Kwahiyo hao walimu huo muda unatadhani anawalipa nani? Tusiwashushe morali wenye taaluma zao,kuliko mwanao arudishwe home mapema akibaki shule na kupata cha ziada unaona ni vibaya? Hiyo ya Harusi nimetolea mfano tu ila Elf 72 kwa mwaka kwa manufaa ya mwanao unaona ni nyingi? Angekuwa anasoma private? Hao Waalimu wanataka mwanao awe busy muda wote, wanaweza kuamua kuacha na kufuata utaratibu wa kawaida wa mitihani ya mihura,na wakaendelea na mishe zao za kutafuta kipato cha ziada,mwanao ndiyo ataathirika.