KERO Waziri wa Elimu Prof. Mkenda, tueleze mitihani ya kila wiki kwa kuwalipisha wazazi mchango wa Tsh. 1,500 kila Ijumaa , ndiyo sera uliyoiruhusu?

KERO Waziri wa Elimu Prof. Mkenda, tueleze mitihani ya kila wiki kwa kuwalipisha wazazi mchango wa Tsh. 1,500 kila Ijumaa , ndiyo sera uliyoiruhusu?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Shule ya serikali , hilo linawezekana ila impact yake unaweza hata kukisia ni nini?
Hamna impact yoyote mnaogopa kisichokuwepo.....

Mi kuna shule nimezinguana sana na owner sanaaaa na mtoto angu yupo hapo ni darasa la mtihani hawezi kuhama, kila siku namuuliza shule vipi kila kitu sawa, hajawahi fanywa kitu na hatofanywa kituuu na hata nadhani kumchapa wataogopa.

Sasa nyie wazazi endeleeni tu kulalamika online msijali watoto
 
Sawa
 
1. Sijapenda lugha uliyotumia.

2. Nakwamia hata mama yako naweza kumuhonga any amount of cash she would require from me. The issue is, we have agreed to cross that route! Sijui kama unanielewa.
Usiwe mpumbavu, mpumbavu mkubwa wewe nasema. Unalipa 1,500 zinakwenda wapi? That is the issue!
Asante kiongozi. Ila mama yangu ni marehemu. Kama unaweza kuongea na mizimu, hongera zako.
Ukiazi wako ndo umekutuma leo kuuliza 1,500/= zinaenda wapi? Comment nyingi zimekuona kwamba, hata vikao vya wazazi vya darasa achilia mbali vikao vya wazazi vya shule, huwa huendi. Sasa unazukia hapa jamii forum ili iweje? Kama unapanga nyumba moja na mwalimu ambaye anakula bata zaidi yako, tuondolee wivu wako hapa.
 
Asante kiongozi. Ila mama yangu ni marehemu. Kama unaweza kuongea na mizimu, hongera zako.
Ukiazi wako ndo umekutuma leo kuuliza 1,500/= zinaenda wapi? Comment nyingi zimekuona kwamba, hata vikao vya wazazi vya darasa achilia mbali vikao vya wazazi vya shule, huwa huendi. Sasa unazukia hapa jamii forum ili iweje? Kama unapanga nyumba moja na mwalimu ambaye anakula bata zaidi yako, tuondolee wivi wsko hapa.
It does not matter, huko aliko potelea mbali anaona alivyoa cha boya!! The issue is Unalipa za nini? Kwa sheria ipi? It seems na wewe ni mwalimu wa primary. Iwe policy ifahamike , siyo njaa ZENU MNATAFUTA MIRADI YA KIJINGA
 
Kichwa chako ni kigumu kuelewa. Wewe hata upelekwe kwa Mwamposa kuombewa, hutoboi. Ni kupoteza muda na rasilimali. Hamna kitu
 
Sio 1500 sisi hapa s/m buyuni chanika kwa wiki watoto wanafanya mitihani mara tatu na Kila mtihani 2000 darasa la Saba Lina wanafunzi 400 na zaidi mtihani mmoja wanakusanya laki nane jamani jamani bado chakura 500 na wanapewa kijiko kimoja na nusu chakura ni kichafu wapishi hawaeleweki wametolewa wapi
 
Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?

Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?

Au Ni miradi ya waalimu kujiongezea kipato?
Wazazi watashindwa

Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho

Soma :
Ndugu mtoa mada hebu amka katika huo usingizi mzito na pumbazo ulilo nalo.
Hakuna kitu kinaitwa elimu bure hata iwaje.

Ni nyinyi ndio wa kwanza kuhoji matokeo iwapo watoto hawafanyi vema matokeo yanapoachiliwa.
Hivyo ili kuwajengea uwezo watoto: walimu waliona mitihani ya mara kwa mara inaweza ikawajengea uwezo.
Je hapo gharama za hiyo mitihani ambayo ni kwa manufaa ya watoto wenu nani anabeba? Hao walimu wapate TB ya chaki kwa sababu ya kuandika mitihani ubaoni?
Ukiangalia hiyo mitihani inafanyika weekend (nje ya ratiba ya muajiri) hivyo hao walimu wanaacha familia zao hata weekend kuwajengea uwezo watoto wenu na bado hamna shukurani hata kwa muda wao wanaowekeza kwa watoto wenu.

Mnahoji 1500/= ya mitihani ya watoto ila hamuhoji 5000/= sijui 10,000/= ya kumuona tu daktari nje ya vipimo.

Ifikie hatua mthamini na jitihada za za walimu na taaluma yao kama mnavyowathamini na kuwaheshimu madaktari au wanasheria na mihuri yao. Hii ni kwa matokeo ya watoto wenu.

Ila upande mwingine kwa wale walimu wanaoadhibu watoto kwa kukosa pesa ya kulipia mtihani wanakosea kwa kuwa mtoto hana chanzo cha mapato ni mtegemezi. Hivyo watumie busara katika hilo.

Mzazi pia kama hauridhii hii mitihani hiyo onana na uongozi wa shule liweke bayana ili mwanao akae kando na hata akifanya vibaya usihoji na pia ujicommit kimaandishi kwa uongozi wa shule ili hapo baadae wanapohojiwa ionekane kabisa kuwa nini sehemu ya chanzo ya hayo matokeo.

Kumbuka pindi hayo matokeo yanapotoka wanakumbana na kashkash nyingi sana za mamlaka juu ya matokeo.
 
Ndugu mtoa mada hebu amka katika huo usingizi mzito na pumbazo ulilo nalo.
Umeanza na matusi. . Unaweza kujibu hoja bila matusi. It is like this, we need no further discussion with you! Muulize mama yako kama nina pumbazo
 
Back
Top Bottom