanya kwa sasa nikijua rate ya mambukizi katika nchi na my chuki hatua mpya za kudhibiti mambukizi, badaye ndotuangarie na kujua rate ya uponaji hili tumalize huo ugonjwa once and for all, haitatusaidia kwa sasa kujua waliopona....
 
Ameongea yale mwajiri wake anayotaka kuyasikia, regardless if its true or not.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siku ile nilielewa tofauti ya idadi ya walipona aliyosema raisi na ile iliyotolewa na wizara kupitia hotuba ya Waziri Mkuu.

Nafikiri waliokuwa wamefikisha vipimo na vigezo vyote vya muda kama inavyo shauriwa na wataalamu ndiyo walikuwa 10, waliokuwa hawana tena dalili za ugonjwa na hawakumaliza vipimo mara ya mwisho ndiyo walikuwa jumla yao 100 ndani yake wakiwemo na wale 10.
 
Kuna mtu anaumia kwamba, Kwa nini wapone wengi kiasi hicho? Pumbavu kabisa hicho kichwa!!
Jamani tumsaidie Trump dawa na yeye aokoe watu wake,tusiombe tu kusamehewa madeni,we need to be humans
 
Attachments

  • IMG-20200423-WA0008.jpg
    IMG-20200423-WA0008.jpg
    50.2 KB · Views: 1
Waziri anajesabu wale waliokimbia jana eti kwa vile hawapo kwenye rejista ya hospitali Basi wamepona......
Hii nchi ina kiongozi kibwetele type
 
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema wagonjwa 37 wa corona wamepona na kuruhusiwa na sasa waliopona wamefikia 48, wagonjwa hao ni kati ya 108 waliothibitika kuwa na corona ila kwa sasa hawana dalili, wengine 71 wanasubiri vipimo vya mwisho na wataruhusiwa.
Maagizo toka juu.
 
Magufuli alisema wamepona 100 mbona waziri kasema wamepona 37 na sio 100!! Tumuamini nani kati yao?
Wakati anataja hao 100 ni ambao wanatarajia kupona, leo ndio wameanza na 37 ndani ya siku 2,3 wataongeza wengine 71 na itakuwa 108 waliopona
 
Mimi siku ile nilielewa tofauti ya idadi ya walipona aliyosema raisi na ile iliyotolewa na wizara kupitia hotuba ya Waziri Mkuu.

Nafikiri waliokuwa wamefikisha vipimo na vigezo vyote vya muda kama inavyo shauriwa na wataalamu ndiyo walikuwa 10, waliokuwa hawana tena dalili za ugonjwa na hawakumaliza vipimo mara ya mwisho ndiyo walikuwa jumla yao 100 ndani yake wakiwemo na wale 10.
Sasa mtu Kama hajapimwa na kudhibitishwa na madaktari,huo ujasiri wa kuwatangaza kuwa wamepona rais wako aliupata wapi?
 
Hii kitu ingekamata haya mambwa ccm ingekua poa sn maana yamekazana kupotosha umma huku taifa likiangamia
 
Nilijua ummy anaujasiri kiasi cha kuweza kujiuzuru. Huu ni wkt wa kuonesha professionalism yake. Kwa nn apangiwe watu wa kutangaza?
SHAMEFUL NATION.... FAILED PRESIDENT!
 
Back
Top Bottom