Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Acha ujambazi ticha grade B utakuua.Uhalifu gani na mtt kafanya mitihani? Uchawi na roho mbaya tu..vimekujaeni.
Roho mbaya zitawaua ndo mana umaskini hauwaeshi.....Kila siku kulia shida mpaka 1500 unahoji ulipokuwa ukikatika upate mtt ulitegemea nani ahudumie Mkuu?ninyi ni wale ukitoa 10 Kwa mwanamke akifika nyumbani anakiwashia feni eti unakomoa hahaaaa umasikini mbaya sana...pole Kwa umasikiniAcha ujambazi ticha grade B utakuua.
Mkongwe, sidhani kama suala la kumchapa mtoto/mwanafunzi kwa sababu ya mzazi kushindwa kumpa pesa ya mitihani ya kujipima linahitaji kuhudhuria kikao!Inafahamika sana ila hapa nashuka na mtoa mada sio hao walala juu ya vitanda njaa.
Mtoa mada hapa kapuyanga.
Namshauri awe amahudhuria vikao vya shule la sivyo tutakuwa tunaonekana wote ni viazi vitam kisa mtu mmoja asiyetaka kucheza nafasi yake.
Haya mambo hujadiliwa kwenye vikao/mikutano ikiwa walimu wanashare na wazazi na kutaka maon yao namna bora ya kutaka wanafunz wafanye vizur
Hela huliwa kimipango mkakati.Siyo unaamka tu unadai hela.Kwa lipi?Ulinikatikia?Roho mbaya zitawaua ndo mana umaskini hauwaeshi.....Kila siku kulia shida mpaka 1500 unahoji ulipokuwa ukikatika upate mtt ulitegemea nani ahudumie Mkuu?ninyi ni wale ukitoa 10 Kwa mwanamke akifika nyumbani anakiwashia feni eti unakomoa hahaaaa umasikini mbaya sana...pole Kwa umasikini
Walimu acheni kuchapa watoto kwasababu ya changamoto za wazazi!Roho mbaya zitawaua ndo mana umaskini hauwaeshi.....Kila siku kulia shida mpaka 1500 unahoji ulipokuwa ukikatika upate mtt ulitegemea nani ahudumie Mkuu?ninyi ni wale ukitoa 10 Kwa mwanamke akifika nyumbani anakiwashia feni eti unakomoa hahaaaa umasikini mbaya sana...pole Kwa umasikini
Una mawazo kama matobholwa aisee.Msilazimishe maisha.Hela huliwa kwa akili.Ninyi ni wezi in a broad-day light.Inafahamika sana ila hapa nashuka na mtoa mada sio hao walala juu ya vitanda njaa.
Mtoa mada hapa kapuyanga.
Namshauri awe amahudhuria vikao vya shule la sivyo tutakuwa tunaonekana wote ni viazi vitam kisa mtu mmoja asiyetaka kucheza nafasi yake.
Haya mambo hujadiliwa kwenye vikao/mikutano ikiwa walimu wanashare na wazazi na kutaka maon yao namna bora ya kutaka wanafunz wafanye vizur
1. Sijapenda lugha uliyotumia.Halafu jamaa wewe! Ukute kila wiki inakunywa pombe ya 10,000/=. Shame!! Ukute unahonga 50,000/= kwa mwezi! Shame. Na mtu kama wewe unaona uchungu kuspend 1,500/= kwa mwanao. Hebu jitafakari. Huyo waziri unayemlilia ukute wa kwake wako Marekani
Hakun alichomaliza, labda kwa watu wasiofikiri........ kwa watu wasiofikiri atakuwa amemaliza.........Mkuu umemaliza mjadala kwa hii comment
Una kichwa cha ajabu! Ingelikuwa kwenye vikao ningeliandika katika post yangu ya kwanza kuwa kulikuwa na vikao......and the course of grievances would have taken a different disposition!Inafahamika sana ila hapa nashuka na mtoa mada sio hao walala juu ya vitanda njaa.
Mtoa mada hapa kapuyanga.
Namshauri awe amahudhuria vikao vya shule la sivyo tutakuwa tunaonekana wote ni viazi vitam kisa mtu mmoja asiyetaka kucheza nafasi yake.
Haya mambo hujadiliwa kwenye vikao/mikutano ikiwa walimu wanashare na wazazi na kutaka maon yao namna bora ya kutaka wanafunz wafanye vizur
Muulize mama yako kama nina wengeTuliza wenge
Kwa hiyo mtoto wako kulazimishwa kusoma na mwalimu tena anageuka kuwa MPUMBAVU!Ya ukweli haya. Tena hata likizo siku hizi watoto wanalazimishwa kwenda shule. Asipoenda anachezea bakora. Waalimu ni watu wapumbavu kama bodaboda.
Taja mkoa, wilaya, kata, kijiji, kitongoji, na jina la shule inayofanya hivyo usaidike. Thread inaonekana inahusu Tanzania nzima wakati mwanao anasoma shule moja tu na shule zimetapakaa nchi nzima.Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?
Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?
Au Ni miradi ya waalimu kujiongezea kipato?
Wazazi watashindwa
Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho
Soma :
Hudhuria vikao vinavyoitishwa na shule.Una kichwa cha ajabu! Ingelikuwa kwenye vikao ningeliandika katika post yangu ya kwanza kuwa kulikuwa na vikao......and the course of grievances would have taken a different disposition!
Ujue watu wanasahau hilo, kuna watoto kupata mlo wa siku tu ni mtihani, mimi nakumbuka iliniladhimu nitoke day nihamie boarding maana suala la chakula lilikuwa changamoto, mtu unazurula nyumba za ndugu mpaka mwenyewe unaona hii hapana. Then mtu aje akulipishe 1500 kila wiki!?Wapo watoto ambao hawana watu/wazazi wa kuwapa hizo 1500 za mtihani.
kama inaliwa hivyo na iliwe.Una mawazo kama matobholwa aisee.Msilazimishe maisha.Hela huliwa kwa akili.Ninyi ni wezi in a broad-day light.
Kwenye makosa ya mzazi asiadhibiwe mtoto na si haki.Mkongwe, sidhani kama suala la kumchapa mtoto/mwanafunzi kwa sababu ya mzazi kushindwa kumpa pesa ya mitihani ya kujipima linahitaji kuhudhuria kikao!
Shule ya serikali , hilo linawezekana ila impact yake unaweza hata kukisia ni nini?Mzazi nenda shule kamuone mkuu wa shule mwambie "sitaki mwanangu afanye hiyo mitihani, sitaki kuombwa hiyo hela wala sitaki mwanangu aguswe"
Pia usisahau kwenye vikao vya wazazi chukua mic sema hautaki hiyo mitihani haukubaliani na hilo swala hivyo hautatoa pesa
Mzazi nenda shule kamuone mkuu wa shule mwambie "sitaki mwanangu afanye hiyo mitihani, sitaki kuombwa hiyo hela wala sitaki mwanangu aguswe"
Pia usisahau kwenye vikao vya wazazi chukua mic sema hautaki hiyo mitihani haukubaliani na hilo swala hivyo hautatoa pesa