We did not go through those stupid fundraising maneuvers for personal gain, and here we are! Mwalimu ukifundisha kipindi ukamaliza huna sababu ya kuwaita wanafunzi kwa upuuzi mwingine eti remedial UNLESS the concept was so difficult for students/pupils to comprehend and therefore you need to redo the lesson! short of that ni njaa za walimu wa primary kutafuta miradi ya kupata hela!Binafsi naona walimu kama Wana ka mradi wao. Hivi unadaiwa remedial 5000 ni masomo matatu. Ila walichosoma mwezi mzima ni page 3 kila daftari
Wakisoma huu ukweli watajiliza kwa kwikwi na kuomba uhamisho.We did not go through those stupid fundraising maneuvers for personal gain, and here we are! Mwalimu ukifundisha kipindi ukamaliza huna sababu ya kuwaita wanafunzi kwa upuuzi mwingine eti remedial UNLESS the concept was so difficult for students/pupils to comprehend and therefore you need to redo the lesson! short of that ni njaa za walimu wa primary kutafuta miradi ya kupata hela!
Hatuwezi kumkubalia kila kitu kwa namna moja au nyingine ni adhabu hata kusali nayo ni kero kwa watu wengine, na katika maisha hakuna eneo utaishi na kila kitu kitakaa sawa kama unavyotaka wewe mengine unamezea tu, mwambie alipe hiyo ada atamshukuru mwl baadae.Mzazi nenda shule kamuone mkuu wa shule mwambie "sitaki mwanangu afanye hiyo mitihani, sitaki kuombwa hiyo hela wala sitaki mwanangu aguswe"
Pia usisahau kwenye vikao vya wazazi chukua mic sema hautaki hiyo mitihani haukubaliani na hilo swala hivyo hautatoa pesa
Ili waalimu muanze kum-target mtoto.Mzazi nenda shule kamuone mkuu wa shule mwambie "sitaki mwanangu afanye hiyo mitihani, sitaki kuombwa hiyo hela wala sitaki mwanangu aguswe"
Pia usisahau kwenye vikao vya wazazi chukua mic sema hautaki hiyo mitihani haukubaliani na hilo swala hivyo hautatoa pesa
Mtu kama huyu usimjibu , just block him! Mwalimu anapata mshahara, ndio wajibu wake kusahihisha.Kwani mwalimu analipwa mshahara kwa ajili ya nin?
Au na mitihani inasahihishwa kwa machine
Evelyn Salt most probably ni mwalimu wa primary, huwezi kutetea upuuzi kama huu! Kila mwalimu anataka atoe mtihani, alipwe 1,500 kwa kila mtoto! Rubbish!Ili waalimu muanze kum-target mtoto.
Anyanyaswe, ateswe aichukie shule?
Hii siyo kauli sahihi.
Waweke tu ada ijulikane moja tutalipa kuliko huo upuuzi.
Hapo bado pesa ya chakula na nauli.
Ukipiga hesabu pesa ya mitihani, chakula na nauli kwa mwaka inazidi Ada ya shule za bweni za serikali kabla ya elimu bure.
Jumamosi wanaharibu na ratiba za kifamilia au masomo ya ziada kwa watoto yanayo ratibiwa na wazazi nyumbani
Jibu sahihi kabisa badala ya kuja kulalamika mitandaoniMzazi nenda shule kamuone mkuu wa shule mwambie "sitaki mwanangu afanye hiyo mitihani, sitaki kuombwa hiyo hela wala sitaki mwanangu aguswe"
Pia usisahau kwenye vikao vya wazazi chukua mic sema hautaki hiyo mitihani haukubaliani na hilo swala hivyo hautatoa pesa
Is that the policy from the education authority? au unaamka asubuhi na matongo tongo unatafuta hela? Utakuwa mwalimu wa primaryMtoto wako wajibika
Wewe unataka mtoto wako alipiwe na nani?
Ile mitihani inahitajika gharama za stationery a
Kulipa 1500 Kwa week hadi ufungue Uzi wa kulalamika
📌Mtu kama huyu usimjibu , just block him! Mwalimu anapata mshahara, ndio wajibu wake kusahihisha.
Basi waweke wazi kuwa kuna MARKING FEE, ieleweke, siyo huu wizi wa kijinga
Elimu ni Pana.Is that the policy from the education authority? au unaamka asubuhi na matongo tongo unatafuta hela? Utakuwa mwalimu wa primary
Ulifuatilia unaambiwa walimu tumezidiwa na watoto. Majibu mepesi Sana.Shida yenu na nyie mnadhani mwalimu ana miujiza yani ukishampa mtoto wako wewe umemaliza unakaa pembeni, fatiliaaa kagua daftari za mwanao hajafundishwa fika shule upate sababu, umelipa buku ya mtihani hakikisha mtoto kafanya mtihani, umesahishwa amerudishiwa na correction kafanyiwa.
Sio kutoa buku na kukaa kando na kuja kulalamika online haisaidii
Mkuuu ,kaonane na waalimu wakupe maelezo ya hizo pesa,mhhhhh.Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?
Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?
Au Ni miradi ya waalimu kujiongezea kipato?
Wazazi watashindwa
Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho
Soma :
Ukiona shuleni mpaka mitihani inachangishwa basi ujue hiyo ni program ya ziada ya kuwasaidia wanafunzi, na siku zote inakuwa uongozi wa shule na wazazi wamekubaliana katika vikao.Kwani mwalimu analipwa mshahara kwa ajili ya nin?
Au na mitihani inasahihishwa kwa machine
NON OF THE ABOVE....nimejiajiri mie, ila kitaaluma ni mwalimu.Umeajiriwa au unajitolea?
Money is better than education discuss.Tatizo siyo Walimu tatizo ni Elimu bure, ungejua umhimu wa Elimu kwa mwanao wala usinge lalamikia hiyo fedha. Mtafutie mwanao ungali na nguvu zako Elimu iliyo bora na siyo elimu bure.
Ndg mzazi kama 1500 bado unalalamika tena kila week ,ushauri wa bure usizae tafuta hela ,tafuta hela ,ndg tafuta hela ,nimesikitika sana.1500 hata kama walimu hawatoi mitihani toa ,nimesikitika sana tafuta helaKila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?
Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?
Au Ni miradi ya waalimu kujiongezea kipato?
Wazazi watashindwa
Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho
Soma :
Katika vitu vinaudhi wazazi ni watoto wao kupigwa.Inaumiza sana.Buku jero kitu gani?Tutatoa tu ila wasipige watoto wetu.Unakuta asubuhi mtoto anakua mnyonge anasikilizia umpe 1500 ya mtihani,nauli 1000 na chakula 1000.Huo utaratibu wa kupiga watoto hata mie siupendi kwakweli unanikwaza sanaaa ndio wazazi msimame sasa.....sio kuandika tu huku watoto wakati wenu wanaoga fimbo