KERO Waziri wa Elimu Prof. Mkenda, tueleze mitihani ya kila wiki kwa kuwalipisha wazazi mchango wa Tsh. 1,500 kila Ijumaa , ndiyo sera uliyoiruhusu?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Acha ujambazi ticha grade B utakuua.
Roho mbaya zitawaua ndo mana umaskini hauwaeshi.....Kila siku kulia shida mpaka 1500 unahoji ulipokuwa ukikatika upate mtt ulitegemea nani ahudumie Mkuu?ninyi ni wale ukitoa 10 Kwa mwanamke akifika nyumbani anakiwashia feni eti unakomoa hahaaaa umasikini mbaya sana...pole Kwa umasikini
 
Inafahamika sana ila hapa nashuka na mtoa mada sio hao walala juu ya vitanda njaa.
Mtoa mada hapa kapuyanga.
Namshauri awe amahudhuria vikao vya shule la sivyo tutakuwa tunaonekana wote ni viazi vitam kisa mtu mmoja asiyetaka kucheza nafasi yake.
Haya mambo hujadiliwa kwenye vikao/mikutano ikiwa walimu wanashare na wazazi na kutaka maon yao namna bora ya kutaka wanafunz wafanye vizur
Mkongwe, sidhani kama suala la kumchapa mtoto/mwanafunzi kwa sababu ya mzazi kushindwa kumpa pesa ya mitihani ya kujipima linahitaji kuhudhuria kikao!
 
Hela huliwa kimipango mkakati.Siyo unaamka tu unadai hela.Kwa lipi?Ulinikatikia?
 
Roho mbaya zitawaua ndo mana umaskini hauwaeshi.....Kila siku kulia shida mpaka 1500 unahoji ulipokuwa ukikatika upate mtt ulitegemea nani ahudumie Mkuu?ninyi ni wale ukitoa 10 Kwa mwanamke akifika nyumbani anakiwashia feni eti unakomoa hahaaaa umasikini mbaya sana...pole Kwa umasikini
Walimu acheni kuchapa watoto kwasababu ya changamoto za wazazi!
 
Inafahamika sana ila hapa nashuka na mtoa mada sio hao walala juu ya vitanda njaa.
Mtoa mada hapa kapuyanga.
Namshauri awe amahudhuria vikao vya shule la sivyo tutakuwa tunaonekana wote ni viazi vitam kisa mtu mmoja asiyetaka kucheza nafasi yake.
Haya mambo hujadiliwa kwenye vikao/mikutano ikiwa walimu wanashare na wazazi na kutaka maon yao namna bora ya kutaka wanafunz wafanye vizur
Una mawazo kama matobholwa aisee.Msilazimishe maisha.Hela huliwa kwa akili.Ninyi ni wezi in a broad-day light.
 
Halafu jamaa wewe! Ukute kila wiki inakunywa pombe ya 10,000/=. Shame!! Ukute unahonga 50,000/= kwa mwezi! Shame. Na mtu kama wewe unaona uchungu kuspend 1,500/= kwa mwanao. Hebu jitafakari. Huyo waziri unayemlilia ukute wa kwake wako Marekani
1. Sijapenda lugha uliyotumia.

2. Nakwamia hata mama yako naweza kumuhonga any amount of cash she would require from me. The issue is, we have agreed to cross that route! Sijui kama unanielewa.
Usiwe mpumbavu, mpumbavu mkubwa wewe nasema. Unalipa 1,500 zinakwenda wapi? That is the issue!
 
Inafahamika sana ila hapa nashuka na mtoa mada sio hao walala juu ya vitanda njaa.
Mtoa mada hapa kapuyanga.
Namshauri awe amahudhuria vikao vya shule la sivyo tutakuwa tunaonekana wote ni viazi vitam kisa mtu mmoja asiyetaka kucheza nafasi yake.
Haya mambo hujadiliwa kwenye vikao/mikutano ikiwa walimu wanashare na wazazi na kutaka maon yao namna bora ya kutaka wanafunz wafanye vizur
Una kichwa cha ajabu! Ingelikuwa kwenye vikao ningeliandika katika post yangu ya kwanza kuwa kulikuwa na vikao......and the course of grievances would have taken a different disposition!
 
