KERO Waziri wa Elimu Prof. Mkenda, tueleze mitihani ya kila wiki kwa kuwalipisha wazazi mchango wa Tsh. 1,500 kila Ijumaa , ndiyo sera uliyoiruhusu?

KERO Waziri wa Elimu Prof. Mkenda, tueleze mitihani ya kila wiki kwa kuwalipisha wazazi mchango wa Tsh. 1,500 kila Ijumaa , ndiyo sera uliyoiruhusu?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Binafsi naona walimu kama Wana ka mradi wao. Hivi unadaiwa remedial 5000 ni masomo matatu. Ila walichosoma mwezi mzima ni page 3 kila daftari
We did not go through those stupid fundraising maneuvers for personal gain, and here we are! Mwalimu ukifundisha kipindi ukamaliza huna sababu ya kuwaita wanafunzi kwa upuuzi mwingine eti remedial UNLESS the concept was so difficult for students/pupils to comprehend and therefore you need to redo the lesson! short of that ni njaa za walimu wa primary kutafuta miradi ya kupata hela!
 
Wakisoma huu ukweli watajiliza kwa kwikwi na kuomba uhamisho.
 
Mzazi nenda shule kamuone mkuu wa shule mwambie "sitaki mwanangu afanye hiyo mitihani, sitaki kuombwa hiyo hela wala sitaki mwanangu aguswe"

Pia usisahau kwenye vikao vya wazazi chukua mic sema hautaki hiyo mitihani haukubaliani na hilo swala hivyo hautatoa pesa
Hatuwezi kumkubalia kila kitu kwa namna moja au nyingine ni adhabu hata kusali nayo ni kero kwa watu wengine, na katika maisha hakuna eneo utaishi na kila kitu kitakaa sawa kama unavyotaka wewe mengine unamezea tu, mwambie alipe hiyo ada atamshukuru mwl baadae.
 
Mzazi nenda shule kamuone mkuu wa shule mwambie "sitaki mwanangu afanye hiyo mitihani, sitaki kuombwa hiyo hela wala sitaki mwanangu aguswe"

Pia usisahau kwenye vikao vya wazazi chukua mic sema hautaki hiyo mitihani haukubaliani na hilo swala hivyo hautatoa pesa
Ili waalimu muanze kum-target mtoto.
Anyanyaswe, ateswe aichukie shule?
Hii siyo kauli sahihi.
Waweke tu ada ijulikane moja tutalipa kuliko huo upuuzi.
Hapo bado pesa ya chakula na nauli.
Ukipiga hesabu pesa ya mitihani, chakula na nauli kwa mwaka inazidi Ada ya shule za bweni za serikali kabla ya elimu bure.
Jumamosi wanaharibu na ratiba za kifamilia au masomo ya ziada kwa watoto yanayo ratibiwa na wazazi nyumbani.
 
Kwani mwalimu analipwa mshahara kwa ajili ya nin?
Au na mitihani inasahihishwa kwa machine
Mtu kama huyu usimjibu , just block him! Mwalimu anapata mshahara, ndio wajibu wake kusahihisha.
Basi waweke wazi kuwa kuna MARKING FEE, ieleweke, siyo huu wizi wa kijinga
 
Ili waalimu muanze kum-target mtoto.
Anyanyaswe, ateswe aichukie shule?
Hii siyo kauli sahihi.
Waweke tu ada ijulikane moja tutalipa kuliko huo upuuzi.
Hapo bado pesa ya chakula na nauli.
Ukipiga hesabu pesa ya mitihani, chakula na nauli kwa mwaka inazidi Ada ya shule za bweni za serikali kabla ya elimu bure.
Jumamosi wanaharibu na ratiba za kifamilia au masomo ya ziada kwa watoto yanayo ratibiwa na wazazi nyumbani
Evelyn Salt most probably ni mwalimu wa primary, huwezi kutetea upuuzi kama huu! Kila mwalimu anataka atoe mtihani, alipwe 1,500 kwa kila mtoto! Rubbish!
 
Tatizo siyo Walimu tatizo ni Elimu bure, ungejua umhimu wa Elimu kwa mwanao wala usinge lalamikia hiyo fedha. Mtafutie mwanao ungali na nguvu zako Elimu iliyo bora na siyo elimu bure.
 
Mzazi nenda shule kamuone mkuu wa shule mwambie "sitaki mwanangu afanye hiyo mitihani, sitaki kuombwa hiyo hela wala sitaki mwanangu aguswe"

Pia usisahau kwenye vikao vya wazazi chukua mic sema hautaki hiyo mitihani haukubaliani na hilo swala hivyo hautatoa pesa
Jibu sahihi kabisa badala ya kuja kulalamika mitandaoni
 
Mtoto wako wajibika
Wewe unataka mtoto wako alipiwe na nani?
Ile mitihani inahitajika gharama za stationery a
Kulipa 1500 Kwa week hadi ufungue Uzi wa kulalamika
Is that the policy from the education authority? au unaamka asubuhi na matongo tongo unatafuta hela? Utakuwa mwalimu wa primary
 
Mtu kama huyu usimjibu , just block him! Mwalimu anapata mshahara, ndio wajibu wake kusahihisha.
Basi waweke wazi kuwa kuna MARKING FEE, ieleweke, siyo huu wizi wa kijinga
📌
Na mitihani wanapewa miwili wakubwa wanaandikiwa ubaoni wakopi maswali yote na kujibu.
Hawa wadogo wadogo wanachapishiwa mitihani ya mathe na sayansi, wakitoka labda itumike kama 150,000 kwa watoto hao wachache kwa ajili ya kuchapisha.
 
