RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,189
- 1,690
Kufauru ni galama wacheni malalamiko kupanua miguu na kuzaana mnaona rahisi ila kusomesha mnalalamikaKatika vitu vinaudhi wazazi ni watoto wao kupigwa.Inaumiza sana.Buku jero kitu gani?Tutatoa tu ila wasipige watoto wetu.Unakuta asubuhi mtoto anakua mnyonge anasikilizia umpe 1500 ya mtihani,nauli 1000 na chakula 1000.
Naamini kama umeoa basi mahari mwanamke alijilipia sio kwa upuuzii huu sasa ulipiwe na mchepuko wa mkeo ? Wajibika tafuta hela....kama elimu gharama mtoe ....jaribu ujingaa usituchosheeKila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?
Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?
Au Ni miradi ya waalimu kujiongezea kipato?
Wazazi watashindwa
Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho
Soma :
Umenena vyemaMzazi nenda shule kamuone mkuu wa shule mwambie "sitaki mwanangu afanye hiyo mitihani, sitaki kuombwa hiyo hela wala sitaki mwanangu aguswe"
Pia usisahau kwenye vikao vya wazazi chukua mic sema hautaki hiyo mitihani haukubaliani na hilo swala hivyo hautatoa pesa
Kwahiyo unataka kuwaibia wazazi kwa njia hii!Mtoto wako wajibika
Wewe unataka mtoto wako alipiwe na nani?
Ile mitihani inahitajika gharama za stationery a
Kulipa 1500 Kwa week hadi ufungue Uzi wa kulalamika
Sa km huna uwezo kwann umezaa tuache kudekeza wajinga sa km huna uwezo kwann umezaa afu unakuta ayo yanayosema hayana uwezo ndo unakuta yanazaa km paka watoto kibaoWewe ni mzazi?
Jambo hili ni la waziri?
Ni kwamba jambo hili linaishia kwa vikao vya wazazi wa shule husika.
Kama wewe huna uwezo; pitia vikao vya wazazi.
Inafahamika sana ila hapa nashuka na mtoa mada sio hao walala juu ya vitanda njaa.Wewe ni mmoja kati ya watu mnaofanya JF ionekane kituko!
1500 sio pesa ndogo, kuna Watanzania hawawezi kuwapa watoto wao hiyo pesa kila wiki. Kama familia yako inamudu kufanya hivyo shukuru sana.
Halafu jamaa wewe! Ukute kila wiki inakunywa pombe ya 10,000/=. Shame!! Ukute unahonga 50,000/= kwa mwezi! Shame. Na mtu kama wewe unaona uchungu kuspend 1,500/= kwa mwanao. Hebu jitafakari. Huyo waziri unayemlilia ukute wa kwake wako MarekaniTunataka tamkola serikali. kama ni rasmi, wazazi tujue, kama ni miradi ya walimu tujue! Issue siyo kulipa, issue je unamlipa nani? Mradi wa mwalimu?
Mkuu umemaliza mjadala kwa hii commentMzazi nenda shule kamuone mkuu wa shule mwambie "sitaki mwanangu afanye hiyo mitihani, sitaki kuombwa hiyo hela wala sitaki mwanangu aguswe"
Pia usisahau kwenye vikao vya wazazi chukua mic sema hautaki hiyo mitihani haukubaliani na hilo swala hivyo hautatoa pesa
Kwani Mwlm naye akinywa soda ya 1000 kwenye 2000 inakuuma? Mbona beer mnalipia machawa na michepuko?Mtoto wa darasa la pili anachangia 2000 kwa mitihani miwili(copies) yenye gharama halisi ya urudufishaji ni Tsh 200 unaona ni sawa?
Inashangaza Mkuu lkn huyuhuyu ataenda lodge nusu saa 25,000 imekata Kwa mchepuko hawara ila ajabu Buku tu Kwa mwlm inamuumaUsiwe serious sana na maisha yaani unaona shida hata mwalimu Alibaba hiyo 700.
Lakini bar, michepuko, Kwa manabii, pesa mnatoa
Kumpa mwalimu tip unafungua Uzi ili abanwe umharibie kazi.
Sasa kama mtoto mitihani kafanya tatizo nini
Kwa hiyo soda ndiyo itafutwe kihalifu?Chawa na michepuko ina faida ambazo hutojua.Kwenye mshahara kuna bajeti ya soda.Haukuona?Kwani Mwlm naye akinywa soda ya 1000 kwenye 2000 inakuuma? Mbona beer mnalipia machawa na michepuko?
Tuliza wengeKila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?
Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?
Au Ni miradi ya waalimu kujiongezea kipato?
Wazazi watashindwa
Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho
Soma :
Uhalifu gani na mtt kafanya mitihani? Uchawi na roho mbaya tu..vimekujaeni.Kwa hiyo soda ndiyo itafutwe kihalifu?Chawa na michepuko ina faida ambazo hutojua.Kwenye mshahara kuna bajeti ya soda.Haukuona?