plagiarism
Senior Member
- Jul 14, 2021
- 133
- 296
mimi naona kumsomesha mwanao kata au binafsi ni kutokana pia na kipato cha mtu ndo maana nchi ikawekwa privatisation ili atakaye hitaji aende
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una watoto wenye umri wakwenda shule? Umewapeleka st Kayumba au private? Kwanini?mimi naona kumsomesha mwanao kata au binafsi ni kutokana pia na kipato cha mtu ndo maana nchi ikawekwa privatisation ili atakaye hitaji aende
Huu ndio uchawi wa wabongo sasaNdalichako huenda amekuwa mwiba kwenye maamuzi ya Baraza la mawaziri kutokana na misimamo yake. Ndo maana enzi za JK aliamua kuachia uongozi Baraza la mitihani huenda anatafutiwe zengwe aondolewe.Maana JK Sasa anakuja kwa namna nyingine.
Kwani kauli ya kuhusu makambi ya imetolewa na ummy ?Nimefuatilia kwa ukaribu mjadala unaoendelea kwa sasa kuhusiana na kauli iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa dodoma mheshimiwa Mtaka kuhusu kuanzisha makambi ya kitaaluma kwa wanafunzi.
Katika mjadala huo nimesikitishwa sana na maoni ya wadau mbali mbali wanaomnyooshea kidole Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako.
Huyu mama ni mchapakazi mzuri mwenye misimamo isiyoyumbishwa hasa tunapokuja kwenye suala la elimu tangu alipokuwa katibu wa baraza la taifa la mitihani(NECTA).
Lakini tangu apewe dhamana ya uwaziri wa elimu mama wa watu amekuwa akizodolewa hapa na pale kwamba hafai muda mwingine kwa makosa ambayo siyo yake.
Mfano kwenye suala la usimamizi wa elimu, mama ndalichako anasimamia elimu kwa ngazi ya vyuo vya kati na vyuo vikuu huku usimamizi wa elimu ngazi ya msingi na sekondari ukiwa chini ya TAMISEMI ambayo inaongozwa na Ummy Mwalimu.
Cha kushangaza kwenye hili saga la Mkuu wa Mkoa anayelalamikiwa ni Ndalichako lakini watu wanasahau kwamba hilo jukumu la usimamizi wa elimu kwa sasa lipo chini ya tamisemi ambayo inaongozwa na waziri ummy kwahiyo kama ni lawama wanaopaswa kulaumiwa ni TAMISEMI, mama ndalichako anaonewa tu.
Ndalichako huenda amekuwa mwiba kwenye maamuzi ya Baraza la mawaziri kutokana na misimamo yake. Ndo maana enzi za JK aliamua kuachia uongozi Baraza la mitihani huenda anatafutiwe zengwe aondolewe.Maana JK Sasa anakuja kwa namna nyingine.alikun
Huyo mtoto anasoma shule za serikali ?Kwa taarifa yako huyu mama ana mtoto mmoja tu,na anasoma hapa hapa tanzania,hakubahatika kuzaa watoto wengi
Hahahaha umeiona mbali mkuuNimeishia kusoma hapo pa mwenye msimamo isiyoybishwa
Hawa viongozi msidhani mnawafatilka peke enu
Hakuna prof mdhaifu wa fikra ka.a mama wa elimu
Hana msimaml kabisa
Wakati wa jpm wajawazito alisimama kidete wasiksome darasa la wanafunzi wa kawaida kwa.maana ya schools candidate
Kipindi cha hiki cha mama ruksa asome
Mfano WA msimamo uliomfanya achukukiwe ni upi ?Yaaa H uyu mama alikuwa hapendwi sana kwenye awamu fulani. alichukiwa sana kwa Sababu ya misimamo yake na umakini alio nao kwenye elimu,ukiona Keller zinaibuka kila Mahali hivyo, ujue kaanza kuundiwa mizengwe atumbuliwe.Tz vilivyo Vyema huwa havidumu.cku zake kukaa kwenye hicho kiti zinahesabika.Mwendo wa kuundiana zengwe unaendelea.Yeye anajaribu kusimamia sera za elimu,za n chi kama zilivyotungwa,mwingne anaibuka tu na makelele yake kumbeza.
Ujinga ni kudhani mtaka anakosea kukomaa kuboresha ufaulu eneo alilopo.Kwani kakupiga wewe marufuku ya kupeleka mwanao international school??? Mambo mengine tunayaingiza hata hayana uhusiano na utendaji wake!
