Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako hana kosa lolote anahukumiwa kimakosa

mimi naona kumsomesha mwanao kata au binafsi ni kutokana pia na kipato cha mtu ndo maana nchi ikawekwa privatisation ili atakaye hitaji aende
 
Una watoto wenye umri wakwenda shule? Umewapeleka st Kayumba au private? Kwanini?
 
Ndalichako huenda amekuwa mwiba kwenye maamuzi ya Baraza la mawaziri kutokana na misimamo yake. Ndo maana enzi za JK aliamua kuachia uongozi Baraza la mitihani huenda anatafutiwe zengwe aondolewe.Maana JK Sasa anakuja kwa namna nyingine.
Huu ndio uchawi wa wabongo sasa
 
Nimeishia kusoma hapo pa mwenye msimamo isiyoybishwa

Hawa viongozi msidhani mnawafatilka peke enu

Hakuna prof mdhaifu wa fikra ka.a mama wa elimu
Hana msimaml kabisa

Wakati wa jpm wajawazito alisimama kidete wasiksome darasa la wanafunzi wa kawaida kwa.maana ya schools candidate

Kipindi cha hiki cha mama ruksa asome
 
Nimefuatilia kwa ukaribu mjadala unaoendelea kwa sasa kuhusiana na kauli iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa dodoma mheshimiwa Mtaka kuhusu kuanzisha makambi ya kitaaluma kwa wanafunzi.

Katika mjadala huo nimesikitishwa sana na maoni ya wadau mbali mbali wanaomnyooshea kidole Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako.

Huyu mama ni mchapakazi mzuri mwenye misimamo isiyoyumbishwa hasa tunapokuja kwenye suala la elimu tangu alipokuwa katibu wa baraza la taifa la mitihani(NECTA).

Lakini tangu apewe dhamana ya uwaziri wa elimu mama wa watu amekuwa akizodolewa hapa na pale kwamba hafai muda mwingine kwa makosa ambayo siyo yake.

Mfano kwenye suala la usimamizi wa elimu, mama ndalichako anasimamia elimu kwa ngazi ya vyuo vya kati na vyuo vikuu huku usimamizi wa elimu ngazi ya msingi na sekondari ukiwa chini ya TAMISEMI ambayo inaongozwa na Ummy Mwalimu.

Cha kushangaza kwenye hili saga la Mkuu wa Mkoa anayelalamikiwa ni Ndalichako lakini watu wanasahau kwamba hilo jukumu la usimamizi wa elimu kwa sasa lipo chini ya tamisemi ambayo inaongozwa na waziri ummy kwahiyo kama ni lawama wanaopaswa kulaumiwa ni TAMISEMI, mama ndalichako anaonewa tu.
Kwani kauli ya kuhusu makambi ya imetolewa na ummy ?
 
Ndalichako huenda amekuwa mwiba kwenye maamuzi ya Baraza la mawaziri kutokana na misimamo yake. Ndo maana enzi za JK aliamua kuachia uongozi Baraza la mitihani huenda anatafutiwe zengwe aondolewe.Maana JK Sasa anakuja kwa namna nyingine.alikun

Kwa taarifa yako huyu mama ana mtoto mmoja tu,na anasoma hapa hapa tanzania,hakubahatika kuzaa watoto wengi
Huyo mtoto anasoma shule za serikali ?
 
Nimeishia kusoma hapo pa mwenye msimamo isiyoybishwa

Hawa viongozi msidhani mnawafatilka peke enu

Hakuna prof mdhaifu wa fikra ka.a mama wa elimu
Hana msimaml kabisa

Wakati wa jpm wajawazito alisimama kidete wasiksome darasa la wanafunzi wa kawaida kwa.maana ya schools candidate

Kipindi cha hiki cha mama ruksa asome
Hahahaha umeiona mbali mkuu
 
Yaaa H uyu mama alikuwa hapendwi sana kwenye awamu fulani. alichukiwa sana kwa Sababu ya misimamo yake na umakini alio nao kwenye elimu,ukiona Keller zinaibuka kila Mahali hivyo, ujue kaanza kuundiwa mizengwe atumbuliwe.Tz vilivyo Vyema huwa havidumu.cku zake kukaa kwenye hicho kiti zinahesabika.Mwendo wa kuundiana zengwe unaendelea.Yeye anajaribu kusimamia sera za elimu,za n chi kama zilivyotungwa,mwingne anaibuka tu na makelele yake kumbeza.
Mfano WA msimamo uliomfanya achukukiwe ni upi ?
 
Kwani kakupiga wewe marufuku ya kupeleka mwanao international school??? Mambo mengine tunayaingiza hata hayana uhusiano na utendaji wake!
Isipokuwa tunashambulia tu kwasababu tuna chuki naye!
Ujinga ni kudhani mtaka anakosea kukomaa kuboresha ufaulu eneo alilopo.

