Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Hii ni mbaya sana, wagonjwa wetu kupatikana Uganda; ila inawezekana wameupata hukohuko Uganda!, Kuna shida kubwa yaweza kutokea, kama madreva kutoka TZ watakuwa wanaonekana kuwa na corona wanapofika nchi za jirani, kuna hatari nchi hizi zikasusia bandari ya DSM, zikatumia zaidi Mombasa