Is that the policy from the education authority? au unaamka asubuhi na matongo tongo unatafuta hela? Utakuwa mwalimu wa primary
Elimu ni Pana.
Serikali haina nia ya kuwapa wananchi elimu Bora
Hakuna mtoto wa waziri, mbunge hata diwani atasoma hizo shule zenu za KAJAMPA NANI PRIMARY SCHOOL
Mtoto umemzaa wewe kumlipa buk jero hadi ufungue nyuzi Kuna watu wanaosomesha million 40 Kwa mwaka na Hawaii.
Watanganyika changia elimu
Na sio mitihani tu angalia chakula, vitabu vya ziada, usafiri, vifaa vya kufundishia, madawati, vifaa vya michezo n.k

Hiv vyote serikali haivitimizi kwenye campaign mnaambiwa elimu
 
Shida yenu na nyie mnadhani mwalimu ana miujiza yani ukishampa mtoto wako wewe umemaliza unakaa pembeni, fatiliaaa kagua daftari za mwanao hajafundishwa fika shule upate sababu, umelipa buku ya mtihani hakikisha mtoto kafanya mtihani, umesahishwa amerudishiwa na correction kafanyiwa.

Sio kutoa buku na kukaa kando na kuja kulalamika online haisaidii
Ulifuatilia unaambiwa walimu tumezidiwa na watoto. Majibu mepesi Sana.
Mfano shule ya zamani walimu walikiwa wanajitolea hawalipwi. So hiyo remedial studies ndo posho Yao.
 
Baada Dada yangu kufanya kazi Ya Ualimu Kwa miaka 4 kwenye shule za privet
Shemeji yangu akamtafutia sister shule ya serikali Na kumwambia

"Najua masomo yako ya sayansi ni magumu mno kufundisha hivyo basi nakuomba usitumie nguvu za ziada kisa tu watoto wakuelewe wazazi serious hawawezi kumpeleka mtoto shule ya serikali so fundisha 20% ya uwezo wako 80% tumia kutimiza majukumu yako ya nyumbani"

Akaongeza
Ikifika saa 8 Rudi home usizidishe hata robo saa kukuaa shule

Usiandike Ubaoni mpe mwanafunzi

Usimchape mtoto wa mtu kisa taaruma mchape andapo atakukosea adabu wewe personally

SASA NAANZA KUELEWA KWA NINI SHEMEJI YANGU HUYO ALIMWAMBIA HIVYO SISTER
 
Kamati zashule zije na mipango sio kupangiwa na waalimu wakuu wakati wao ni makatibu wa kamati .....acheni kuchagua wenyeviti wasiojua hata kuandika
 
Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?

Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?

Au Ni miradi ya waalimu kujiongezea kipato?
Wazazi watashindwa

Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho

Soma :
Mkuuu ,kaonane na waalimu wakupe maelezo ya hizo pesa,mhhhhh.
Ni kidato Cha ngapi hao wa kila ijumaa 1500?
Ni shule ya serikali au binafsi?
 
Kwani mwalimu analipwa mshahara kwa ajili ya nin?
Au na mitihani inasahihishwa kwa machine
Ukiona shuleni mpaka mitihani inachangishwa basi ujue hiyo ni program ya ziada ya kuwasaidia wanafunzi, na siku zote inakuwa uongozi wa shule na wazazi wamekubaliana katika vikao.

Kama ni kazi ya zaida kwa ajili ya toto lako lifaulu vizuri, lazima mwalim achangiwe kwasababu itamlazimu kufanya kazi katika muda wa zaida ambao hulipwi na mshahara wake.
 
Tatizo siyo Walimu tatizo ni Elimu bure, ungejua umhimu wa Elimu kwa mwanao wala usinge lalamikia hiyo fedha. Mtafutie mwanao ungali na nguvu zako Elimu iliyo bora na siyo elimu bure.
Money is better than education discuss.
 
Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?

Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?

Au Ni miradi ya waalimu kujiongezea kipato?
Wazazi watashindwa

Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho

Soma :
Ndg mzazi kama 1500 bado unalalamika tena kila week ,ushauri wa bure usizae tafuta hela ,tafuta hela ,ndg tafuta hela ,nimesikitika sana.1500 hata kama walimu hawatoi mitihani toa ,nimesikitika sana tafuta hela
 
Huo utaratibu wa kupiga watoto hata mie siupendi kwakweli unanikwaza sanaaa ndio wazazi msimame sasa.....sio kuandika tu huku watoto wakati wenu wanaoga fimbo
Katika vitu vinaudhi wazazi ni watoto wao kupigwa.Inaumiza sana.Buku jero kitu gani?Tutatoa tu ila wasipige watoto wetu.Unakuta asubuhi mtoto anakua mnyonge anasikilizia umpe 1500 ya mtihani,nauli 1000 na chakula 1000.
 
Back
Top Bottom