Sent from my INE-LX1r using JamiiForums mobile app
 
Nimeishia kusoma hapo pa mwenye msimamo isiyoybishwa

Hawa viongozi msidhani mnawafatilka peke enu

Hakuna prof mdhaifu wa fikra ka.a mama wa elimu
Hana msimaml kabisa

Wakati wa jpm wajawazito alisimama kidete wasiksome darasa la wanafunzi wa kawaida kwa.maana ya schools candidate

Kipindi cha hiki cha mama ruksa asome
Ndalichako sio dhaifu kama unavyotaka kutuaminisha hapa

Huyo mama ni mtu mwenye msimamo tangu akiwa katibu wa baraza la mitihani ila tangu ameingia kwenye uwaziri amekuwa akisakamwa sana na watu ambao hawana nia njema na elimu yetu na kwakuwa anasakwama sana imeanza kumpotezea kujiamini kwa sababu ni wachache wanaomuunga mkono kwenye baraza
 
Ujinga ni kudhani mtaka anakosea kukomaa kuboresha ufaulu eneo alilopo.

Sent from my INE-LX1r using JamiiForums mobile app
Hakuna sehemu nimesema mtaka amekosea..Yes he is damn right! Lakini kwanini kwenye hili saga alaumiwe ndalichako wakati jukumu la kusimamia elimu ya msingi na sekondari lipo chini ya Tamisemi?
 
Ndalichako ameivaa fulana ya lawama maana ndiye waziri wa wizara husika.

Na mtaka alimtolea mfani tu.

Sent from my INE-LX1r using JamiiForums mobile app
 
Ujinga ni kudhani mtaka anakosea kukomaa kuboresha ufaulu eneo alilopo.

Sent from my INE-LX1r using JamiiForums mobile app
Hapana ujinga ni kuamini kuwa approach aliyoitumia Mtaka kumuattack waziri ipo sawa ilihali kimamlaka waziri ni mkubwa kwake, wala hawezi kubishana nae ataongea tu waziri anayemsimamia Mtaka ambaye ni waziri Ummy Mwalimu!
Yeye waziri katoa agizo kitaifa, Hivyo kama Mtaka angekuwa na elimu inayomsaidia alipaswa aende tu akaonane na waziri kuuombea dharura ya makambi ya masomo mkoa wake na sidhani kama waziri angemkatalia!
Sasa kitendo cha kumshambu;lia waziri hadharani tena mbele ya vyombo vya habari na taarifa zikasambazwa hadi mitandaoni, ndani nje ya nchi kwa hakika sio cha kiungwana kufanywa na kiongozi mdogo dhidi ya mkubwa, hata ingelikuwa ni kwako sidhani kama ungefurahia udhalilishaji ule!
Zaidi ya yote ikumbukwe kuwa serikali nzima sasa hivi inafanya mambo ikiwa katika mkakati wa kupambana na Corona, Hata kwenye nyumba za ibada umeshapelekwa mwongozo wa kupunguza muda wa kukusanyika kwenye nyumba za ibada, hivyo hata mashuleni agizo la waziri lililenga kupambana na corona kwa kupunguza muda wanafunzi kukusanyika pamoja, Sasa yeye Mtaka kapayuka tu! Waziri sio mjinga kutoa agizo lile, Kwanza hayo makambi ya Mtaka yanadhirisha ni jinsi gani kiongozi huyo anavyoishi kwa mazoea badala ya kwenda na mahitaji ya wakati!
 
Ndalichako ameivaa fulana ya lawama maana ndiye waziri wa wizara husika.

Na mtaka alimtolea mfani tu.

Sent from my INE-LX1r using JamiiForums mobile app
Lakini elimu kwa sasa inasimamiwa na wizara mbili na katika speech ya mtaka aliwananga mawaziri wote wawili iweje sasa alaumiwe ndalichako peke yake?
 
Nimefuatilia kwa ukaribu mjadala unaoendelea kwa sasa kuhusiana na kauli iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa dodoma mheshimiwa Mtaka kuhusu kuanzisha makambi ya kitaaluma kwa wanafunzi.

Katika mjadala huo nimesikitishwa sana na maoni ya wadau mbali mbali wanaomnyooshea kidole Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako.

Huyu mama ni mchapakazi mzuri mwenye misimamo isiyoyumbishwa hasa tunapokuja kwenye suala la elimu tangu alipokuwa katibu wa baraza la taifa la mitihani(NECTA).

Lakini tangu apewe dhamana ya uwaziri wa elimu mama wa watu amekuwa akizodolewa hapa na pale kwamba hafai muda mwingine kwa makosa ambayo siyo yake.

Mfano kwenye suala la usimamizi wa elimu, mama ndalichako anasimamia elimu kwa ngazi ya vyuo vya kati na vyuo vikuu huku usimamizi wa elimu ngazi ya msingi na sekondari ukiwa chini ya TAMISEMI ambayo inaongozwa na Ummy Mwalimu.

Cha kushangaza kwenye hili saga la Mkuu wa Mkoa anayelalamikiwa ni Ndalichako lakini watu wanasahau kwamba hilo jukumu la usimamizi wa elimu kwa sasa lipo chini ya tamisemi ambayo inaongozwa na waziri ummy kwahiyo kama ni lawama wanaopaswa kulaumiwa ni TAMISEMI, mama ndalichako anaonewa tu.
Amekutuma uje umtete?
 
Huyi mama ana PhD lakini hata kiingereza hakipandi.
 
Waziri kuongea Eng kigugumizi muache atulie huko
 
Back
Top Bottom