Isipokuwa tunashambulia tu kwasababu tuna chuki naye!
Ndalichako sio dhaifu kama unavyotaka kutuaminisha hapaNimeishia kusoma hapo pa mwenye msimamo isiyoybishwa
Hawa viongozi msidhani mnawafatilka peke enu
Hakuna prof mdhaifu wa fikra ka.a mama wa elimu
Hana msimaml kabisa
Wakati wa jpm wajawazito alisimama kidete wasiksome darasa la wanafunzi wa kawaida kwa.maana ya schools candidate
Kipindi cha hiki cha mama ruksa asome
Hakuna sehemu nimesema mtaka amekosea..Yes he is damn right! Lakini kwanini kwenye hili saga alaumiwe ndalichako wakati jukumu la kusimamia elimu ya msingi na sekondari lipo chini ya Tamisemi?Ujinga ni kudhani mtaka anakosea kukomaa kuboresha ufaulu eneo alilopo.
Sent from my INE-LX1r using JamiiForums mobile app
Ndalichako ameivaa fulana ya lawama maana ndiye waziri wa wizara husika.Hakuna sehemu nimesema mtaka amekosea..Yes he is damn right! Lakini kwanini kwenye hili saga alaumiwe ndalichako wakati jukumu la kusimamia elimu ya msingi na sekondari lipo chini ya Tamisemi?
Hapana ujinga ni kuamini kuwa approach aliyoitumia Mtaka kumuattack waziri ipo sawa ilihali kimamlaka waziri ni mkubwa kwake, wala hawezi kubishana nae ataongea tu waziri anayemsimamia Mtaka ambaye ni waziri Ummy Mwalimu!Ujinga ni kudhani mtaka anakosea kukomaa kuboresha ufaulu eneo alilopo.
Sent from my INE-LX1r using JamiiForums mobile app
Lakini elimu kwa sasa inasimamiwa na wizara mbili na katika speech ya mtaka aliwananga mawaziri wote wawili iweje sasa alaumiwe ndalichako peke yake?Ndalichako ameivaa fulana ya lawama maana ndiye waziri wa wizara husika.
Na mtaka alimtolea mfani tu.
Sent from my INE-LX1r using JamiiForums mobile app
Amekutuma uje umtete?Nimefuatilia kwa ukaribu mjadala unaoendelea kwa sasa kuhusiana na kauli iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa dodoma mheshimiwa Mtaka kuhusu kuanzisha makambi ya kitaaluma kwa wanafunzi.
Katika mjadala huo nimesikitishwa sana na maoni ya wadau mbali mbali wanaomnyooshea kidole Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako.
Huyu mama ni mchapakazi mzuri mwenye misimamo isiyoyumbishwa hasa tunapokuja kwenye suala la elimu tangu alipokuwa katibu wa baraza la taifa la mitihani(NECTA).
Lakini tangu apewe dhamana ya uwaziri wa elimu mama wa watu amekuwa akizodolewa hapa na pale kwamba hafai muda mwingine kwa makosa ambayo siyo yake.
Mfano kwenye suala la usimamizi wa elimu, mama ndalichako anasimamia elimu kwa ngazi ya vyuo vya kati na vyuo vikuu huku usimamizi wa elimu ngazi ya msingi na sekondari ukiwa chini ya TAMISEMI ambayo inaongozwa na Ummy Mwalimu.
Cha kushangaza kwenye hili saga la Mkuu wa Mkoa anayelalamikiwa ni Ndalichako lakini watu wanasahau kwamba hilo jukumu la usimamizi wa elimu kwa sasa lipo chini ya tamisemi ambayo inaongozwa na waziri ummy kwahiyo kama ni lawama wanaopaswa kulaumiwa ni TAMISEMI, mama ndalichako anaonewa tu.
Huyo maza ako hafai kabisaLakini elimu kwa sasa inasimamiwa na wizara mbili na katika speech ya mtaka aliwananga mawaziri wote wawili iweje sasa alaumiwe ndalichako peke yake?
Huyi mama ana PhD lakini hata kiingereza hakipandi.Nimefuatilia kwa ukaribu mjadala unaoendelea kwa sasa kuhusiana na kauli iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa dodoma mheshimiwa Mtaka kuhusu kuanzisha makambi ya kitaaluma kwa wanafunzi.