Ya ukweli haya. Tena hata likizo siku hizi watoto wanalazimishwa kwenda shule. Asipoenda anachezea bakora. Waalimu ni watu wapumbavu kama bodaboda.
Kwa hiyo mtoto wako kulazimishwa kusoma na mwalimu tena anageuka kuwa MPUMBAVU!
Basi haina haja kumpeleka shule maana huko kote kuna Walimu ambao ni wapumbavu, kwa hiyo mtoto wako atakuwa mpumbavu zaidi ya wazazi wake kwa sababu nao wamefundishwa na wapumbavu hao hao kabla hawajamzaa mtoto mpumbavu, MPUMBAVU SANA WEWE HUJITAMBUI
 
Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?

Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?

Au Ni miradi ya waalimu kujiongezea kipato?
Wazazi watashindwa

Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho

Soma :
Taja mkoa, wilaya, kata, kijiji, kitongoji, na jina la shule inayofanya hivyo usaidike. Thread inaonekana inahusu Tanzania nzima wakati mwanao anasoma shule moja tu na shule zimetapakaa nchi nzima.
 
Ila watu mnarahisha sana mambo, hivi mnafikiri watoto wote wana wazazi au wazazi wao wanajiweza?

Hiyo hela sio ndogo, mimi kipindi nasoma ada ilikuwa 70k, ila kuilipa ilikuwa mtihan, mwisho wa siku niliondoka nimeacha madeni shuleni!
 
Una kichwa cha ajabu! Ingelikuwa kwenye vikao ningeliandika katika post yangu ya kwanza kuwa kulikuwa na vikao......and the course of grievances would have taken a different disposition!
Hudhuria vikao vinavyoitishwa na shule.
Acha kuwa na kicha kigumu mkuu haya mambo yanaanzia kwenye vikao ndio yanapita.
Walimu hawajiamulii haya mambo wenyewe.

We kama hukuhudhuria vikao vilivyopitisha hilo haiathiri maamuzi ya wenzako walohudhuria.

Msaada wa wisho.
Nenda kwa afisa elimu kamweleze kero hii
 
Wapo watoto ambao hawana watu/wazazi wa kuwapa hizo 1500 za mtihani.
Ujue watu wanasahau hilo, kuna watoto kupata mlo wa siku tu ni mtihani, mimi nakumbuka iliniladhimu nitoke day nihamie boarding maana suala la chakula lilikuwa changamoto, mtu unazurula nyumba za ndugu mpaka mwenyewe unaona hii hapana. Then mtu aje akulipishe 1500 kila wiki!?
 
Una mawazo kama matobholwa aisee.Msilazimishe maisha.Hela huliwa kwa akili.Ninyi ni wezi in a broad-day light.
kama inaliwa hivyo na iliwe.
Mtu unapiga yowe kisa 1500 ambayo imepitishwa kwenye vikao na wenzako walihudhuria na wewe ukawa umeenda kupuyangaaaaaaa.

Mwenye akili hufuatilia ila si kupiga yowe kisa mtoto wake.
Peleka shule hambazo no ada no michango
 
Mkongwe, sidhani kama suala la kumchapa mtoto/mwanafunzi kwa sababu ya mzazi kushindwa kumpa pesa ya mitihani ya kujipima linahitaji kuhudhuria kikao!
Kwenye makosa ya mzazi asiadhibiwe mtoto na si haki.
Ila swala la maendeleo ya mtoto mzazi awajibike na kuwajibishwa.
 
Mzazi nenda shule kamuone mkuu wa shule mwambie "sitaki mwanangu afanye hiyo mitihani, sitaki kuombwa hiyo hela wala sitaki mwanangu aguswe"

Pia usisahau kwenye vikao vya wazazi chukua mic sema hautaki hiyo mitihani haukubaliani na hilo swala hivyo hautatoa pesa
Shule ya serikali , hilo linawezekana ila impact yake unaweza hata kukisia ni nini?
 
Back
Top Bottom